Si kapona? Nimeweka topic juzi hapa wakaiziba. JK kapona, sasa nguvu anazihamishia kwenye ahadi za kwenye ilaniNimeona kwa kifupi, TBC walikuwa wanaonesha kwa ufupi ziara ya JK kwa wizara mbalimbali, aisee huyu Mr angekuwa mkali namna hii siku zote nchi yetu ingekua mbali, waziri wa uchukuzi alikua anampiga longo longo za kitoto jamaa akamkatisha katikati ya speech halafu akatema madini ya kutosha, yaani hadi ananifanya nijiulize mara mbili mbili hivi anafanyaga makusudi tu kuwabeba watu wasio na tija au?
Kitu gani kimemsukuma sasa amewawakia, yaani sijui kama hili baraza litamaliza 5 yrs
Una uhakika raia fulani?Si kapona? Nimeweka topic juzi hapa wakaiziba. JK kapona, sasa nguvu anazihamishia kwenye ahadi za kwenye ilani