Kikwete kama Mbeki na Lowasa kama Zuma

Ngomo

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
200
95
upepo unaovuma ndani ya chama cha mapinduzi unaonyesha kwamba yale yaliyo mtokea rais mstaafu thabo mbeki wa afrika kusini huenda yakamtokea vilevile rais wapo jk. kwa jinsi gamba la ccm lilivyo vuliwa inaonyesha lowasa kaanza kupata nuru na kazi moja imebaki ni ya mzee mzima jakaya kuondoka. kama zuma alivyo kuwa na bado ni msanii na mapungufu kibao ya dhahiri huenda hata mmasai huyu naye akapita njia ile ile ya kuingia ikulu.
 
ANC= Chama cha ukombozi na chama tawala S.A.
CCM= Chama tawala Tanzania na kilizaliwa upya 1977 kutokea TANU.
ZUMA: Alijiuzulu kwa kashfa za rushwa, alipiga counter attack na kumzodoa Mbeki. Zuma alihudhuria Dodoma kuteuliwa kwa JK mwaka 2005.
LOWASSA: Alijiuzulu uwaziri mkuu, amerejea kupitia kamati ya kudumu ya bunge akiwa ni mwenyekiti, japo kavuliwa gamba.

Hii historia inashabihiana ila namashaka na kutimia kwake.
 
upepo unaovuma ndani ya chama cha mapinduzi unaonyesha kwamba yale yaliyo mtokea rais mstaafu thabo mbeki wa afrika kusini huenda yakamtokea vilevile rais wapo jk. kwa jinsi gamba la ccm lilivyo vuliwa inaonyesha lowasa kaanza kupata nuru na kazi moja imebaki ni ya mzee mzima jakaya kuondoka. kama zuma alivyo kuwa na bado ni msanii na mapungufu kibao ya dhahiri huenda hata mmasai huyu naye akapita njia ile ile ya kuingia ikulu.

Endelea kuota ndoto pia huwa sehemu ya viburudisho vya mwanadamu awapo usingizini japo akiamka anakuta reality ni tofauti na njozi.
 
upepo unaovuma ndani ya chama cha mapinduzi unaonyesha kwamba yale yaliyo mtokea rais mstaafu thabo mbeki wa afrika kusini huenda yakamtokea vilevile rais wapo jk. kwa jinsi gamba la ccm lilivyo vuliwa inaonyesha lowasa kaanza kupata nuru na kazi moja imebaki ni ya mzee mzima jakaya kuondoka. kama zuma alivyo kuwa na bado ni msanii na mapungufu kibao ya dhahiri huenda hata mmasai huyu naye akapita njia ile ile ya kuingia ikulu.

Hoja yako sikubaliani nayo na hamna kushabihiana kama ulivyojaribu kuonyesha
 
Usiandike mambo usiyo yajuwa! Lowasa afanani hata0. 001% na Zuma. Just b'coz tifu zao zinatofautia! LOWASA FISADI WA UMMA WAKAT MBEKI YEYE MZEE WATOTO
 
hizi sio ndoto logic inaonyesha hivyo, chemistry ya siasa inampa probability ya lowasa kumrithi jk
 
Huu si mfano mzuri mbeki alikuwa na kipaji wakati kikwete hana. Zuma anapendwa na watu masikini wakati lowassa wanamwita fisadi!!! wapi wapi???
 
hivi mijitu mingine ikweje? yaani pamoja na lowassa kuwatia kwenye shida zisizokuwa na ukomo bado unamwabudu tu> Au wewe ndo miongoni mwa yale mademu wake nini? wewe ni yupi? yule aliekuwa akiongozona nae kwenda kwenye mradi wa maji kutoka lake victoria nini? Umeniudhi sana tu. ccm itafikia mwisho pale JK atakapomaliza muda wake kwani ina kansa, na uhai wake unaonekana bado miaka 4 na kitu kidogo tu. so no the so called lowassa again.
 
upepo unaovuma ndani ya chama cha mapinduzi unaonyesha kwamba yale yaliyo mtokea rais mstaafu thabo mbeki wa afrika kusini huenda yakamtokea vilevile rais wapo jk. kwa jinsi gamba la ccm lilivyo vuliwa inaonyesha lowasa kaanza kupata nuru na kazi moja imebaki ni ya mzee mzima jakaya kuondoka. kama zuma alivyo kuwa na bado ni msanii na mapungufu kibao ya dhahiri huenda hata mmasai huyu naye akapita njia ile ile ya kuingia ikulu.

ni mmeru na hana hata chembe ya maasai ndugu yangu. wazazi waliloea huko tu.
 
Back
Top Bottom