These successes have led the United States government to grant Tanzania US $698 million under the the Millenium Challenge Account assistance program, the UK government US $500 million for education, and the New York based Africa-America Institute (AAI) to award Tanzania the Africa National Achievement Award in September 2007 in New York.
Akiwa waziri wa fedha alikuwa serious sana kuzuia wizi wa fedha za umma. Na hata hii EPA ingemkuta akiwa waziri wa fedha nafikiri maamuzi yangekuwa tofauti na haya ya kusema rudisheni. Urais nao ni mgumu sana
Acha uongo mkuu,alipopata urais ndo kaonyesha sura yake halisi.Kwasababu kama ni kweli alikuwa serious kuzuia wizi wa fedha za umma alipokuwa waziri wa fedha,basi alipopata urais ni sawa na kusema alipewa rungu kubwa kuliko rungu lolote ambalo angeweza kulipata katika kupiga vita ufisadi,ama kama matawi alivyosema hapo juu,kwamba ulikuwa na upinde na sasa umepewa bunduki unalalamika?Akiwa waziri wa fedha alikuwa serious sana kuzuia wizi wa fedha za umma. Na hata hii EPA ingemkuta akiwa waziri wa fedha nafikiri maamuzi yangekuwa tofauti na haya ya kusema rudisheni. Urais nao ni mgumu sana