Bob Lee Swagger
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 1,362
- 515
Mi nadhani kiongozi bora na competent ni yule anayetumia resources zilizopo/alizonazo effectively kwa ufanisi mkubwa ili ku accomplish his/her objectives. Hivi huyu aliomba ridhaa ya wananchi kuwa kiongozi wao kwa kuomba omba uko ughaibuni? Je zile ahadi alizozitoa kwa wananchi wakati wa uchaguzi alitegemea kuzitimiza kwa kuomba omba misaada nje? Kwanini asitumie alichonacho na hata asipomaliza ahadi zote tutasema kua hata hivyo kajitahidi but sio kwa mwendo huu wa kuzungusha bakuri ulaya na marekani.
Kama misamaha ya kodi ni 3% ya pato la taifa anataka kupewa nini zaid huyu kilaza?!
Na hiyo misaada tunayopewa huwa inafanya nini?! maana tuliambiwa kuwa sisi ni namba 3 kwa kupokea misaada mikubwa duniani!!
Bahati mbaya ni kwamba huko nje huwa hawamuulizi maswali magumu zaid ya yale ya kiudadisi kama hilo la ndoto zake! Labda kwa kujua sisi huwa tunamuuliza?! ama kwa kuona kuwa sisi ndo tunaopaswa kumuuliza?!
Au labda kwa kuona kama akili ya 'dira ya taifa' iko tenge hivyo basi sisi ni zaidi hivyo hakuna haja ya kujitaabisha kuuliza....wanakula na kipofu...!
Na kwa kudhani yuko na 'wazee wa daresalama' anaropoka tu, wazungu kwa kuwa focus yao iko kwenye hiyo misamaha wanayopewa na rasilimali zetu wanazozipata baadaye, huwa wanamsaidia senti chache ili aje kutangaza kwenye hotuba zake za kijuha, halafu kwa 'wawekezaji' hao zinarudi kwa mamia na maelfu kwenye dhahabu zetu, wanyamapori wetu, mikataba ya umeme, ardhi yetu, uranium...!
Kweli huyu kilaza hakustahili kuwa rais!