Kikwete kafanya mengi kipindi chake cha uongozi, tutamkumbuka...

Amenifanya nifahamu kwa upana na undani ni kwa nini Mwl hakutaka ashike hii nchi hata kidogo!!!! kwa hili nitamkumbuka sana
 
zaidi ya rais wa Tanzania anayeongoza kwa kuanguka majukwaani, sioni jipya kwake! Labda kama BABU WA LOLIONDO kamleta yeye, hapo ntamwona dili...
 
Amejenga UDOM,
Amejenga sekondari kila kata ya NCHI hii,
Kuna kesi mahakamani zaidi ya 15 za rushwa kubwa nchini,
Daraja la Msumbiji limekamilika,
Barabara ya kusini na ile ya Mwanza zinakamilika mwaka huu,
Uhuru wa habari umepanuka sana, humu JF tunamkejeli tunavyotaka,
[FONT=Arial[SIZE=3]]Karuhusu swahiba wake EL aende na maji,[/SIZE]......................................[/FONT]

kwenye red naomba ufafanuzi aliruhusu aende au alitolewa kafara ili watu wasijiudhuru?
 
Wadau nadhani kama kuna jambo ambalo JK tutamkumbuka daima ni kuhudhuria mazishi ya ndg na jamaa, inawezekana kabisa akaingia katika historia ya kiongozi aliyehudhuria misiba mingi kuliko wote Tz kuanzia wabunge na mpaka kiongozi wa aina yeyote.

Big up JK daima umekuwa nasi wakati wa dhiki na faraja
 
That is the only alternative he has for achieving cheap popularity since he is not able to solve economic and social hardships facing the country!!
 
That is the only alternative he has for achieving cheap popularity since he is not able to solve economic and social hardships facing the country!!
Greatful if you could tell us among the Presedents we have ever had since independence who managed to solve economic problems
 
Amewapa faraja waliokuwa katika majonzi kwa president kuwepo katika msiba wao, tutamkumbuka kwa kutoa ahadi hewa, tutamkumnuka kwa kuhamisjia utajiri kwa mtoto wake, tutam kumbuka kwa kushindwa kufanya maamuzi magumu
 
Wadau nadhani kama kuna jambo ambalo JK tutamkumbuka daima ni kuhudhuria mazishi ya ndg na jamaa, inawezekana kabisa akaingia katika historia ya kiongozi aliyehudhuria misiba mingi kuliko wote Tz kuanzia wabunge na mpaka kiongozi wa aina yeyote.

Big up JK daima umekuwa nasi wakati wa dhiki na faraja

kwa kusafiri nje ya nchi mara nyingi.

kuchekacheka.

kuomba shahada (degree).

kuishi kimjinimjini kama mwanae.

kupiga pamba.

visasi,majungu na fitina.
 
Mimi kwenye misiba ya ndugu zangu sijamwona kwa hiyo siwezi hata kumsifia kwa hilo.....change is what we need
 
Hata akihudhuria misiba haonyeshi majonzi yoyote, kwa vile muda wote huwa anacheka.
 
Wadau nadhani kama kuna jambo ambalo JK tutamkumbuka daima ni kuhudhuria mazishi ya ndg na jamaa, inawezekana kabisa akaingia katika historia ya kiongozi aliyehudhuria misiba mingi kuliko wote Tz kuanzia wabunge na mpaka kiongozi wa aina yeyote.

Big up JK daima umekuwa nasi wakati wa dhiki na faraja

YES! ni kweli kabisa JK atakumbukwa kwa udhaifu wake katika nyanja zote, wakati wote wa uongozi wake. Ninge muona wa maana kama angewezesha kilo moja ya sukari kunuliwa kwa 500/-, kama kilo ya unga itakuwa 350/- kama wakati wa BM, Dola moja ya marekani kununuliwa kwa TZS 800/- kama wakati wa BM. Wewe uko wapi bwana?? Au na wewe ni kama JK?
 
Sio hilo tu, kuna mengi muhimu zaidi aliojitahidi ktk kuifikisha inchi hapa tulipo mfano haya machache ulaini wa maisha (maiaha bora), uingizwaji mikataba yenye maslahi kwa taifa, utekelezwaji wa ahadi lukuki, uvuaji wa gamba na kubaki na sumu na zaidi msiba atakaohudhuria muhimu ambao taifa halitousahau na muhimu kwake wa ccm 2015.
 
Sio hilo tu, kuna mengi muhimu zaidi aliojitahidi ktk kuifikisha inchi hapa tulipo mfano haya machache ulaini wa maisha (maiaha bora), uingizwaji mikataba yenye maslahi kwa taifa, utekelezwaji wa ahadi lukuki, uvuaji wa gamba na kubaki na sumu na zaidi msiba atakaohudhuria muhimu ambao taifa halitousahaulika na muhimu kwake wa ccm 2015.

Go to hell ccm
 
Vilevile tutamkumbuka kwa kuingia kwa kishindo na kutoaka na aibu kubwa Ikulu cause hana la kujivunia mpaka sasa.Ule mvuto haupo tena, zaidi ya hapo atakumbwa kwa kufiwa na CCM mikononi mwake.
 
sasa si hana la kufanya ndio maana inambidi ajizungushe zungushe tu. nchi imemshinda maisha magumu kupita maelezo.
 
Back
Top Bottom