KIKWETE huyooooooo FINLAND

anakwenda kufanyiwa massage ya mdomo si unajua kaongea sana mambo ya kitaifa juzi katika sherehe za chama cha wasiouguza wala kuugua.
 
Ameenda kutafuta wawekezaji wa urahisi., maana mwenyewe ashajua kuwa ameshindwa..!:lol:
 
loh! na msoma kanuni nae si angesafiri tu aisee! yule mama namchukia over JK
 
Hivi huyu jamaa anapataje ujasiri wa kuikimbia nyumba yake ikiwaka moto na wanawe wako ndani?? Hivi huyu mtu ni timamu kichwani?? Na wasiwasi tunaongozwa na mentali
 
safari hii mbona iliwekwa wazi, inajulikana kabisa tarehe 12-15 atakuwa Finland, sijui kama ndio anaenda kutembeza bakuli ama vipi. ngoja tusubiri tuone matokeo
 
Jana wakati wa kushuhudia Mawaziri wa Ulinzi wa kiweka sahihi alionyesha udhaifu mkubwa wa mwili lakini si angevumilia kidogo akikobela glucose anauhakika gani kama madaktari watataka kuongea na Pinda,ambaye aliwatukana na kuwafukuza kazi,vipi kweli madaktari watarudi mezani na mtu ambaye amewanyima ajira na fursa ya majadiliano
 
Kuna taarifa kuwa Rais yuko njiani kuelekea FINLAND

Hii imekuwa siri kubwa maana mgomo wa madaktari umefikia pabaya

Leo TBC wanaweza kutoa habari ya kuwa Rais yupo lakini picha zitatoka maktaba

images

Usiniulize sosi

Siamini kama hii ni post yako. Kumbe nanyie anawakera!
 
ninachojua mimi ni kwamba ililkuwa aje nchi za nordic...mojawaapo zikiwa ni finland na norway.....lakini jana usiku alisema ameahirisha ili kushughukia mambo yaliyo ndani ya nchi......sasa kama amekuja bila kutia taarifa tena hii itampa shida
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hii mbona kama uzushi? Si tulisikia kwenye vyombo vya habari kuwa ameitisha mkutano wa dharura nec tarehe 12-02-2012?
Au imekuwaje tena mkuu?
 
huyo mtu yuko huko tanzania...........hiyo ziara imevunjwa na vijana wa kazi kesho wanaanza kurudi nyumbani......
 
Back
Top Bottom