KIKWETE huyooooooo FINLAND

Kuna taarifa kuwa Rais yuko njiani kuelekea FINLAND

Hii imekuwa siri kubwa maana mgomo wa madaktari umefikia pabaya

Leo TBC wanaweza kutoa habari ya kuwa Rais yupo lakini picha zitatoka maktaba

images

Usiniulize sosi
Hapo

kwenye bold panatia shaka.
Habari hii niliiweka jana na mods wakaichakachua. Ziara ya JK nchi za Scandinavia imeahirishwa, till further notice.
Wenyewe waandaaji wamechukia kupewa taarifa ndani ya muda mfupi ilhali maandalizi yameshafanyika
 
Nchi imemshinda huyu maandazi, tuangalie paln B, pinda na wengine wote takatak. Big up mama Kejo Bisimba, naamini yanakuja makubwa zaidi. Hata wanyama wanhudumiwa, wawe wa pori au wa majumbani. Huu ni uppuzi binafsi naumia sana. Ila najiona kama niko peke yangu, labda niingie humu JF, lakini mitaani na hapa mjini watu wanaendelea na maisha kama kawa, hakya Mungu naapa watanzania tunataizo la kiakili, tumepumbazwa,hatuelewi elewi. Tufanye nini wadau tukutane wapi? na lini ? na muda gani? Hii hali haivumiliki
 
Naomba Kuuliza hivi raisi wa Tanzania kipindi hiki ni nani? Kama nchi ingekuwa na raisi kwa huu mgogoro lazima angezungumza..
 
Nakumbuka miaka ya 70 kule Uganda Rais wa wakti ule Milton Obote alikuwa amesafiri kwenda kwenye mkutanoi wa Commonwealth sikumbuki ni nchi gani. Obote alipigiwa simu akiwa hukohuko nje ya Nchi kuaambiwa kuwa yeye HAKUWA RAIS TENA maana nchi ilikuwa imechulkuliwa na Wanajeshi wakiongozwa na Field Marshall Idd Amin.

Sasa mimi nauliza hivi JWTZ wapo au hawapo????Hivi wao wanaridhika na uongozi huu legelege wa Jakaya Kiwete? Wao wanajeshi wanalipwa mishahara kiasi gani? Hii nchi imeshindwa kuendesha utawala wa kiraia kwa njia ya kidemokrasia. Kwa hiyo basi kuna haja ya Jeshi kuchukua madaraka ili tujue moja.

Ndugu yangu usitegemee JWTZ Kufanya mapinduzi. kumbuka ile kesi ya uhaini miaka ile ya themanini, wale maafisa wa jeshi
waliopanga ule mpango walivyoshindwa na dakika ya mwisho wote walikamatwa kama kuku.
Ndani ya Idara nyingi za serikali hata binafsi kuna watu wa TISS/Usalama wa Taifa, hivyo wewe unatoa Wazo kwa Luteni fulani i,hujui yeye ni TISS anapeleka taarifa kwa Boss wake wa TISS, naye anamwambia kubaliana nao.Mambo yanaenda vizuri
dakika za lala salama mpango wote unajamba mnakamatwa kama kuku. ukifanikiwa kupata nakala ya kitabu cha Kesi ya uhaini
kilichoandikwa na MNENGE SULUJA kama sijasau ambako wanamapinduzi akina Zacharia Hans Pope,MAGANGA, MBOGORO,CHITUNGULI,CHAIKA,LUGAKINGIRA na wengineo.Na baadhi waliotajwa katika kesi ile ni maafisa wakuu ndani ya jeshi letu sasa.

NOTE: Taifa lipo mikononi mwa TISS tu wao ndio wenye uamuzi wa mwisho, na nafikiri wanalipwa vizuri tu ,kama si wote basi viongozi wao.
Wapo kila sehemu hawa.
 
Hakuna raisi hapa nchi inajiendesha automatically, kama mashine vile, huwezi ukaiingilia wakati inaoperate, ndo maana hawawezi kufanya chochote, viongozi wetu ni maandazi na sisi wananchi warundi, wakenya, waganda, wanyarwnda, sudani kusini, nchi za SADC watuona maandazi ya nyama kabisa
 
Basi angesema ana allergy na Tanzania?

419460_338993156135140_100000733741456_1114670_1976087171_n.jpg

duh baada ya 50 cent sasa naona ni steven seagal. Jk kamchukua kama bodyguard nini.maana ni kama fully ulinzi hapo mzee wa taekwando na judo
 
Angalia matokeo haya ndo utajua......
S0298/0025
F
MWANAASHA JAKAYA KIKWETE
27
IV
CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F
S0298/0026
F
NADIA ALLY SALIM
18
II
CIV-D HIST-C GEO-C KISW-C ENGL-B PHY-B CHEM-B BIO-C B/MATH-C
S0298/0027
F
NASMA SAID MOHAMED
21
II
CIV-C HIST-D GEO-C KISW-C ENGL-B BIO-B B/MATH-D COMM-D B/KEEPING-D
S0298/0028
F
NEEMA IDDI MTI
17
I
CIV-C HIST-C GEO-C KISW-B ENGL-B BIO-C B/MATH-A COMM-C B/KEEPING-D
S0298/0029
F
NURU OMAR HUSSEIN
20
II
CIV-C HIST-D GEO-C KISW-D ENGL-B BIO-C B/MATH-C COMM-C B/KEEPING-C
We makali unaongea kwa data! kweli uanatisha
 
Huyu ndiye vasco da gama wa zama hizi tofauti ni yule alikuwa na mzuzu huyu 'hanaga' yule harakati zake alitumia melikebu huyu anatumia jet
 
Mpaka sasa sijaona mtu akisema alipo tetesi zinaweza kuwa kweli mwenye kupisha kuhusu hili alete hoja mezani:poa:juggle:
 
Unataka kujitoa muhanga nini? PUUUUUUUU!!!!!!

Nilisema mimi . JF sasa umekuwa ukumbi wa wapiga ramli!!!

sasa hapa ramli imeshindwa. JK yupo huko huko magogoni anaendelea na kazi kama kawaida.

Nashauri. WanaJF lazima mtoe mambo mkiwa na uhakika sio kuendekeza ramli.

 
Nilisema mimi . JF sasa umekuwa ukumbi wa wapiga ramli!!!

sasa hapa ramli imeshindwa. JK yupo huko huko magogoni anaendelea na kazi kama kawaida.

Nashauri. WanaJF lazima mtoe mambo mkiwa na uhakika sio kuendekeza ramli.


kama yupo leta ushahidi sio kupiga ramli kama sheh YAya
 
Back
Top Bottom