GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,278
- 6,671
Kwanza Shikamoo.
Nilikuwa nazunguka maeneo mbalimbali ya Mikoa ya Lindi na Mtwara, nasikia moja ya kampuni zinazonunua korosho ni yako wewe na
Riziwani, Eti ndio maana safari hii makampuni mengi yamekataliwa kununua Korosho na badala yake mfumo wa mkopo ndio uliotumika na
wakulima kuchukua muda mrefu sana kabla ya kulipwa pesa zao.
Eti mitaani wanasema wewe ndio umempa meno mkuchika hata ya kuweza kuzuia watu wasikusanye korosho kwa mifumo mizuri ambayo
huwapatia faida kubwa!
Ni maneno tu yanazungumzwa na karibu kila mtu huku si mimi.
Eti baba mdogo, ni kweli haya?