Kikwete for East African president

Mzee Majuto

Member
Apr 16, 2012
6
1
I'm from kenya and would love to see kikwete as the head of a united East Africa, he will probably improve Kenya to the level which Tanzania is economical..mwaonaje?
 
Nabii hakubaliki nyumbani, JK anaweza sana, ndiyo maana pamoja na fitina, chuki binafsi, wivu, uchu wa madaraka ya baadhi ya watu, hujuma dhidi yake, yote hayo hayamnyimi usingizi na bado tunasonga mbele kwani angekuwa mtu wa papara ungesika mara fungia gazeti fulani, mara kamata yule weka ndani kwa kumkashfu Rais n.k. BIG UP JK.
 
labda kwa safari nyingi za nje ya nchi zisizo na tija
 
KAZI HASA ZA RaISI WA EAST AFRICA NI NINI? HICHO CHEO HAKINA MAANA YOYOTE, NI KAMA RAISI ANAPOKUWA MWENYEKITI WA AU KWA MWAKA MMOJA

EAST AFRICA TUNAYOIFIKIRIA AU KUITAKA KAMWE HAIWEZI KUWEPO
 
I'm from kenya and would love to see kikwete as the head of a united East Africa, he will probably improve Kenya to the level which Tanzania is economical..mwaonaje?

Yo son, did you read what you just posted up there, like for REAL? Improve Kenya to the level which Tanzania is economicaly? you sure bruh? hahahahaha... my ugly a** president is a million times better than the globe trotter. Kibaki is making economical moves never done before in Kenya, we dont depend on donors like we used to, we straight.
 
wakenya wanatusanifu, then sisi tunachekelea "he will probably improve Kenya to the level which Tanzania is economical." .... kweli wanatusanifu
 
Nabii hakubaliki nyumbani, JK anaweza sana, ndiyo maana pamoja na fitina, chuki binafsi, wivu, uchu wa madaraka ya baadhi ya watu, hujuma dhidi yake, yote hayo hayamnyimi usingizi na bado tunasonga mbele kwani angekuwa mtu wa papara ungesika mara fungia gazeti fulani, mara kamata yule weka ndani kwa kumkashfu Rais n.k. BIG UP JK.

Mimi nilisha sema humu mara nyingi tu kwamba JK si mtu wa kawaida, lakini watu hawakunielewa wakanisema mambo chungu nzima. Chukulia mfano wa vices tano ulizo zungumzia humu yaani (fitina, chuki binafsi, wivu, uchu wa madaraka ya baadhi ya watu) angekuwa ni mtu wa ku-entertain vitu kama hivyo nchi hii ingekuwa imekwisha waka MOTO.

Labda niseme a wake up call yakuonyesha kwamba JK is a truely independent minded person ni hili la utehuzi wake kamati kuhusu mambo ya katiba, tuwe wakweli hapa nani angetegemea kwamba angeweza kuwatehua baadhi ya wajumbe ambao walikuwa wanaikosoa Serikali yake openly bila woga? La pili, tuchukulie SAGA ya Richmond na mambo mengine ya ufisadi- JK alikuwa na mamlaka ya kuzuia mambo ya Richmond yasizungumzwe Bungeni, ni kiasi cha kumuita Spika Sita na kumwabia sitaki jambo hili lizungumzwe Bungeni na 'am sure speaker ange comply bila ubishi wowote - lakini JK aku-abuse mamlaka yake aliliachia Bunge lijadili mpaka ikafikia hatua ya rafiki yake wa siku nyingi kubwaga manyanga, na asinge jiuzuru bila ya JK kukubali kujiuzuru kwake - ni Maraisi wangapi duniani wanaweza kuacha sheria ichukuwe mkondo wake bila kuwakingia kifua marafiki zao, ni wachache sana.

Nakubaliana na Kengemumaji kwamba nabii hakubaliki nyumbani, hivi si Raisi wetu huyu huyu aliyeweza kusuruhisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kule Kenya, mbona Annani alishindwa. Kama nakumbuka vizuri nadhani JK alikuwa Raisi wa kwanza au wa pili kutoka Africa kukaribishwa kwenda Ikulu ya Merikani kuwa na mazungumzo na Obama kuhusu Africa-one may ask, why did Uncle SAM pick JK? jibu unalo. Mataifa makubwa yanamuheshimu na kuheshimu mchango wa JK lakini sisi WaTz tunambeza tu.
 
Kenya inaweza shadadia JK awe raisi ili waje mchomekea mambo ya ardhi na mengineyo.
Si unajua JK akipaishwa na kuwa excited atapitisha kila kitu!
 
Mi nadhani wew ni bingwa wa vipofu africa mashariki na kati.huoni husikii, kikwete awe rais wa EAC mmhh ngoja ni lale
 
I'm from kenya and would love to see kikwete as the head of a united East Africa, he will probably improve Kenya to the level which Tanzania is economical..mwaonaje?

.
Changa la macho hili!
Ukitaka kuwajua hawa jamaa ... ujue anafikiria ki-strategic zaidi.

Wameshamsoma JK wamemuona siyo Rais makini na hawezi kusimamamia vizuri serious issues ... na wao wanataka watu kama hao ili kutimiza agenda yao.

Akiwa Rais wa EA basi tegemeeni kila kitu cha TZ kitatolewa bure tu tu kwa Raia wa nchi nyingine kama ardhi, ajira n.k
Sisi wabongo tutapiga kelele weee! .. lakini jamaa yetu kama kawaida yake, tena ana madaraka makubwa! atasema .... eeenhe! .. kelele za mlango! .... haaaalo! ... huku jamaa wakichuma tu rasilimali za nchi yetu!

God forbid!

.
 
Chukulia mfano wa vices tano ulizo zungumzia humu yaani (fitina, chuki binafsi, wivu, uchu wa madaraka ya baadhi ya watu) angekuwa ni mtu wa ku-entertain vitu kama hivyo nchi hii ingekuwa imekwisha waka MOTO.

Kama uchumi ni mzuri, na watu wanaweza kupata basic need zao hayo maneno ya blue hayana nafasi, hivyo wa kenya wanawasanifu, sababu ya umbumbubu wa kiongozi, awe rais wa ea halafu wapige bao kila kitu mkishituka mmekwisha, kama mlivyoisha dk hii
 
Mimi nilisha sema humu mara nyingi tu kwamba JK si mtu wa kawaida, lakini watu hawakunielewa wakanisema mambo chungu nzima. Chukulia mfano wa vices tano ulizo zungumzia humu yaani (fitina, chuki binafsi, wivu, uchu wa madaraka ya baadhi ya watu) angekuwa ni mtu wa ku-entertain vitu kama hivyo nchi hii ingekuwa imekwisha waka MOTO.

Labda niseme a wake up call yakuonyesha kwamba JK is a truely independent minded person ni hili la utehuzi wake kamati kuhusu mambo ya katiba, tuwe wakweli hapa nani angetegemea kwamba angeweza kuwatehua baadhi ya wajumbe ambao walikuwa wanaikosoa Serikali yake openly bila woga? La pili, tuchukulie SAGA ya Richmond na mambo mengine ya ufisadi- JK alikuwa na mamlaka ya kuzuia mambo ya Richmond yasizungumzwe Bungeni, ni kiasi cha kumuita Spika Sita na kumwabia sitaki jambo hili lizungumzwe Bungeni na 'am sure speaker ange comply bila ubishi wowote - lakini JK aku-abuse mamlaka yake aliliachia Bunge lijadili mpaka ikafikia hatua ya rafiki yake wa siku nyingi kubwaga manyanga, na asinge jiuzuru bila ya JK kukubali kujiuzuru kwake - ni Maraisi wangapi duniani wanaweza kuacha sheria ichukuwe mkondo wake bila kuwakingia kifua marafiki zao, ni wachache sana.

Nakubaliana na Kengemumaji kwamba nabii hakubaliki nyumbani, hivi si Raisi wetu huyu huyu aliyeweza kusuruhisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kule Kenya, mbona Annani alishindwa. Kama nakumbuka vizuri nadhani JK alikuwa Raisi wa kwanza au wa pili kutoka Africa kukaribishwa kwenda Ikulu ya Merikani kuwa na mazungumzo na Obama kuhusu Africa-one may ask, why did Uncle SAM pick JK? jibu unalo. Mataifa makubwa yanamuheshimu na kuheshimu mchango wa JK lakini sisi WaTz tunambeza tu.
Hivi Kikwete ndiye aliyesuluhisha ugomvi wa Kenya? That is news to me. Na kukutana na Obama baada ya kuilipa kampuni ya Andrew Young dola laki tano kumfanyia lobby ili mkutano huo uwezekane ni jambo la tija? Uncle Sam did not pick Kikwete. Kikwete paid for the opportunity to have a picture taken with Obama, with taxpayers money.
 
Back
Top Bottom