Kikwete hajaomba kuitwa 'Dr' na Watanzania tuache ushamba!

Inawezekana watembeleaji wa JF ni vijana wadogo au ni watu wa kusikia habari tu na kuzishikilia kwa nguvu bila kuchunguza na kutafakali.Jamaa hapo juu anasema uDr.wa JK ni sawa na uafande wa afande sele.Inaonesha ni jinsi gani hajui mambo.KWANZA afande Sele ni kweli alikua polisi ila aliamua kuresign mwenyewe na kuingia kwenye muziki alikoona inalipa.Ushahidi fuatilia historia yake ya maisha au we google tu utapata mengi kumuhusu.PILI heshma ya uDr.JK alipewa huko uturuki.Alipewa heshma hiyo katika chuo kikuu cha uturuki baada ya Tanzania kusuluhisha mgogoro wa kisiasa nchini kenya na pia kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa mfano kuvikomboa visiwa vya comoro na anjuan,vilevile kushiki kijeshi sehemu tofauti.Kuinua uchumi wa taifa interms of GDP and investment.Tayali nimegundua kua hapa JF kuna watu wana negative attitude tu na JK hasa udini ndo unawasumbua watu hao,na wamekosa fikra mchanganuo na kua fikramgando! I HATE THEM.
 
- Mkuu Mwalimu alikuwa Doctor na hakufanya paper mahali popote, Dr. Salim pia na wengineo wengi sana, anyways Demokraisa inaruhusu mwananchi kufanya anachotaka, ikiwa ni pamoja na uamuzi wako wa kukataa PhD ya kupewa, mimi ninamheshimu yoyote yule aliyenayo kama ya kupewa au ya kuisomea, mradi sio ya feki tu.

- Mambo mengine kwenye maisha ni it is what it is!

William.

Kwanza mwalimu hakuwahi kutaka kuitwa Dr na mara chache sana watu wamemuita Dr (na ndiyo maana hapa umetumia neno mwalimu na kila mtu akakuelewa maana ndivyo alivyoitwa). ALways aliitwa mwalimu. Lakini Nyerere alikuwa na Masters na hapo hapo ni authors wa vitabu vingi. Na alibuni ideology inaitwa ujamaa na kuitetea universities nyingi duniani. Kwa ufupi alikuwa ni mtu aliyestahili kuitwa Dr. Lakini JK hawezi hata kuandika nsha (Essay) yenye kichwa "Kwa nini Tanzania ni maskini licha ya raslimali ilizonazo" So what kind of a Dr is he?
 
Inawezekana watembeleaji wa JF ni vijana wadogo au ni watu wa kusikia habari tu na kuzishikilia kwa nguvu bila kuchunguza na kutafakali.Jamaa hapo juu anasema uDr.wa JK ni sawa na uafande wa afande sele.Inaonesha ni jinsi gani hajui mambo.KWANZA afande Sele ni kweli alikua polisi ila aliamua kuresign mwenyewe na kuingia kwenye muziki alikoona inalipa.Ushahidi fuatilia historia yake ya maisha au we google tu utapata mengi kumuhusu.PILI heshma ya uDr.JK alipewa huko uturuki.Alipewa heshma hiyo katika chuo kikuu cha uturuki baada ya Tanzania kusuluhisha mgogoro wa kisiasa nchini kenya na pia kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa mfano kuvikomboa visiwa vya comoro na anjuan,vilevile kushiki kijeshi sehemu tofauti.Kuinua uchumi wa taifa interms of GDP and investment.Tayali nimegundua kua hapa JF kuna watu wana negative attitude tu na JK hasa udini ndo unawasumbua watu hao,na wamekosa fikra mchanganuo na kua fikramgando! I HATE THEM.

Na hapo hapo uturuki ikijiandaa kuwa mwekezaji namba moja hapa Tanzania!!! Tafakari Chukua hatua
 
Inawezekana watembeleaji wa JF ni vijana wadogo au ni watu wa kusikia habari tu na kuzishikilia kwa nguvu bila kuchunguza na kutafakali.Jamaa hapo juu anasema uDr.wa JK ni sawa na uafande wa afande sele.Inaonesha ni jinsi gani hajui mambo.KWANZA afande Sele ni kweli alikua polisi ila aliamua kuresign mwenyewe na kuingia kwenye muziki alikoona inalipa.Ushahidi fuatilia historia yake ya maisha au we google tu utapata mengi kumuhusu.PILI heshma ya uDr.JK alipewa huko uturuki.Alipewa heshma hiyo katika chuo kikuu cha uturuki baada ya Tanzania kusuluhisha mgogoro wa kisiasa nchini kenya na pia kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa mfano kuvikomboa visiwa vya comoro na anjuan,vilevile kushiki kijeshi sehemu tofauti.Kuinua uchumi wa taifa interms of GDP and investment.Tayali nimegundua kua hapa JF kuna watu wana negative attitude tu na JK hasa udini ndo unawasumbua watu hao,na wamekosa fikra mchanganuo na kua fikramgando! I HATE THEM.

Tunakuelewa vizuri sidhani kama unaelewa tofauti kati Phd za kusomea na za heshima na vile vile sidhani kama unaelewa tofauti kati ya Phd heshima iliyo halali na isiyo halali.

Ndugu yangu, usome maelezo ya TCU, na utuambie kama kuna uhalali wa Degree ya Kikwete. Tatizo letu Watanzania na Waafrika kwa ujumla tuna umbumbu mwingi toka juu mpka chini. Kibaya zaidi tunatetea hata vitu tusivyovijua.Noomba usome maelezo ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania, halafu utufafanulie kama Jk ana Phd ya heshima ambayo ni halali.

"TCU warns against "diploma mills"

Posted by admin in News on 08 10th, 2010 | no responses

The Tanzania Commission for Universities has warned prospective students and awardees of honorary degrees in East Africa against being duped by rampaging degree -mill institutions that are currently masquerading in the region dishing out fake degrees.
Prof. Mayunga Nkunya, TCU Executive Secretary said in a statement, "TCU has noted with great concern that in recent years, there has been a proliferation of honorary degree awards being conferred to a number of highly respected dignitaries around Africa. It is not surprising to find that over the last decade a good number of VIPs have been awarded such degrees by institutions whose credibility is (questionable)."
TCU's mandate is to audit quality, monitor quality assurance, of universities, regulate, validate and equate degrees, diploma and certificate awards conferred by Tanzanian and foreign institutions.
Prof. Nkunya said some of these fake institutions have gone ahead to reap off the supposed beneficiaries of their degrees by asking them to "contribute" thousands of dollars toward "development of the universities", allegedly to support the institution. TCU clarified that honorary degrees are titular and therefore cannot be used to secure employment and therefore nobody should pay for pay any fee for them."
 
Inawezekana watembeleaji wa JF ni vijana wadogo au ni watu wa kusikia habari tu na kuzishikilia kwa nguvu bila kuchunguza na kutafakali.Jamaa hapo juu anasema uDr.wa JK ni sawa na uafande wa afande sele.Inaonesha ni jinsi gani hajui mambo.KWANZA afande Sele ni kweli alikua polisi ila aliamua kuresign mwenyewe na kuingia kwenye muziki alikoona inalipa.Ushahidi fuatilia historia yake ya maisha au we google tu utapata mengi kumuhusu.PILI heshma ya uDr.JK alipewa huko uturuki.Alipewa heshma hiyo katika chuo kikuu cha uturuki baada ya Tanzania kusuluhisha mgogoro wa kisiasa nchini kenya na pia kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa mfano kuvikomboa visiwa vya comoro na anjuan,vilevile kushiki kijeshi sehemu tofauti.Kuinua uchumi wa taifa interms of GDP and investment.Tayali nimegundua kua hapa JF kuna watu wana negative attitude tu na JK hasa udini ndo unawasumbua watu hao,na wamekosa fikra mchanganuo na kua fikramgando! I HATE THEM.

Tafadhali soma #24
Usituone sisi kuwa ni watoto wadogo kwa kigezo tu cha kuhoji mambo. Kimsingi kuhoji mambo ndiyo njia ya kupata maarifa. Nakuhakikishia kwa mwenendo wako huo utabaki na ujinga wako.
 
Mi sioni sababu ya mjadala kama huu maana yake. Ninakumbuka kuwa JK alikabidhiwa PHD yake na chuo kikuu cha Nairobi. Sasa wanaohoji uhalali wa Kikwete kuitwa Doctor Kikwete waende au watafute kutoka chuo kikuu cha watani wetu wa jadi cha Nairobi. Ninaamini kabisa chuo kikuuu cha Nairobi ni mojawapo ya vyuo vinavyoheshimika hapa Afrika Mashariki.
 
Inawezekana watembeleaji wa JF ni vijana wadogo au ni watu wa kusikia habari tu na kuzishikilia kwa nguvu bila kuchunguza na kutafakali.Jamaa hapo juu anasema uDr.wa JK ni sawa na uafande wa afande sele.Inaonesha ni jinsi gani hajui mambo.KWANZA afande Sele ni kweli alikua polisi ila aliamua kuresign mwenyewe na kuingia kwenye muziki alikoona inalipa.Ushahidi fuatilia historia yake ya maisha au we google tu utapata mengi kumuhusu.PILI heshma ya uDr.JK alipewa huko uturuki.Alipewa heshma hiyo katika chuo kikuu cha uturuki baada ya Tanzania kusuluhisha mgogoro wa kisiasa nchini kenya na pia kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa mfano kuvikomboa visiwa vya comoro na anjuan,vilevile kushiki kijeshi sehemu tofauti.Kuinua uchumi wa taifa interms of GDP and investment.Tayali nimegundua kua hapa JF kuna watu wana negative attitude tu na JK hasa udini ndo unawasumbua watu hao,na wamekosa fikra mchanganuo na kua fikramgando! I HATE THEM.
Cityboy wewe ni wakuja hapa JF. Post tatu tu umeishagundua udini na kutangaza chuki kwa watu? Kaa kwanza ujifuze. Vinginevyo wewe ni Village Boy.
 
DR or NOT DR

KIKWETE IS THE PRESIDENT.

KIKWETE AMEPATA Honorous Causa kabla ya KAMPENI.

Dr SLAA ameingia kwenye kinyang'anyiro after being requested na CHADEMA, mwaka huu; long after KIKWETE being a DR.

LA MSINGI

SIO KILA MTU ANAWEZA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, ila wengi wanaweza kuwa na PhD. chukua Statistics, tangu uhuru, marais wanne, ila PhD, za kumwaga. Nyengine za Divinity; ambazo zilipaswa zitumike kwenye Dayosisi. Let us not mock each other here.
 
Hebu angalieni hii link ya amiri jeshi

Last edited by a moderator:
DR or NOT DR

KIKWETE IS THE PRESIDENT.

KIKWETE AMEPATA Honorous Causa kabla ya KAMPENI.

Dr SLAA ameingia kwenye kinyang'anyiro after being requested na CHADEMA, mwaka huu; long after KIKWETE being a DR.

LA MSINGI

SIO KILA MTU ANAWEZA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO, ila wengi wanaweza kuwa na PhD. chukua Statistics, tangu uhuru, marais wanne, ila PhD, za kumwaga. Nyengine za Divinity; ambazo zilipaswa zitumike kwenye Dayosisi. Let us not mock each other here.

Mtu yoyote anaweza kuwa Rais, cha muhimu ni kuwa ametimiza mashariti ya kikatiba. Lakini si kila mtu anaweza kuwa na Phd. Unaweza kuwa rais kwa nguvu kama alivyofanya Idd amin au unaweza kuchaguliwa na wananchi. Lakini Phd ni lazima uisotee, Iwe ya divinity, islamic knowldge au satanism, ni lazima uisotee. Unaweza kuwa rais bila degree, bila MA na bila Ohd, lakini huwezi kusombea Phd kama hujafikia vigezo vya kusomea Phd.
 
Kikwete mbona anfurahia sana kuitwa Dakta ili naye ajitutumue ingawaje alikuwa na gentleman
 
Kwani hata kama ndo kasema mbona bado hastahili??? ile ni ya heshima tu na wala sio cheo
 
Kwa yule anayesema hapa JF nina vipost 2 au 3 sasa nimegunduaje udini? Ndugu mi nimekua msomaji na mtembeleaji wa JF siku nyingi sana ila nilikua sijaamua tu kujiunga.Nimeamua kujiunga baada ya kuona kuna watu hapa wanataka kupotosha ukeli hasa wakileta udini waziwazi.Naomba wana JF wapitie na kurevise terms and conditions za JF.
 
hakuna mdini humu. Wewe tu ndo unajishtukia na unaonekana waziwazi kuwa wewe ni mdini.
 
hivi mpaka mtu akwambie niite dr ndo umwite? dr slaa alisema watu wamwite dr?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom