Kikwete dawa yake sasa ni migomo ya nchi nzima na si maandamano tu

RMA

JF-Expert Member
Oct 10, 2010
409
87
Watanzania tunajuta kwa vile tuliyataka wenyewe! Sasa dawa iliyopo ambayo haihitaji polisi kupiga watu risasi ni migomo ya nchi nzima. Wafanyakazi mko wapi? Wanafunzi wa vyuo mko wapi? AMKENI. Ninyi tu mkitaka inawezekana. Fedha za Dowans zitumike kutoa elimu bure! Mwisho wa CCM UMEKARIBIA. Tukio la mauaji Arusha linatufanya sasa kuipenda CHADEMA bure hata kama wengine tulikuwa hatuna ushabiki na chama hicho!
 
Mkigoma wazalisha watashindwa kuwalipa mishahara kutokana na kusitishwa uzalishaji. Uzalishaji ukisitishwa serikali itakosa mapato ya kodi kama VAT na PAYE na itashindwa kuwalipa wafanyakazi wake wakiwemo Walimu Wa Vyuo na Mikopo ya Wanafunzi
 
Back
Top Bottom