Kikwete: I can turn Tanzania into heaven if I get a billion dollars a month

Tunajisikiaje tunapoenda kuomba misaada wakati hatutimizi vema wajibu zetu? Tunaomba hela za walipa kodi wengine wakati sisi wanaostahili kulipa kodi wana syndicate za kukwepa kulipia ushuru na bado hawafanywi lolote? Suluhisho la matatizo yetu halipo Ulaya na Marekani...lipo kwetu wenyewe siku tutakapoamua kutafuta maendeleo
 
Majibu ya namna hii huwa yanatolewa na watoto wa chekechea, kweli sio kwamba nasema vibaya lakini kweli haya majibu raghisi kiasi hiki haikubaliki
 
Eti jamani mbona hawajampa cheo chake cha udaktari naona wamemuita mr kikwete au huu udaktari unaishia bongo?

Pamoja na uprofesa wake, ulishawahi kusikia vyombo habari Marekani vikimwita Obama profesa?
Hata kama ikija Tanzania, vyombo vya habari bongo vitamwita profesa?
 
bwahahahaha ahahahahahahab tetetehehehehe teheh haha hahaha teh tehtehte teh aiseeeeeee
hahahahaueteteteteteteahtehe thh hahahahahahaha bwahahahahahahaha bwahahahahahahaa

aiseeeee hivi....bwahahahahahahahab tehetehetehtehethethe kwikwikwikwikwikwikw
aiseeeeeeeeeeee tehetehetehethetehetehtehe aiseeeeee DR JK huyoo bwahahahahahahaha
 
Alikuwa kwenye akili zake kweli??? Mbona mawazo kama ya mtoto mdogo? Au zilikuwa techniques za kuomba msaada nchi za magharibi!!! Yaani kwa akli zake bado anategemea misaada na hizo ndoto za dola bilioni moja kwa mwezi, anaziota akiwa America so what?

Badala ya kuhakikisha anatumia vyema rasilimali zilizopo nchini ili apate mapato ya kutosho kuboresha maisha ya wananchi wake, anaota tena akiwa hata hajalala!! Aibu kweli!!
Halafu cheki wazungu walivyoipamba story. Angekuwa ni kiongozi wa kimarekani, kama governor ametamka state yake ina njaa au ina budget deficit anataka apewe hela za bure na majimbo tajiri, aseme hivyo hadharani wangemwandika anatakiwa apelekwe rehab ya madawa ya kulevya. Kwa sababu, katika political psyche and culture ya America hakuna kukubali wewe ni failure, ni loser ubebwe. Lakini kwa Rais wa kiafrika wanapamba na kupamba stori ikae poa poa wakati ni pumba tupu. Wanafurahi kuona Mwafrika anapiga magoti kubembeleza misaada bila aibu.

Na kwa kweli hata Mwafrika naturally ana hiyo fahari ya kujitegemea . Kijana akishatoka jando tu with his masculine testosterone running amok baba yako anakukatia kipande cha ardhi na unajengewa kibanda, japo cha makuti na udongo, utoke ukalime ujilishe. Na huko jandoni Ngariba yeyote worth his name atakua amekwambia kuwa wewe sasa ni independent man, ukitegemea wenzio kila siku utafanywa mchezo mbaya! Na ndo maana mpaka leo Afrika remains the last citadel of masculine pride, hatutaki kuwa shoga wa mtu!

Lakini mwenzetu Kikwete yeye naturally hana ile ndweo ya Kiafrika kuonea aibu kuomba omba wenzie wazi wazi kila siku. Anadhalilisha. Kikwete, why are you betraying the African pride?
 
Sasa unalia kuhusu $ 1bil /month huku unajua walipa kodi wako wakubwa hapa Tz hawalipi kodi inavyotakiwa...na wewe na Mkulo mlikua vinara wa kusamehe kodi haya mashirika ya nje kwa sababu ya msaada.

Tutapanua vipi sasa wigo wa pato la taifa namna hii? hizi choreographed speeches and statements anyone can make them, my president, you needed to put technocrats in your administration kuacha siasa siasa hizi na ushikaji watu wafanye kazi.

Anyway god's willing 2015 tunapata kichwa
 
Kumbe kaka JK ameshajua tatizo makusanyo madogo, sasa anachotakiwa kufanya ni kubana mianya ya makusanyo na kurekebisha njia za ukusanyaji lakini pia kutengeneza vyanzo vipya vya kodi sio kutegemea tu kutuumiza sisi tunaoagiza Toyota Mark 2 , TBL, COCa Cola,TCC na Mabenki
 
just kidding ana mambo.... Anagawa rasilimali bure, halafu anaomba pesa.... Anatia kinyaa
 
bwahahahaha ahahahahahahab tetetehehehehe teheh haha hahaha teh tehtehte teh aiseeeeeee
hahahahaueteteteteteteahtehe thh hahahahahahaha bwahahahahahahaha bwahahahahahahaa

aiseeeee hivi....bwahahahahahahahab tehetehetehtehethethe kwikwikwikwikwikwikw
aiseeeeeeeeeeee tehetehetehethetehetehtehe aiseeeeee DR JK huyoo bwahahahahahahaha
Afadhali ww imecheka... Mimi nimechukia. Jamaa yuko uchi kweli kichwani

Usa is broke... Yet he puke those toilet ideas
 
Akiwalipisha ushuru hawa watu atapata hizo pesa.
1:Mahotel ya wawekezaji kutoka nje.
2:Migodi ya wawekezaji kutoka nje,na kuacha tabia ya kuruhusu ndege kutua kwenye viwanja vya migodi pia kuzuiya
upelekaji wa mchanga wenye madini kwenda kuchambuliwa nje ya nchi.
3:Kubadilisha mfumo wote wa TRA.
 
hatuwezi kufanya uchagzi kabla ya 2015 maanake kama mkuu wa nchi ana mawazo hayo wengine je? yaani hawa watawala hata hawajui nini cha kufanya....hebu fikiria waziri wa elimu anawaza mabweni wakati madawati na walimu na vitabu na mishahara hakuna aaaaaaaaaaaaaghn
 
Msema kweli mpenzi wa Mungu, pia honesty is the best policy. With a billion dollars a month first i will paint this town red then next day when i am sober enough "l will marry me a beutyful princess, build her a mansion in the grassless skies and install her music platonic .There we will dwell happily ever after. Amen"

END OF STORY
 
Kikwete ni dhaifu sana katika kujenga hoja ya msingi pia ni dhaifu sana katika kueleza kwa ufasaha matatizo halisi ya Tanzania. Maelezo yake yako katika level ya balozi wa nyumba 10 ambaye upeo wake wa juu ni matatizo ya mtaa wake na kijiji chake.
Dogo zito alipohojiwa hapa USA amejieleza vizuri sana na kuonyesha ukomavu katika duru za siasa na uchumi wakati yeye Zito anayaona matatizo ya nchi kupitia upeo wake wa ubunge, sijui angepata upeo alionao kikwete angesema na kufanya nini?

Pamoja na ukweli kwamba Kikwete siku zote hujikanyaga sana akiulizwa swali lolote juu ya Tanzania bado anapenda sana SPOT LIGHT anapenda sana kujipeleka kwenye kilengeo wakati kilengeo hakimpendi na hakimudu.
Ni aibu ya kitaifa kumsikiliza kilaza huyu

Madudu yanayoendelea Tanzania si bahati mbaya ni matokeo ya kuwa na lundo la vilaza na mabishoo wanaofanya maamuzi ya kitaifa.

Hivi ni kweli huyu jamaa ana Digirii ya Political Economy ya UDSM?? Au alibebwa DESSA?? Masikini Kikwete wetu.

Upstairs of this guy is almost empty kuna majani mawili matatu ya mchunga that is it.

Anakwenda nje ya nchi kuomba kapu lake la umatonya liongezwe ujazo badala ya kutafuta suruhisho la kudumu la kuziba ubadhirifu katika kukusanya kodi, mikataba ya madini, utalii, uvuvi kupanua bandari na viwanja vya ndege, kutimua kazi wazembe!!!!!!

Kikwete akifanya HOME WORK yake hata Robo tu ana uwezo wa kukusanya zaidi ya hiyo hela aliyobwata mbele ya waandishi wa habari.

Kikwete makes me SICK!
 
Shame on you kikwete, the resources you have is more than the dollars you want
 
uzuri wa wazungu ni mmoja. unapoongea pumba wao huwa wanatikisa vichwa chini juu kuonesha kuwa wanaukubali uzoba wako. wewe bila kujua unaona umeongea pointi, na unazidi kujikakamua, mate kukuruka, kamasi kukutoka kusisitiza 'point' yako, wao wanazidi kuchezesha vichwa, na kupiga makofi kwa wingi kwa jinsi ulivyo zoba kuu huku wakijiuliza kama mizoba kama hii ndo imeweza kuwa maraisi wa nchi zao na kuchaguliwa kwa vishindo, hao wengine waliosalia ni mazoba kiasi gani? JK anajua hizi pumba hawezi kuzisema mbele ya watz kama hawatomzomea. anapata wapi guts za kuzisema ughaibuni. au anadhani wao wanafikiria tofauti na watz waliopo hapa. dah, najisikia aibu kama vile mimi ndo niliyetamka hazi pumba!
 
jibu la yote haya ni katuni ya kipanya ya leo hii hapa
kipa.JPG
 
Our gold is already a curse, our uranium is already a curse, our agricultural land is already a curse, and Kikwete is there looking at all our resources turning into curses; can oil not become a curse! with these type of leaders,Practically no.

When you say ""We know in ... a number of countries in Africa, these resources ... have turned into a curse instead of being something useful," remember to include Tanzania
...........and kikwete is also a curse to us!
 
Back
Top Bottom