Kikwete kweli ni msomi?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
MIMI NASHINDWA KUELEWA MAANA YA USOMI,HIVI KIKWETE ALIKARIRI AU ALISOMA KUELEWA??HATA KIMOMBO TABU???:embarrassed:
 
kwa jinsi unavyoelewa wewe,usomi maana yake nini?tuanzie hapo..manake isije ikawa mawazo yaleyale ya mtu kujua kiingereza ndiyo usomi na asipokijua basi hawezi kuwa msomi!
 
kwan umeambiwa kujua kiingereza ndo uwezo wa kuelewa au usomi? kama una hoja ya aliyofanya ilete, sio kumsema hata pasipo sababu..leta hoja watu tuone kafanya nn sa hv.:evil:
 
.............Hapo mkuu upepotoka kidogo..maana elimu ya mtu haipimwi kwa kujua kiingereza..Elimu ya mtu inapimwa kwa uwezo wake wa kuchambua mambo na kutoa mawazo yenye kuleta matokeo chanya..Nadhani umepigwa upofu na ukoloni mpaka sasa..Nchi kama Urusi,China lugha zao zinapewa uzito mkubwa sana kwenye elimu..na kama unavyojua kuwa kwasasa China ndio inatoa mainjinia wengi kwenye nchi kama zetu...Badili fikra zako..BUT kimsingi JK ana GPA ya 2.7 ambayo ni Pass mengine sina jibu..
 
Nilimfuatilia kwenye world economic forum pale mliman city, Mhhh alikuwa mweupe sana. HIzi hotuba za kusoma kila kitu bila hata kuwa na 5min za kuongea bila karatasi, zinanitia mashaka.

Mnakumbuka OBAMA alivyotema innaugural speech baada ya kuapishwa? anashuka bila hata kipande cha notebook.Nauliza Kuna mtu aliyewahi kumwona ktk kipindi cha STRAIGHT TALK AFRICA cha Shaka Salli atujuze? Maana nasikia alishawahi kuhojiwa.
 
Back
Top Bottom