Kikwete Dodoma, CCM wahofia kukosa watu, orijino komedi na wasanii wengine kutumbuiza

hatari kubwa, UDOM wameshakasirika labda huenda leo wangekuwa huko kuramba viatu.
 
Taarifa za kiintelijisia zina zinaonyesha kuwa leo pale JAMHURI DODOMA JAKAYA KIKWETE ATAANGUKA KAMA KAWAIDA YAKE TUSUBIRI
 
nimetoka dom saivi kwenda dar.wa3 udom walivaa za ccm wamezomewa wameenda kuzivua.mabasi yanayotoka vijijini hayajajaa na yako kimya ka yanaenda msibani.watu mjini wanaendelea na shughuli as if nothing has happenned!
 
Hako kachama kasipofanya toba, kamekwisha kabisa. Kuna siku hao wachache wanaopokea rushwa ya kustareheshwa na wasanii, usafiri wa malori, T-shirt na pilau pia watasema NO! Enough is enough. Hapo ndo tutakapojua kama chama ni cha wanachama au BMW na marafiki. Kaazi kweli kweli
 
Tbc wanaonyesha hakuna watu ,mimekaa dodoma nimesomea huko tena nilicheza alaiki 1987 ccm wakifikisha miaka 10 mh mungu wangu ccm inakufa i tell u siamini watu wa dodoma wamebadilika kihivyo.
 
Ni aibu kwa ccm DOm wanatafuta kila linalowezekana kupata washerekeaji lakini wapi,uwanja unapendezeshwa na watoto wa Shule za MSINGI.Malori yanachukuwa wazee na watoto kutoka vijijini kuwaleta uwanjani.

Hii imekaaje jamani wana JF hasa kwa CHAMA chenye DOLA?

mkuu hawana jipya, sasa hivi wanaweza hata kuchukua mbuzi, ng'ombe na wanyama wengine wawavishe sare za chama ili wahudhurie mikutano yao maana binadamu wamewakataa
 
Uwanja wa jamhuri ni mtupu. Wamejaa Jukwaa la waalikwa na watumbuizaji walioko uwanjani. TBC wanaogopa kuonesha majukwaa mengine yote kwani ni Matupu. CCM is dead na hakuna anayeweza kuiokoa.

Kama kuna kitu cha kujifunza basi ni leo, na ninajua hawatajifunza kwa sababu, chama kimeshajifia anyway!
 
Pole ya ccm kimepeleka sherehe dodo kikiamini ndio kuna wapenz wengi, makao makuu ya ccm, wabunge wote ni wa ccm, ila kwa bahat mbaya hakina tena wapenz
 
Mchakato wa kuandaa mswada wa kuandika katiba mpya ngazi ya serikali
 
Mchakato wa kuandaa mswada wa kuandika katiba mpya ngazi ya serikali asema JK
 
Back
Top Bottom