KIKWETE JUU! Amechaguliwa kupatanisha Ivory Coast...PHD NYINGINE!

wandugu,hawa hawakukosea! ni lazima kuwe na mwakilishi wa kundi la wezi,sifa ambayo kikwete anayo!
 
Kwako kunawaka moshi, unaenda kusuluhisha kwa jirani . . .
What a joke is this . . .!!!!
 
Ndugu zangu miaka mitano ni mingi, ukiongeza mingine mitano ya ku-reform nchi tutakoma!
Wanaume tumeumbwa~mateesoo~mateso ouhhh sorry na wanawake wamo!
 
Bei ya sukari imepanda kutoka sh 1600 hadi 2000 (taarifa ya saa 2 leo usiku). Mfikirieni mwananchi wa kawaida aliyeuza kura kwa kutokuelewa!
 
Back
Top Bottom