Kikwete jiuzulu mara moja ili watoto hawa waweze kukua kwa matumaini

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
scan0002.jpg

Kikwete achia ngazi hawa watoto wawe na matumaini ya maisha bora baadaye !
 

Attachments

  • Alaji.JPG
    Alaji.JPG
    20.5 KB · Views: 90
Mkuu hii picha inajieleza kwa mapana na marefu. Hii ni nchi yangu Tz. au ni Malawi oops sorry kumbe ni bongoland.
 
Watoto wanaafya zao kuliko hata na. ni.hii mwenyewe wewe unawasingizia kuwa hawana matumaini?!.
 
Hii picha ilishaletwa hapa jamani na mwana jf mmoja mbona mnapenda kurudia mambo? Hawa wana matumaini makubwa tu hata sura zinajionyesha!!!!!!
 
Nani kakwambia kuwa Rais Kikwete anang'ang'ania madaraka, Yupo katika awamu ya pili ya uongozi wake kulingana na Katiba ya nchi. Subiri amalize kipindi chake cha uongozi, mwaka 2016 ukiona anaendelea lete hii picha nami nitakuwa miongoni mwa wale watakaokuunga mkono.
 
Hivi wakuu huu waraka uliotoka wa kumng'oa JK ni wa kweli au mtu majitahidi kuanalyze ili tuamini. Kama waraka huu ni wa kweli basi mimi na family yangu tunauunga mkono ukuombozi huu. Nawahakikishia Jeshi mkifanya hili mtaheshimika na watz mpaka mpaka basi. Kazi njema.
 
Back
Top Bottom