Kikwete kutochukua hatua yoyote: Je ina maana naye anauza au kunufaika na unga?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
[h=3][/h]

thumbnail.aspx
thumbnail.aspx

Kuna imani kuwa viongozi wetu wa juu wanashiriki au kushirikiana na wauza unga. Ndiyo maana wahusika hawakamatwi kwa vile wanaopaswa kuwakamata ndiyo wale wale wanufaika na jinai hii. Rais aliwahi kutuahidi kuwa angewashughulikia wauza unga na alisema kuwa orodha yao alikuwa nayo. Miaka inazidi kuyoyoma. Je rais atatimiza lini ahadi yake? Kwa habari zaidiBONYEZA hapa.
 
Umeuliza maswali ya msingi. Lakini, just for a moment (and hypothetically speaking), hebu jaribu kujiweka kwenye nafasi ya Rais wa Jamhuri. Jee, wewe binafsi ungechukua hatua gani kuondoa tatizo hili kwenye mfumo mbovu uliyojaa rushwa na madudu kibao kwenye vyombo vyote kuanzia serikali, state, law enforcemenent na mfumo wa mahakama? Jee, inawezekana kwamba mtu mmoja angeweza kusafisha mapungufu na mabaya yote kwenye mfumo potofu, uliokithiri na ambao yeye mwenyewe anautegemea kudhihirisha dhana nzima ya madaraka yake bila ya mapinduzi ya kweli?
 
kwa rais anayezunguka kuomba misaada nje kuendesha nchi na shughuli zake binafsi, mara anapokosa misaada huko plan B inawezekana kabisa kuwa mtu wa Unga. inasemekena huko mitaani hao wanausalama fulani wanakula pesa ya unga na famialia zao zimeathiriwa na unga. bado naunga habari ikikamilika itamwangwa kwa uwazi.
 
Umeuliza maswali ya msingi. Lakini, just for a moment (and hypothetically speaking), hebu jaribu kujiweka kwenye nafasi ya Rais wa Jamhuri. Jee, wewe binafsi ungechukua hatua gani kuondoa tatizo hili kwenye mfumo mbovu uliyojaa rushwa na madudu kibao kwenye vyombo vyote kuanzia serikali, state, law enforcemenent na mfumo wa mahakama? Jee, inawezekana kwamba mtu mmoja angeweza kusafisha mapungufu na mabaya yote kwenye mfumo potofu, uliokithiri na ambao yeye mwenyewe anautegemea kudhihirisha dhana nzima ya madaraka yake bila ya mapinduzi ya kweli?

OneManArmyMan,

..lakini huo mfumo mbovu si umewekwa na serikali ya CCM ambayo imekuwepo madarakani kwa miaka 30+.

..pia JK ni mwanajeshi wa ngazi ya Lt.Col, mchumi, kada wa chama wa muda mrefu, amepata kuwa waziri wa nishati na madini,fedha,na mambo ya nje, zaidi alifanya maandalizi ya miaka 15+ kuja kuwa Raisi.

..mimi sikutegemea mtu mwenye sifa zote hizo aje kufanya kazi ya kibabaishaji namna hii.
 
Kinara wa biashara ya madawa ya kulevya ni riziwani. Pia msifikili JK hajui nini kinachoendelea. Kwa hiyo haiwezekani mtu anieleze kuwa JK hayuko connected kwenye hii biashara. Kama kweli angekuwa na nia ya dhati na yeye asingekuwa muhusika, angeitokomeza kabisa hii biashara...
 
[h=3][/h]

thumbnail.aspx
thumbnail.aspx

Kuna imani kuwa viongozi wetu wa juu wanashiriki au kushirikiana na wauza unga. Ndiyo maana wahusika hawakamatwi kwa vile wanaopaswa kuwakamata ndiyo wale wale wanufaika na jinai hii. Rais aliwahi kutuahidi kuwa angewashughulikia wauza unga na alisema kuwa orodha yao alikuwa nayo. Miaka inazidi kuyoyoma. Je rais atatimiza lini ahadi yake? Kwa habari zaidiBONYEZA hapa.

Kwani tangia lini ametimiza ahadi zake? Na ukimuuliza katika hali atakuambia ukiwakamata nchi itayumba!
 
Nasikia mzigo aliokuwa amekamatwa nao Matonya huko China ulikuwa wa Baba Mwanaasha.
Pia familia ya kwanza ndio iliyo mnusuru Matonya na kifo cha kunyongwa
 
Jk ni janga jamani na kijana riz1 anafanya kila uchafu leo hii, nenda katika kuingiza makontena bila kulipa ushuru, kumiliki biashara kubwa ambazo katika hali ya kawaida mtaji kautoa wapi, na hii issue ya madawa hata watu wake wa karibu wanamtaja sana huyu kijana nadhani baba yake atakapotoka kwenye urais sijui itakuaje maana watu wana data za kijana na baba patachimbika.
 
Kinara wa biashara ya madawa ya kulevya ni riziwani. Pia msifikili JK hajui nini kinachoendelea. Kwa hiyo haiwezekani mtu anieleze kuwa JK hayuko connected kwenye hii biashara. Kama kweli angekuwa na nia ya dhati na yeye asingekuwa muhusika, angeitokomeza kabisa hii biashara...

Kwaiyo izo drug zilizo shindikana America ,Mexico,Kenya,na kwingineko duniani ni marais wanamshirikiana na watoto wao kufanya izo biashara Ndio maana nao wameshindwa kudhibiti?
 
Nasikia mzigo aliokuwa amekamatwa nao Matonya huko China ulikuwa wa Baba Mwanaasha.
Pia familia ya kwanza ndio iliyo mnusuru Matonya na kifo cha kunyongwa

Sjui Kama unajua unachosema AMA ni ushabiki tu Kama unakamatwa china kwataarifaa yako Hunaakutokea hat a ukiwa mtoto wa rais sembuse alietumwa..nenda kaulize uingereza walivyo angaika na Mtu wao kumtetea na kuiomba serikali ya china isimnyonge afungwe tu unajua kilichotokea !? Itakua matonya ombaomba...sio vizuri kuzungumza vita vyakusikia ambavyo huna uhakika navyo.Iyo ni tabia moja mbaya Sanaa ambayo anayo mwanadabu kuzua
 
Kwaiyo izo drug zilizo shindikana America ,Mexico,Kenya,na kwingineko duniani ni marais wanamshirikiana na watoto wao kufanya izo biashara Ndio maana nao wameshindwa kudhibiti?

Usiwe kama umeshikiwa akili. JK amewai kukili kuwa wauza unga anawafahamu na majina yao anayo. Sasa, rais wa nchi kusema anawajuwa wauza unga na mpaka leo hakuna hatuna zozote ambazo zimeshachukuliwa, inatia mashaka sana. Pia, kama majina alikuwa nayo, kwa nini hakutueleza watanzania kuwa ni kina nani hao watu, kwa sababu JK anapaswa kututumikia sisi wananchi. Amebakia kuongea kwa mipasho na mafumbo tu... Sasa, nenda kamueleze kuwa watanzania wameshajua kuwa yeye na mtoto wake riz1 ndio wauzaji wakubwa wa unga. Nenda kamueleze...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom