Kikwete hata hili linakushinda?

Najijua

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,039
180
Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele.

Najiuliza JK hata hili jambo ambalo lipo karibu kabisa na ofisi na makazi yake ya uraisi yana mshinda?atawezaje zile ahadi zaidi ya 100 alizotoa?
Wa Japan walilitengeneza kwa msaada tunahitaji tena msaada wa kulitunza?tuache kujifedhehesha jamani
 
Mbaya zaidi huyo masaburi ndio diwani wa kata hiyo, na ni meya wa jiji, aibu jamani au na hili tutawaita tena wajapan waje kulitunza soko?iko wapi taswira ya taifa?
 
Yaani hata kukosekana maji soko la samaki tunamwelekeza zigo JK? Hapana,kwann c waziri husika? ikiwa tumeamua kuruka Mkurugenzi wa jiji,na uongozi mzima wa jiji la dar?
 
Aibu kwa nchi,aibu kwa rais,aibu kwa meya,aibu kwa mkuu wa mkoa!!!!Shame on them all
 
Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele.

Najiuliza JK hata hili jambo ambalo lipo karibu kabisa na ofisi na makazi yake ya uraisi yana mshinda?atawezaje zile ahadi zaidi ya 100 alizotoa?
Wa Japan walilitengeneza kwa msaada tunahitaji tena msaada wa kulitunza?tuache kujifedhehesha jamani
"Nikumbushe hili soko lipo wapi tena?"
Your's JK
 
Nadhan kuna tatizo la kiufundi katika mfumo wa kusukuma maji..,!
Hata hivo ikiwezekana watumie maji ya bahari kwa muda hope yatasaidia..
 
Yaani hata kukosekana maji soko la samaki tunamwelekeza zigo JK? Hapana,kwann c waziri husika? ikiwa tumeamua kuruka Mkurugenzi wa jiji,na uongozi mzima wa jiji la dar?

Hao ndio viongozi wetu, tumewachagua wenyewe, sasa malalamiko ya nini!!...
 
Hapo ni Tanzania,mbona sisi tunawajua nyie bwana sasa unalalamika nini?
 
Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele.

Najiuliza JK hata hili jambo ambalo lipo karibu kabisa na ofisi na makazi yake ya uraisi yana mshinda?atawezaje zile ahadi zaidi ya 100 alizotoa?
Wa Japan walilitengeneza kwa msaada tunahitaji tena msaada wa kulitunza?tuache kujifedhehesha jamani
Bruker punguza mukhari, hivi ukiambiwa utaambatana naye marekani uwakilishe kikundi cha jamii then ufikie five star hotel utakataa? Nchi ni kubwa yeye hawezi kutatua matatizo ya watu wote -- mwacheni amalizie muda wake kwa amani.

Kama vitu viiwashinda marais waliopita miaka 50 iliyopita, yeye ataweza kwa miaka 10 tu?

Sitaki maswali please!!!.
 
Sasa aliingia ikulu kufanya nini?
 
Akhu....! Silijui soko hili, sina ukaribu nalo na wala mimi sihusiki nalo kabisa soko hili....!

by: JK
 
Fuso sawa nchi ni kubwa hata anapotizamana na ofisi yake?harufu mbaya haisikii hata kidogo?
 
Yaani hata kukosekana maji soko la samaki tunamwelekeza zigo JK? Hapana,kwann c waziri husika? ikiwa tumeamua kuruka Mkurugenzi wa jiji,na uongozi mzima wa jiji la dar?

Hili wala siyo la waziri ni la Meya wa Darisalama Mh. Didas Masaburi
 
Fuso sawa nchi ni kubwa hata anapotizamana na ofisi yake?harufu mbaya haisikii hata kidogo?

harufu mbaya kwake sio ishu, kwa sababu yeye ni mtoto wa Pwani na hiyo harufu ameshaizoea tangu yuko mtoto ongea jingine.
 
Mmbangifingi, Hapa JK inamuhusu kwa kuwa ofisi yake iko pua na mdomo na hapo sokoni, ina maana haoni?wasaidizi wake hawaoni?huyo waziri na mkurugenzi na takataka zingine wakienda kumpa habari za utekelezaji hawaoni?
 
Jana nimesikiliza taarifa ya habari channel ten na kuona wafanya biashara wa soko linaloitwa la sokom la kimataifa la samaki Feri eti halina maji na wakati huo huo jiji wanakusanya kodi kwenda mbele.

Najiuliza JK hata hili jambo ambalo lipo karibu kabisa na ofisi na makazi yake ya uraisi yana mshinda?atawezaje zile ahadi zaidi ya 100 alizotoa?
Wa Japan walilitengeneza kwa msaada tunahitaji tena msaada wa kulitunza?tuache kujifedhehesha jamani
kwa upeo wako mdogo (au utahira wako) unafikiri kila kitu ni cha kulaumu kikwete. vitu kama hivi muulize meya wa jiji aka masaburi au jerry slaa kale kameya kwa manispaa ya ilala.
 
Yaani hata kukosekana maji soko la samaki tunamwelekeza zigo JK? Hapana,kwann c waziri husika? ikiwa tumeamua kuruka Mkurugenzi wa jiji,na uongozi mzima wa jiji la dar?

Mkuu lawama zimakwenda kwakd 7bu ameshindwa kuianda timu yakd ya kufanya kazi ikawa efficent
 
Bruker punguza mukhari, hivi ukiambiwa utaambatana naye marekani uwakilishe kikundi cha jamii then ufikie five star hotel utakataa? Nchi ni kubwa yeye hawezi kutatua matatizo ya watu wote -- mwacheni amalizie muda wake kwa amani.

Kama vitu viiwashinda marais waliopita miaka 50 iliyopita, yeye ataweza kwa miaka 10 tu?

Sitaki maswali please!!!.

Unataka kusema kama wakubwazako waliopita walishindwa mtihani wa kidato cha 2 au 4 wewe hutoweza kufaulu? Nadhani kosa kubwa kwake nikushindwa kuandaa timu yake nzima anayofanya nayo kazi nakushindwa kuthubutu kukdmea wanapoboronga
 
Back
Top Bottom