Kikwete kuwa serious japo kidogo tu...

Aaahh! Eti amepanda bembea, akiwa mdogo au? Kama ni akiwa kiongoz basi hapa shida tupu.! Yaani badala ya kuumiza kichwa jinsi ya kutatua shida za Watz anapanda bembea? Lakin uongozi mlimpa ninyi wenyewe. Mwachen ale gud tym! Wasaidizi wapo watachapa kazi
 
haya muangalie anavyofaidi
 
mm nnakwambieni JK, ameamua kuweka historia cha kusikitisha baada ya kumuunga mkono kwa uthubutu na kumsaidia mnaleta vioja

ila nnakuombeni tukimaliza uchaguzi tuungane na mheshimiwa rais ktk kuijenga nchi yetu

Ndoto za alinacha. Utasubir sana. 2005 uliamin utakuwa na maisha bora.
 
[nadhani hukumwelewa kabisaa. Alimaniisha reli zizopo tayari yaani mfano reli ya kati na tazara zinaweza kutumika kurahisisha usafiri. aidha lengo ni kuondoa adha ya usafiri DAR. MFANO RELI ya kati inapita Pugu hivyo inaweza kutumika kusafirisha abiria toka huko pugu kupiti vingunguti , buguruni Ilala hadi kuishia stesheni dar . wafanyakazi wanaweza wakawahi kazini JEE SI KWELI ITAPUNGUZA KERO. kWA NINI HATUTAKI KUELEWA !!!

Anaedanganyika kama kitoto huyu hapa.
Suprisingly, anatetea ujinga. Alieahidi alisema train ya kisasa hadi Mwanza. Huyu mdanganyika anaongelea Vingunguti kwa hawara yake. Utasubir sana.
 
Back
Top Bottom