Kikwete, Kanumba, wasanii, madaktari na usanii

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Rais JakayaKikwete aliahirisha safari ya ughaibuni si kwa kuogopa kuwaongezea mzigowatanzania kutokana na tabia yake ya kupenda kusafiri bali kumlilia Kanumba,nilishangaa na kuanza kujiuliza huyu Kanumba ni nani ambaye umuhimu wake nimkubwa hivi kiasi cha kuvunja rekodi ya Kikwete katika utendaji wake? Nilijiulizaswali hili kutokana alichofanya wakati wa mgomo wa madaktari ambapohakuahirisha safari yake kwenda kwenye mkutano ambao hakukuwa muhimu sana kuleDavos. Nilishangaa aliposema aliguswa na msiba wa Kanumba kuliko wa watanzania waliokufa wakati wa mgomo wa madaktari.
Haya ni maneno ya Kikwete, “Nimeguswa na msibahuu, nilikuwa nisafiri lakini nimeamua kuja hapa kuwapa pole ndugu na wasaniiwote,”

Katika tanzania uongozi wa nchi unaweza kusubiri!!!!!
kifupi NCHI inajiongoza yenyewe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Someni sera za utandawazi vizuri.
Utandawazi ni moja ya sera kubwa za freemasons.
Wakuu wa nchi mbalimbali ni members wa freemasons na kama huyo mkuu si member hiyo nchi inatengwa ama huyo kiongoz huuwawa ama hapewi madaraka.
Mkapa, JK ni members wa kundi hilo.
Freemasons wanamwinua mtu mwenye kipaji na kumpa support kubwa kifedha na kiteknolojia yao mfano Michael Jackson na Justin Birbier hawa wameinuliwa.
Je mastaa wa bongo wanaopendwa sana c ndo kama SK. Nani hajui kama bongo freemasons wapo tena Mkapa ndo kawajengea mizizi?
daa naruka hii topic
nataka kusema look beyond the scene. Kama mkuu wa kaya ameamua kuahirisha safari kwa msiba huu there is a logic katika maelezo niliyokatisha hapo juu.
Unaweza usijue wapi na how JK na marehemu walipray the same or nearly alike role.
mwisho mgomo wa madaktari na vifo vya wagonjwa havikuwa na connection na freemasons ndo maana mkuu hakuguswa mapema na alisafiri!
Chezea sera za utandawazi/freemasons wewe!
 
Dots can be connected here...! Anywayz mi simo asee..!
 
uwezo wenu wakuchanganua mambo ni mdogo sana.

Inawezekana uwezo wa kufikiria ni mdogo...ila itakuwa makosa makubwa tukiacha hata kufikiria kidogo kidogo hivyo hivyo.Kweli nani ana uzito kwa muhusika si suala kubwa ila ni kubwa kama linabeba interest za TaIFA.
 
Juvenal, that Roman poet of renown, said, to keep the masses in check, give them circuses and bread.

What we are seeing here is bad circuses minus the bread.
 
Haahaaa! Afadhali umetujuza...wengine sio wafuatiliaji sana wa maandishi wakati all the magic power that rule the world is in the form of writings and basically in the books.
 
Someni sera za utandawazi vizuri.
Utandawazi ni moja ya sera kubwa za freemasons.
Wakuu wa nchi mbalimbali ni members wa freemasons na kama huyo mkuu si member hiyo nchi inatengwa ama huyo kiongoz huuwawa ama hapewi madaraka.
Mkapa, JK ni members wa kundi hilo.
Freemasons wanamwinua mtu mwenye kipaji na kumpa support kubwa kifedha na kiteknolojia yao mfano Michael Jackson na Justin Birbier hawa wameinuliwa.
Je mastaa wa bongo wanaopendwa sana c ndo kama SK. Nani hajui kama bongo freemasons wapo tena Mkapa ndo kawajengea mizizi?
daa naruka hii topic
nataka kusema look beyond the scene. Kama mkuu wa kaya ameamua kuahirisha safari kwa msiba huu there is a logic katika maelezo niliyokatisha hapo juu.
Unaweza usijue wapi na how JK na marehemu walipray the same or nearly alike role.
mwisho mgomo wa madaktari na vifo vya wagonjwa havikuwa na connection na freemasons ndo maana mkuu hakuguswa mapema na alisafiri!
Chezea sera za utandawazi/freemasons wewe!
I hate the obsession of Tz youth with freemasonry! Ever since some people learned a thing or two about this sect, everything started revolving around it!!!! It's now officially "a reason for everything" that happens around us. Tell you what people, the universe came to existence along with civilization millions of years before the stupid freemasonry. Stop blowing it out of proportions! Stop giving the devil power equal to that of God (being everywhere, capable of everything, sees all things, knows all things) because these are just creatures, they do not have that ability! We give them lots of "airtime" and promote their course by blowing their stupid conspirancy theories out of proportions.
 
To the contrary.

Actually ukishaamini mungu kama ulivyoeleza hapo juu ushaanza ku-fall katika mpango wa Freemasons.
 
I hate the obsession of Tz youth with freemasonry! Ever since some people learned a thing or two about this sect, everything started revolving around it!!!! It's now officially "a reason for everything" that happens around us. Tell you what people, the universe came to existence along with civilization millions of years before the stupid freemasonry. Stop blowing it out of proportions! Stop giving the devil power equal to that of God (being everywhere, capable of everything, sees
 
Really? Do you mind articulating how that is?

Freemasons wanaamini mungu, tena wako benevolent kuliko wakristo/ waislamu kwa sababu wanaamini katika kuunganisha dini mbalimbali zinazoamini kuwepo kwa mungu. Soma David McCullough's "Truman" uone walivyoshiriki katika ascent ya Truman.

Kwa hiyo mtu ukishakuwa una imani ya mungu tu unaweza kuwa Freemason.

Mtu kama mie ambaye siamini kuwapo kwa mungu ndiyo naweza kusema niko tofauti kabisa na Freemasons.

Acheni kufuatilia hizi hadithi za juu juu za kuhusu Freemasons.
 
tanzaniaa, tanzaniaaaaaaa, nakupenda kwa moyo woteeeeeeeeee, nchi yangu tanzaniaa, jina lako ni tamu sana!!!!!! nilalapo nakuota weweeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom