Kikwete kufanya uteuzi wa madc na ma rc ktk mikoa mipya kabla ya Disemba

Jun 9, 2011
16
7
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza viongozi wa wilaya mpya wa WANGING'OMBE mkoa mpya wa Njombe kuondoa MVUTANO wa makao makuu ya wilaya hiyo ambapo na kuwa Kama watashindwa kuafikiana Kati ya Kata ya WANGING'OMBE na kata ya ugwachanya basi ataamua yeye,huku akidai kuwa wakuu wa wilaya wapya na wale wa mikoa mipya Uteuzi wake kabla ya Desemba mosi mwaka huu.
 
Wateule hao watakuwa na kazi gani na manufaa yapi kwa Tanzania yangu? Wanamwakilisha nani ili iweje?

Chadema mjipange kufuta mambo haya
 
Nilidhani ana mpango wa kufuta hivi vyeo vya uDC na uRC kumbe bado wanateuliwa wengine?! Kwa tija ipi kama siyo matumizi mabaya ya kodi zetu.
 
Back
Top Bottom