Kikwete kutembelea wizara tena

Mimi nashukuru kuona ni "Wizara Zinamtembelea Rais" badala ya "Rais kutembelea Wizara".

Kuna per diem za "kuwa ziarani" na Rais wakati Mkuu anapofanya ziara wizarani?

Na tujue vile vile kuna kutembelea Wizara na kutembelea Makao Makuu ya Wizara. Ukitembelea vizuri Wizara itabidi uzunguke Tanzania nzima. Kama wewe ni Rais, huna sababu ya kutembelea Makao Makuu ya Wizara, say, ya Kilimo. Hutaona kilimo chochote huko.

Ni kazi za kawaida, za kila siku, Rais kuhakiki mawaziri wake wanafanyaje kazi. Kwanini "ziara" hizi zipigiwe filimbi? Philemon Michael is spot on.
 
Back
Top Bottom