Kikwete kulia au kushoto?

kaleju

Member
Jan 27, 2011
48
2
Inasikitisha pale rais wetu mpenda jk anapozdi kuwakumbatia na kuwapa nyazifa viongoz waliomwagwa na kukataliwa na wana nch katika mchakato wa uchaguz 2010.
Mfano Kamala aliyekua mbungd wa nkenge, malmo.
Kwani hakuna wa2 wengine wanaoweza kukaim nafasi hyo?
 
kwani ukishindwa ubunge ndo umeshindwa kutumikia taifa kwa majukumu mengine? Mbona mna umaskini mkubwa wa mawazo jamani? Mmeona ubunge ndiyo mwisho wa kila ki2?. Nendeni mkajifunze cyo mnakurupuka2 kama mnatoka msalani
 
Dah, hivi wale wote wanaogombea ubunge wangekuwa wanapata sijui ingekuwaje? Uchambuzi wako ni dhaifu sana, labda ungetoa udhaifu wao binafsi ingesaidia.
 
Last time Mh. Membe alisema kuwa balozi hakuna vigezo rasmi. Ni pale ''IKIMPENDEZA RAISI'' unalamba ubalozi. sio jukumu letu kuhoji maana tulishampa raisi mamlaka ya kupendezwa na watu flani. katiba mpya ndo suluhisho
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom