KIKWETE: Hongera kwa kuiua CCM mmethubutu Mmeshindwa sasa rudini nyuma

Welu

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
852
301
Nakupenda sana kwa mafanikio ya kuua ccm. Tangu lini kiongozi uambiwe hawa watu ni wezi badala ya kushughulikiwa sisi tunatafakari cha kuwafanya. Tunataka waharibu nini ndio wachukuliwe hatua? Watu wanakikimbia chama kwa vile si nambari one tena bali ni nambari zero. Ccm ina wanyewe na wenyewe ndio WAUAJI.
 
Kweli hujakosea ndg yangu,wala usilaum chochote,tushangilie tu kwa kuwa ss nafasi ndo itakuwa wazi rasmi kwa kila raia kujua hiki chama kimeshindwa kukidhi haja ya Watanzania.
 
naipendaje ccm!!!!!!
ccm amechukua kamba tayari kujitundika! Raha ilioje?
 
attachment.php

Moyoni mwake ndivyo alivyo. Mdomoni anawafurahisha akina Mkama
Rohoni
 
Nakupenda sana kwa mafanikio ya kuua ccm. Tangu lini kiongozi uambiwe hawa watu ni wezi badala ya kushughulikiwa sisi tunatafakari cha kuwafanya. Tunataka waharibu nini ndio wachukuliwe hatua? Watu wanakikimbia chama kwa vile si nambari one tena bali ni nambari zero. Ccm ina wanyewe na wenyewe ndio WAUAJI.

Kuna sentensi hii inabidi ifuatiliwe kwa umakini hata kama ni swali la std IV.Ni hivi'RAISI WA KWANZA KUPITIA CCM JMT NI JK NA RAISI WA MWISHO KUPITIA CCM JMT NI JK'.IT'S PEOPLE WHO MAKE HISTORY.Kikwete atakumbukwa kwa historia ya kuwa Raisi wa mwisho waJMT kupitia ccm,na alishasema watz tutamkumbuka.
 
CCM imekufa tunasubiri tuizike rasmi kwa heshima zote 2015. CCM FUTI 6 CHINI YA ARDHI NA ZEGE/JAMVI TUMESHAANDAA KWA AJILI YA KUFUNIKA ILI CCM ISIFUFUKE MILELE NA MILELE AMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEN!
 
Jamani mimi naamini jk hapati muda wa ku log in katika jforum, naomba basi wadau mnisaidie namba yake ya celfone ili nimtumie ka sms maana yawezekana hata mtoto wa mkulima hajamfikishia ile query ya mawaziri. Vinginevo angesha act. Jamani nipeni namba mie.
 
ccm imejichimbia kaburi bye bye ccm

halafu naomba wachimba kaburi la ccm watoke msambweni,wabeba jeneza watoke arumeru mashariki,wanakwaya ya maombolezo watoke kiwira,wazikaji watoke kirumba,wasoma wasifu wa marehemu ccm wawe jo milya na mpendazoe,kisha wimbo wa mazishi uwe'tunasikitika kuagana na mafisadi,wenzetu,byebye mafisadi,taifa lasikitika,vijana wasikitika,wazee wasitika pamoja twasema byebye mafisadi'.mwishowe mizinga ipigwe kwa idadi ya mikoa ya jmt.
 
Back
Top Bottom