Kikwete kuwa mwenyeji wa makongamano, semina na mikutano ya kimataifa siyo suluhisho!

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Naona mkuu sasa anataka Tanzania iingie kwenye kitabu cha kumbukumbu kwa kuwa kinara wa kuandaa mikutano, semina, warsha na makongamano ya kimataifa. Nasikia kuna kongamano jingine tena linaandaliwa. Hivi kuna impact yoyote ya maana tuliyopata tangu tuanze kuandaa ule ambao bahati mbaya hata jina sikumbuki (sijui unaitwa Sulvane) uliofanyika Arusha?
 
Back
Top Bottom