Kikwete/CCM Kuigeuza Kigoma Dubai ya Afrika. Mmh!

Ndio maana inapokaribia wakati wa uchaguzi .....wanakuwa busy kulist what they have done ambavyo wengine huwa hatuvioni, lakini in reality kama kweli unafanya unayoahidi au unawagusa wananchi kiasi kikubwa kwa katatua matatizo yao halisi huhitaji nguvu hii kubwa kwa re-election.
 
hayo yote yanawezekana.ni swala la kujipanga na wote mkaendelea kuikumbusha seriklai itakayoingia madarakni kutimiza hayo yaliyosemwa hata kwa kijikongoja jamani.tutafika tu,keep on making them accountable thu ur representatives.

We dada temea mate chini ... wa kukumbusha ni nani? Kila siku utasikia wanafanya upembuzi yakinifu, baada ya hapo utasikia wanaongea na wafadhili. Lakini zikitokea za chap chap kama Richmond, huwa hakuna upembuzi yakinifu.

Tatizo ni katiba yetu ambayo ina mapungufu ya kutoifanya serikali iwajibike kwa wananchi. Ndio maana CCM wanakazana sana kuhakikisha kwamba wanaendelea kuwa majority ya theluthi mbili. Iwapo majority hiyo itaendelea, hatuwezi kufika popote.

Wabunge tumekuwa nao tangu Uhuru, leo hii tuko wapi? Badala ya kwenda mbele tumeanza kurudi nyuma, angalau tungekuwa tunapiga mark time bila kusonga mbele wala kurudi nyuma.
 
hayo yote yanawezekana.ni swala la kujipanga na wote mkaendelea kuikumbusha seriklai itakayoingia madarakni kutimiza hayo yaliyosemwa hata kwa kijikongoja jamani.tutafika tu,keep on making them accountable thu ur representatives.

stop dreaming:eek2:
 
hayo yote yanawezekana.ni swala la kujipanga na wote mkaendelea kuikumbusha seriklai itakayoingia madarakni kutimiza hayo yaliyosemwa hata kwa kijikongoja jamani.tutafika tu,keep on making them accountable thu ur representatives.

Mbona yaliyoahidiwa 2005 hadi leo hii hayajawezekana? Kulikoni? Ahadi kama hizi unaweza kuendelea kuzitangaza kwa mataahira tu na wao kuendelea kukupigia makofi kwa kila ahadi unayoitoa, lakini kwa watu wenye akili timamu lazima wangekuhoji je, ahadi zako za mwaka 2005 mpaka sasa hivi baada ya kuwa madarakani kwa miaka mitano ni zipi ambazo umefanikisha? Na zile ambazo hukufanikisha tatizo lilikuwa wapi? Je, utajaribu tena kuzitekeleza katika awamu yako nyingine? Lakini wapi! mataahira wataendelea kupiga makofi kwa kila ahadi watakayoisikia bila kuhoji chochote maana Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu.
 
Kigoma kuwa Dubai ya Africa?

Kabla ya hapo: Vipi issue ya kujenga Dodoma kuwa Makao Makuu na Kuamia?

Vipi kero za Bandari ya DSM?
 
Shut the f**k up!!!!! Kigoma is my home, forget about turning it Dubai, since independence and once again since the so called CHAMA CHA MAPINDUZI kisicho na wanamapinduzi bali wanyonyaji na Mafisadi kiongoze serikali ule mkoa bado una shida ya some basic needs (MAJI & UMEME) leo mnataka kupageuza DUBAI..Shame on YOU.......

Ni mkoa ambao una good plans, Mji umejipanga ( Nenda Ujiji, Gungu, Kikungu, Butunga, Kahabwa, Mlole, Mwandiga, Metrological, Burega, Mwanga, Mji Mwema, Kilima Hewa, bangwe, Kibirizi mpk Nondwa kwa sasa n.k...) pote huko utaona nyumba zisizo na ubora ila hazijajengwa ( kiandale) zipo kwenye mpangilio ambao kama kungekuwa na serikali inayoujali ule mkoa basi kweli pangekua sehemu inayo worth to live. Lakini kwa sasa hata usafiri wa kwenda pale ni wa shida sana.

Sisi ni watu tuliokuwa tunaitegemea sana Treni (Gari Moshi) na reli ya kati kwa ujumla katika kusafirisha bidhaa zetu either zitokazo au ziingiazo mkoani, Lakini its you stupid greedy leaders ambao mmeliua lile shirika kwa manufaa yenu binafsi. Mmewaleta wale wahindi na mabehewa yao feki, mmekula nao na sasa mnataka mumlete mwingine mle tena kufidia mabilioni mnayospend katika uchaguzi huu.......

I wish tungejitenga na kuwa nchi kama Burundi na rwanda, labda tungepiga hatua kuliko kukaa na kusikila upuuzi wa kuigeuza KG kuwa DUBAI wakati service ndogo tu kama maji na umeme zimewashinda kwa miaka nenda rudi....

Inakera sana.....
 
hahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......kikwete bwana.............kasema ataendelea kuropoka na ahadi hewa hivyohivyo mpaka mikoa yote iishe.........tehe,,,,tehe.....tehe......
 
Kaka nimeishi Kigoma japo sio mwenyeji wa mkoa huo kwa kweli umeongea purity!
 
Five years ago he promised to revive the ailing Tanzania Railway coop. Today the TRL has been moved from ICU to mortuary,No one has questioned!!. The railway was constructed by the Germany masters a century ago! The same government has failed to put gravels and new engines 50 years post independence.
He could not revive the ATC,yet he want to construct an international airport!how many people in kigoma can afford a bus fare the least to say.white elephant!!
I don't know who suffers from amnesia! the wananchi who are not questioning the previous promise or the candidate who promised.
I wonder if the opposition party can seize the gaffe and turn it into their fortune. It remain to be seen

Anything is possible. Chadema and CUF do not wanna hear this because of jealousy that the smarter Asian investors will invest heavily in business and infrastructure of Kigoma area! You are sooo xenophobic!
TRC is not doing well because of the presence of incompetent management that doesn't want to surrender to the smarter and effective Indian management of RITES
Vote CCM Vote JK:becky:
 
2005 KIKWETE PROMISE
It's very sad that Tanzania is a poor football country. If elected, I promise to put this country on the world football map. I will make sure we produce our own Okochas, El Hadji Dioufs and Zinedine Zidanes here.
September 2005 [1]
Those who expect radical changes in policy and direction are mistaken and lost. The government of the fourth republic will build on what was undertaken by previous governments and will continue with all good things.

During his inauguration ceremony, 2005-12-21[2]


Promises...Promises:What will they cost?

BBC NEWS | Africa | Tanzania's new president sworn in
 
nything is possible. Chadema and CUF do not wanna hear this because of jealousy that the smarter Asian investors will invest heavily in business and infrastructure of Kigoma area! You are sooo xenophobic!
TRC is not doing well because of the presence of incompetent management that doesn't want to surrender to the smarter and effective Indian management of RITES
Vote CCM Vote JK
 
KIKWETE LAZIMA AWE NA WASI WASI NA KIGOMA upinzani upo.

The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage

ANGALIENI KIGOMA MJINI wapinzani 51% na CCM ime win by 48% wakati upinzani umegawika vipande vipande.

Kigoma Kaskazini CCM ilishinda kwa 51%
Kasulu Mashariki 56% CCM wapinzani 44%
Kasulu Magharibi 56% CCM wapinzani 44%
Kigoma Mjini 55% wapinzani the rest.
UKiangalia margin ya ushindi wa CCM si kubwa hivyo.
 
umeshindwa kuigeuza dar kuwa kama nairobi utawezaje kuifanya kigoma dubai ndoto nyingine bwana sio za kusimulia
 
Back
Top Bottom