Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,038
- 2,199
Rais kikwete anatarajiwa kuhudhuria eneo la laitori-ngorongoro ambapo atashuhudia nyayo za binadamu wa kale zilizofukuliwa hivi karibuni.nyayo hizi zinakadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka milioni 3+
kumetokea ubishi kati ya wanasayansi wengine wakipinga kufukuliwa kwa nyayo hizo kwa hofu ya kuharibika huku wengine wakitaka zifukuliwe kwani ni sehemu muhimu ya utalii.
Source:ITV
kumetokea ubishi kati ya wanasayansi wengine wakipinga kufukuliwa kwa nyayo hizo kwa hofu ya kuharibika huku wengine wakitaka zifukuliwe kwani ni sehemu muhimu ya utalii.
Source:ITV