Kikwete kuongezewa miaka miwili?

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
497
236
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera).

Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.

Wabunge wa ccm wameonyesha kufurahishwa sana na hoja hii maana ameshangiliwa kupita kiasi, si ajabu amepangwa.
 
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera), Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.

Huyu ndhani ni miongoni mwa wabunge vilaza ambao sijapata kuwaona!
 
Kwa kweli hii kauli ya mbunge huyu wa CCM sio ya kupuuzwa. Hii kauli inadhihirisha kuwa ccm wanapambania mamlaka makubwa ya rais ili rais azidishe muda wa kukaa madarakani kama madikteta wengine wanavyofanya. Naamini Lusinde kaagizwa kunena maneno aliyoyanena na hii itakua ni moja ya agenda ya vikao vyao vya CCM.

Jamani CCM wamelewa madaraka kiasi cha kutaka kujiongezea muda wa kukaa madarakani kwa kuhofia ushindani kutoka kwa wapinzani watakaopata 2015.

Tusimame kwa pamoja tumshinde mlevi huyu wa madaraka.

Taifa kwanza, chama baadae.
 
nyie ndo vilaza humu ndani,hamjui wakati gani mtu anaongea jambo akiwa serious na wakati gani anatania.
 
ila watu mnapenda mipasho bado tu mnatazama bunge labda kama mtu ushamaliza kazi zako halafu unataka kusikia mipasho hapo sawa

Pamoja na mapungufu yaliyopo Kuna umuhimu wa kuangalia kinachoendelea, ili tuweze kupanga mikakati ya kuliokoa taifa hili.
 
nyie ndo vilaza humu ndani,hamjui wakati gani mtu anaongea jambo akiwa serious na wakati gani anatania.

Nnawasiwasi kama weye mrombo kweli, huko ambako nasikia sukari kilo sasa ni tsh 4500 kipindi hiki miaka 50 ya uhuru, yaani kama enzi zile za ujima kununua sukari na unga wa yanga maduka ya ushirika! nakama niwahuko basi weye ni fisadi mramba. WASHABIKIA NINI HAPO?

kwa hiyo watuaminisha Shoga lusinde alikuwa anatania ndani ya 15minutes za kutumia muda huu muhimu kuchangia mjadala! si akakutanie mkiwa kitandani mnapumuliana! shiit!

WANAFORUMS,
Tukumbuke enzi za utawala wa mwisho wa Mkapa pia ziliibuka hoja za uchokonozi ili aongezewe mda, zikapingwa ndanikwandani!
Katika kipindi hiki cha Jk naona ndo dalili zimenza hivyo!
Nakumbuka hata juzi wakati wa kuchangia sheria ya manunuzi huyu bwabwa lusinde alisema Jk aongezewe mda,
kwahiyo wamejipanga na sio UTANI!

The Time Will Tell
 
ila watu mnapenda mipasho bado tu mnatazama bunge labda kama mtu ushamaliza kazi zako halafu unataka kusikia mipasho hapo sawa

Ki ukweli wewe umeipunguza makali! Ukikumbuka hao wacheza maigizo ya kipuuzi tunawalipa sisi walipa kodi unapata kichefuchefu na kuipiga mateke TV siyo jambo linalokuwa mbali katika kichwa chako ukiPOTEZA MUDA KUANGALIA wajiitao WAHESHIMIWA bungeni!

Wangelipwa kwa hela ya halmashauri na kuwekewa targets za kutimiza (kama project manager) labda wangeacha upuuzi wanaotufanyia WALIPA KODI TUNAOWALIPA HELA MNAYOITUMIA KUJIFANYA MIUNGU WATU
 
Hata haishangazi ni Mbunge wa Mtera moja ya majimbo masikini hohehahe hapa Tanzania. Wananchi wake hawajitambui kama vile yeye mwenyewe asivyojitambua. Ni heri hii nchi igawanywe ili majimbo kama Mtera yawe nchi yajitegemee na kukaa na ujinga wao wenyewe maana wamezoea ujinga
 
Lazima aongezewe. Binafsi bado ninawadai hela za kampeni nilizowakopa tangu 2005, akiongezewa nadhani wataweza kulipa deni.
 
Hao kushangilia vitu vya kipumbavu kawaida ila nachowapenda huwa wanajadili vitu wasivowezakuvitekeleza kwa mfano:iv sasa wanajadili huo mswada bila upinzani utaniambia matokeo yake kifupi hawana uwezo wakufikili kabisa yani ukiwachukua wabunge hamsini wa CCM wakikaa kufikiri na kujadili jambo kwa mwezi moja ni sawa na TUNDULISU akiongea kitu peke yake kwa kufikiria kwa dakika kumi yani kunautofauti sana na kinachosababisha ni elimu zao za kuforge .
 
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM aliyeshangiliwa sana leo Bungeni wakati wa kuchangia mjadala wa mabadiliko ya katiba ni Livingston Joseph Lusinde (Mtera), Ambaye amesema kuwa serikali inakabiliwa na matumizi makubwa ya fedha katika kipindi hiki yakiwemo yale ya chaguzi za serikali za Mitaa hivyo amependekeza Rais aongezewe miaka miwili ili katiba nzuri iandaliwe lakini pia akibeza baraza la katiba na wanaharakati akisema ni vibaraka wa wafadhili.

Wabunge wa ccm wameonyesha kufurahishwa sana na hoja hii maana ameshangiliwa kupita kiasi, si ajabu amepangwa.

Hawajamshangilia kwa hoja makini bali kwa kutoa hoja ya kipuuzi kuliko zote zilizowahi kutolewa, sio kila anayekukenulia anakuchekea, wengine wanakucheka!
 
Nnawasiwasi kama weye mrombo kweli, huko ambako nasikia sukari kilo sasa ni tsh 4500 kipindi hiki miaka 50 ya uhuru, yaani kama enzi zile za ujima kununua sukari na unga wa yanga maduka ya ushirika! nakama niwahuko basi weye ni fisadi mramba. WASHABIKIA NINI HAPO?

kwa hiyo watuaminisha Shoga lusinde alikuwa anatania ndani ya 15minutes za kutumia muda huu muhimu kuchangia mjadala! si akakutanie mkiwa kitandani mnapumuliana! shiit!

WANAFORUMS,
Tukumbuke enzi za utawala wa mwisho wa Mkapa pia ziliibuka hoja za uchokonozi ili aongezewe mda, zikapingwa ndanikwandani!
Katika kipindi hiki cha Jk naona ndo dalili zimenza hivyo!
Nakumbuka hata juzi wakati wa kuchangia sheria ya manunuzi huyu bwabwa lusinde alisema Jk aongezewe mda,
kwahiyo wamejipanga na sio UTANI!

The Time Will Tell

mmhh kweli itabidi jamaa ajipange msamehe bure atajua ni anatakiwa kufanya hapo baadae..
 
Back
Top Bottom