Kikwete Huyooooo Botswana...sidhani hata anakumbuka yuko wapi?

Status
Not open for further replies.
wewew una chuki binafsi na JK,KUSAFIRI NI TATIZO? AU UNADHANI PRESIDENCY NI MTU MMOJA? SEE A DOCTOR
 
Ameenda kuwaombea chakula, punguzeni jaziba otherwise atasusa abaki tu hapa nchini na mwisho chakula kiwaishie mfe njaa.
 
Sheria za wapi hizo? Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kisheria angetakiwa aende.
1.waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
2.katibu mkuu wa chama cha mapinduzi.
3.wajumbe kadhaa wa ccm.
May be na wajumbe kadhaa watakaokuwa na umuhimu.
Mbona kirumba hakukuwa na maraisi.
Note:
Jk hajui kuikonomaizi ingawa kasoma uchumi.
 
Maaskofu walituaminisha kua sauti ya wengi ni sauti ya mungu...Je kilio cha wengi ni sauti ya...........? CCM yenyewe imeadhimisha miaka 50 hatukuona kiongozi wa nchi yeyote alietia pua yake kirumba sasa kwanini JK? Haya ni baadhi ya maswali wanaCCM walipaswa wamuulize? mie nadhani baada ya kutoswa ulaya,US,UK UARABUNI sasa ameanza kutembeza bakuli lake AFRICA..........AIBU ya karne

kwenye bold....

Asante kwa kutukumbusha maana wengine (akiwemo EL, dam dam wa JK) wameshaaza kupita katika nyumba za ibada kwa minajili ya kupata baraka za watumishi wa bwana ili wawashauri kondoo waliopotea kuwaunga mkono come 2015 election.

Najiuliza, hivi watumishi wa bwana watatuambia nini kuhusu Rais ajaye hasa ilivyokuwa wengi wao ni waungaji mkono wa Chama Cha Magamba(CCM). Atakuwa chaguo la nani.................?????!!!!!!

Mkuu, nimekugongea LIKE moja in appreciation of the reminder.
 
Hivi pale kirumba mbona sikuwaona hao swapo?au mabalozi waliwakilisha??sidhani...ni kupenda tu kuzurula si angeenda Ben na Mukama ingetosha sana!!!labda na mama maria Nyerere ingetosha sana!!
 
Kama hakutua Bongo alipokuwa akitoka London, je ule msafara wake vp?, na wenyewe umeelekea Botswana!!!!!!!!!!!!?, kazi kweli kwelli.
 
Naanza kukubaliana na waliosema harufu ya samaki inamkera pale magogo ndio maana hatulii nyumbani..wiki haipitg atasafiri tena..lol
 
JouneGwalu,

Mie simlaumu JK sikuhizi. Nahisi sisi ndo hatumwelewi.

Mie nangoja astaafu siku nimtafute nimuulize bila jazba naamini kabisa ana majibu sahihi kabisa.

Dah Mkuu FP umenichekesha sana unajua....
Unajua case ya JK ni kama ya mtoto mtukutu ambaye umemchapa wee mpaka unafika wakati hutaki tena kumchapa,
unaamua kutafakari saikolojia ya mtoto huyo, na ukiendelea kumchapa huyo mtoto watu watakuona wewe ndio unamatatizo.
 
Naomba muhusika humu jamvini aendele ku-update safari za huyu mbayuwayu wa ki kwere, kwani akikaa pale magogoni anawashwa...
Afu Salva, umukumbushe kuwai maziko ya mama yake blandina nyoni, kama akichelewa, aende tu kuweka mashada ya maua...
 
Jamani jk ametudidimiza kiuchumi jamani!

Akaona haitoshi akaenda kusain mambo ya ***** aliyofanya juzi na membe

Mi binafsi sina tu uwezo lakini ningetamani akitua tu NGUVU YA UMMA ingetakiwa imrudishe huko huko alikosainia mambo yake ya uharamia!

Hiyo mahakama ingestahili mafisadi wote wa serikali yake wapelekwe pale na wahukumiwe vifo wote.

Acha tu aendelea na raha zake na hata akitaka arudi tena na tena!

Siku zaja hakika! Malalamishi ya Watanzania ina maana haitajibiwaga na MUNGU siku moja kweli?

Tusubirieni na tutasikia majibu yake.
 
Kwa kweli ndugu watanzania wenzangu Kikwete ni janga la kitaifa,kazi kusafiri tu hata safari zisizokuwa na tija,kwa kweli huyu ni rais bomu toka nchi yetu ilivyopata uhuru.Nimekumbuka ule wimbo tuliokuwa tukiimba wakati wa mchaka mchaka wa Iddi Amin akifa kuanzia leo inabidi tuuimbe hivi,"Jakaya Kikwete akifa,mimi siwezi kulia,nitamtupa Kagera awe chakula cha mamba kwa sababu ametuzidishia umaskini toka awe rais,anajali mafisadi kuliko walalahoi,anatumia kodi zetu vibaya kwa kusafiri kwenda nje ya nchi.
 
Ameenda kuwaombea chakula, punguzeni jaziba otherwise atasusa abaki tu hapa nchini na mwisho chakula kiwaishie mfe njaa.

Hicho kibaba chake anachokiri na kutetea kuwa anakitembeza kutusaidia nadhani sio muda mrefu itabidi akifanye kofia; kwa kutopata wachangaji itabidi kiwe kofia:-(
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom