KIKWETE huyooooooo FINLAND

angalieni matokeo ya mwanawe ya form 4 ndio utajua baba yupo vipi

S0298/0025​

F​
MWANAASHA JAKAYA KIKWETE

27​

IV​

CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F​
Intelligecy is inherited genetically, kama baba ni tabula rasa mtoto nae huwa tabula rasa pia
 
huyu jamaa kama hajashitakiwa kwa mauaji
mimi nitaungana na mtikila kufungua hiyo kesi
ala mwenye kigoda vipi wewe.
 
Kama ningeambiwa nitowe maamuzi!!

Yani huyu asingetakiwa kurudi hapa Nchini na abaki huko huko alikozoea kuwatembelea,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,tuna hasara sana na huyu binadamu.


Nakumbuka miaka ya 70 kule Uganda Rais wa wakti ule Milton Obote alikuwa amesafiri kwenda kwenye mkutanoi wa Commonwealth sikumbuki ni nchi gani. Obote alipigiwa simu akiwa hukohuko nje ya Nchi kuaambiwa kuwa yeye HAKUWA RAIS TENA maana nchi ilikuwa imechulkuliwa na Wanajeshi wakiongozwa na Field Marshall Idd Amin.

Sasa mimi nauliza hivi JWTZ wapo au hawapo????Hivi wao wanaridhika na uongozi huu legelege wa Jakaya Kiwete? Wao wanajeshi wanalipwa mishahara kiasi gani? Hii nchi imeshindwa kuendesha utawala wa kiraia kwa njia ya kidemokrasia. Kwa hiyo basi kuna haja ya Jeshi kuchukua madaraka ili tujue moja.
 
atakuwa anawnda kumtafutia shule yule mtoto wake aliyepata division 4 point 27
 
kuna taarifa kuwa rais yuko njiani kuelekea finland

hii imekuwa siri kubwa maana mgomo wa madaktari umefikia pabaya

leo tbc wanaweza kutoa habari ya kuwa rais yupo lakini picha zitatoka maktaba

images

usiniulize sosi

vasco dagama
 
JF ya wapiga ramli.
L
oh kumbe wapiga ramli ndio great thinkers.

Poleni sana wa JF
 
Back
Top Bottom