Kikwete, Dr. Bilal na Pinda walikuwa wote Msoga leo.

Status
Not open for further replies.
leo wasaka nyoka tumekaa kwenye foleni kwa lisaa limoja ...hadi muda sio mrefu ..ndio wakuu wanapita hapa wote watatu wanatokea msoga ....msafara wa magari kama 100 ..ukiwa na viongozi wote wakuu wa nchi,inaelezwa wanatokea nyumbani kwa muhashimiwa rais msoga....ambako walikuwa huko toka majira ya saa 5 asubuhi kwa ajili ya mlo wa mchana na kikao kifupi.. Kama inavyooeleweka muhashimiwa huwa anakaa msoga kuanzia ijumaa hadi jumatatu mchana kama akiwa nchini....ni dhahiri leo ameamua kuwaalika wakuu apate nao msosi . Ndio tunajisogeza taratibu toka kwenye foleni ndefu ,nadhani tunaokaa kibaha leo nyumbani ni saa sita usiku kuingia..do...
acha uwongo walikuwa mkuza, kibaha, mazishi ya aliyekuwa dc wa liwale; nyie cdm kila mara kuongopa
 
Leo wasaka nyoka tumekaa kwenye foleni kwa lisaa limoja ...hadi muda sio mrefu ..ndio wakuu wanapita hapa wote watatu wanatokea Msoga ....msafara wa magari kama 100 ..ukiwa na viongozi wote wakuu wa nchi,inaelezwa wanatokea nyumbani kwa muhashimiwa rais Msoga....ambako walikuwa huko toka majira ya saa 5 asubuhi kwa ajili ya mlo wa mchana na kikao kifupi..
Kama inavyooeleweka muhashimiwa huwa anakaa Msoga kuanzia ijumaa hadi jumatatu mchana kama akiwa nchini....ni dhahiri leo ameamua kuwaalika wakuu apate nao msosi .
Ndio tunajisogeza taratibu toka kwenye foleni ndefu ,nadhani tunaokaa kibaha leo nyumbani ni saa sita usiku kuingia..do...

Jf imekuwa sasa ni kijiwe cha kupiga porojo. Kwa nini mnapenda uongo?
Wakuu walienda mazishi ya DC wewe unatunga story zako.
 
Leo wasaka nyoka tumekaa kwenye foleni kwa lisaa limoja ...hadi muda sio mrefu ..ndio wakuu wanapita hapa wote watatu wanatokea Msoga ....msafara wa magari kama 100 ..ukiwa na viongozi wote wakuu wa nchi,inaelezwa wanatokea nyumbani kwa muhashimiwa rais Msoga....ambako walikuwa huko toka majira ya saa 5 asubuhi kwa ajili ya mlo wa mchana na kikao kifupi..
Kama inavyooeleweka muhashimiwa huwa anakaa Msoga kuanzia ijumaa hadi jumatatu mchana kama akiwa nchini....ni dhahiri leo ameamua kuwaalika wakuu apate nao msosi .
Ndio tunajisogeza taratibu toka kwenye foleni ndefu ,nadhani tunaokaa kibaha leo nyumbani ni saa sita usiku kuingia..do...
Inashangaza sana kuona member mzoefu na anayeheshimika wa aina yako wewe Phillemoni Mikael kuleta taarifa ya kupotosha kama hii......Habari kama hizi za kufikirika wakati mwingine zinaishushia hadhi JF....

Viongozi hao(Rais Kikwete, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu) walikwenda Kibaha Picha ya Ndege kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Liwale VICTOR PAUL CHIWILE aliyefariki ghafla mkoani Lindi na si kwamba walikwenda Msoga kwa ajili ya mlo wa mchana na kikao kifupi kama unavyodai....

kib2.jpg

kib1.jpg

kib3.jpg
 
Asante Mkuu. Pamoja na hayo kulikuwa na ulazima wowote wa wao kwenda wote?
 
Mganga wa JK ....kamuagiza ili mambo ya nchi yatulie awapeleke na wasaidizi wake wakuu..watambike wote....nchi inaendeshwa kwa ndumba Nikki...sasa tambiko la kikwere,sumbawanga na Pemba ....nadhani mipete watakayopewa hapo wakitupungia tu Tunajeuka vipofu.....

Ikishindikana hiloo itabidi APELEke bunge lote watambikiwe na kula yamini ....
Too low kwa Phillemon Mikael ninayemfahamu.....
 
Asante Mkuu. Pamoja na hayo kulikuwa na ulazima wowote wa wao kwenda wote?
Binafsi naona kawaida tu kwa sehemu kama Kibaha ambapo ni karibu sana na Dar es salaam...Ingekuwa ni mbali na Dar es salaam ningesema hakuna ulazima wa wao kwenda....

Ni kawaida kwa watanzania kushirikiana na kushiriki katika misiba na mazishi hasa unapotokea msiba wa kiongozi kama huyu ambaye kimsingi ni mteule wa Rais....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
TETESI NI KUWA, MKUU WA KAYA ANAELEKEA ARUMERU KUWAONYA WENZAKE WAACHE FUJO ILI SULUHU IPATIKANE NA CHADEMA....TUSUBIRI TUONE KESHO KUTWA. Source...ndani ya Inteligensia
 
Asante Mkuu. Pamoja na hayo kulikuwa na ulazima wowote wa wao kwenda wote?

Waambie Hawa....maana naona wanajazana hapa kuanza kuzogoa watu ovyo.....Nadhani mmoja wao angeenda Kati ya Hao watatu ingetosha....hata wakifika wote watatu hafufuki...nadhani watanzania inabidi tuwe waelewa sio lazima wakubwa wafike kwenye kuugua au misiba yetu tujuwe wanajali...hata salaamu tu zinatosha....Pamoja na hayo tunatoa pole kwa familia!!!

Mods ondoeni huu uzi. Hauna tija.

Sasa kaka Kama unataka kutuaminisha kuwa unatoa Amri kwa MoD?.......
Nadhani thread yangu Haina shida ....approach niliyoitimia kuleta hii mAda ..ndio imewafanya mlete Hadi na picha za utetezi...so that is good!!!!!!.....
Pamoja na shughuli Nyingine walizofanya mkoa wa Pwani Leo ni kuhitimisha kwa kuhudhuria msiba huo...
 
tuache ushabiki wa kijinga Wakuu walikwenda Msibani picha ya ndege Kibaha, walipitia njia iyo kwa sababu za kiusalama.
Jukwaa ili limekuwa la udaku na chuki sikuizi, tuwache izi itikadi
 
Mzee wa Bagamoyo, mzee wa Sumbawanga na mzee wa Pemba ndani ya Msoga! Kaaaazi kwel kwel!

mhh. s'wanga, b'moyo, pmb!!!!

Kuna mzee wa tanga alikuwa anasubiriwa ili full cabinet ya utawala wa "anga" ikamilike kuandaa ya ripot ya utekelezaji kwa bosi sh***t***w***n!
Anaweza kuwa nani huyu toka tanga?
Kwanini hakufika?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom