Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,695
- 1,696
Ninachofahamu kwa dhati ni kwamba Mama Salma sio Mke wa Kwanza Wa Rais Jakaya Kikwete. Mama huyu (ambaye kwa Taaluma ni Mwalimu) ameolewa rasmi kati ya miaka ya mwisho mwa 1980 wakati huo Rais Kikwete akiwa Waziri Wizara ya Madini, nakumbuka kwenye Harusi hiyo Juwata Jazz walitumbuiza na nilisikia Kiongozi wa Bendi hiyo Mzee Muhidin Ngurumo ana undugu wa karibu ama na Rais au Mkewe. Kipindi hicho cha harusi watoto wa Rais, Ridhiwan na Salama walikuwepo. Mkuu wa Nchi alifanya Harusi hiyo pale nyumbani kwake Regency Estate.
Asante sana mkuu kwa data hizi. Najua kuna baadhi walikuwa hawajui. Na kama ulivyosema ni hekima kutumia lugha ya kistaarabu. Nia ni kumfaahamu mgombea vema. Unajua hotuba za mwalimu zinatuongoza kwa mengi.
Ina maana Ridhiwani si mtoto wa Salma? Salma na JK wana watoto wangapi? Na hao wengine mama yao ni nani? Je mke wake wa kwanza bado yupo au walitalikiana na kama kuna data zozote?