Kikwete Huyooooo Botswana...sidhani hata anakumbuka yuko wapi?

Status
Not open for further replies.

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,141
13,215
Mkulu haachi kitu sasa hivi anahudhuria sherehe za miaka 50 ya Chama cha Kidemokrasia nchini Botswana....amabapo hata Mzinduzi angweza kwenda.

Madelina Albright aliwahi kunukuliwa akisema..nimesafiri sana kiasi kwamba hata hapa nilipo sijui niko wapi...hii inaelekea kumkumba JK.........
 
si amealikwa! mwachen aende. uzur ana ndege inamfanya aende apendako. go go jk go pitia nigeria ukaulizie bokoharam kama bado wapo
 
Akitoka huko apitie Songea akawape nishani wale ma- sniper walioua ndugu zetu, halafu atafute kingine cha kuhudhuria ninazindua saluni yangu lubumbashi ntamualika
 
Nimejishtukia naonesha meno,..sijajua bado,nacheka ama nalia.. .baba Mwana ana v2ko
 
JouneGwalu,

Mie simlaumu JK sikuhizi. Nahisi sisi ndo hatumwelewi.

Mie nangoja astaafu siku nimtafute nimuulize bila jazba naamini kabisa ana majibu sahihi kabisa.
 
hana hata aibu rais wetu,janga la ktaifa,kwl huyu umfananishe na mzee mkapa kwl,jf we are joking,hana vision
 
Mkulu haachi kitu sasa hivi anahudhuria sherehe za miaka 50 ya Chama cha Kidemokrasia nchini Botswana....amabapo hata Mzinduzi angweza kwenda..........Madelina Albright aliwahi kunukuliwa akisema..nimesafiri sana kiasi kwamba hata hapa nilipo sijui niko wapi..............hii inaelekea kumkumba JK...........

Kisheria angetakiwa aende.
1.waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
2.katibu mkuu wa chama cha mapinduzi.
3.wajumbe kadhaa wa ccm.
May be na wajumbe kadhaa watakaokuwa na umuhimu.
Mbona kirumba hakukuwa na maraisi.
Note:
Jk hajui kuikonomaizi ingawa kasoma uchumi.
 
Kisheria angetakiwa aende.
1.waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
2.katibu mkuu wa chama cha mapinduzi.
3.wajumbe kadhaa wa ccm.
May be na wajumbe kadhaa watakaokuwa na umuhimu.
Mbona kirumba hakukuwa na maraisi.
Note:
Jk hajui kuikonomaizi ingawa kasoma uchumi.
Au kujiuliza ni marais wangapi wameenda Botswana........
 
Hapa bado anasubiri tena sherehe za king Mswati.......huyo jamaa asili yake sherehe sasa tatizo lake sherehe zake hazina msimu kwakuwa IKULU kila siku ni mavuno ndio maana anakula shangwe tu.....
 
Kisheria angetakiwa aende.
1.waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.
2.katibu mkuu wa chama cha mapinduzi.
3.wajumbe kadhaa wa ccm.
May be na wajumbe kadhaa watakaokuwa na umuhimu.
Mbona kirumba hakukuwa na maraisi.
Note:
Jk hajui kuikonomaizi ingawa kasoma uchumi.

Naye ameenda!
 
Mi nilijua tu, maana vijichenji vya RADA vimerudi, ni lazima ataanza tena kuruka, na ndio maana akina Membe walikomaa hizi pesa ilipwe serikali moja kwa moja, Na kina Ndugai walivyoenda ilikuwa ni hili hili kupiga debe ili chenji irudi mikononi mwa serikali wao ndio wanajua matumizi yake.
 
botwsana ni nchi inayoajiri sana watanzania
labda kaenda kutuombea nafasi zaidi tuajiriwe huko who knows
 
Maaskofu walituaminisha kua sauti ya wengi ni sauti ya mungu...Je kilio cha wengi ni sauti ya...........? CCM yenyewe imeadhimisha miaka 50 hatukuona kiongozi wa nchi yeyote alietia pua yake kirumba sasa kwanini JK? Haya ni baadhi ya maswali wanaCCM walipaswa wamuulize? mie nadhani baada ya kutoswa ulaya,US,UK UARABUNI sasa ameanza kutembeza bakuli lake AFRICA..........AIBU ya karne
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom