Kikwete bado ipo fursa ya kumwambia rostam yatosha sasa basi tuachie tanzania yetu!

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,855
401
Wandugu,
Hivi baada ya kelele zote za wanasiasa, wanazuoni, wanafunzi, wanaharakati na wananchi kwa ujumla, za kutaka ufisadi ukomeshwe ili kuinusuru nchi, ni kitu gani kinamshinda jk kutoa tamko zito?? Anashindwaje kumshughulikia rostam ??
 
Anasubiri wanaCCM wenzake wamchoke,wampigie kura ya kutokua na imani na 'mwenyekiti'!.....it's a matter of time,taratibu naona na wanaCCM nao inawaingia (Mfumuko wa bei,Ufisadi wa Dowans nk)..Weak President in Tanzania's history!..
 
Ni vigumu sana. RA amechaguliwa na Wananchi wa Igunga kama Mbunge wao sasa Rais hawezi aitisha Ubunge wa mtu hana nguvu hiyo. huo ni mtazamo wangu tu sijui kama kuna mwongozo mwiingine. Pili, Yule ni swahiba wake Mkubwa ndiye aliyemwezesha kupata huo uprezidaa mwaka 2005 na kampiga tafu sana kifedha 2010 sasa na kuna baadhi ya dili wanafanya pamoja ila RA ndiye mtendaji sasa unadhani atampiga chini? Hawezi kwasababu mbili: 1. ana maslahi makubwa ya kifisadi kupitia kwa RA 2. Akithubutu kumpiga chini RA atatoa siri zote itakuwa so! Kwa hiyo ndo inabidi wavumuliane miaka michache hii minne tu.
 
Wandugu,
Hivi baada ya kelele zote za wanasiasa, wanazuoni, wanafunzi, wanaharakati na wananchi kwa ujumla, za kutaka ufisadi ukomeshwe ili kuinusuru nchi, ni kitu gani kinamshinda jk kutoa tamko zito?? Anashindwaje kumshughulikia rostam ??

ndoa yoyote ili iwe na amani, lazima mke kumtii muume.

zako, za mbayuwayu na za kuambiwa. changanya pamoja.
 
Wandugu,
Hivi baada ya kelele zote za wanasiasa, wanazuoni, wanafunzi, wanaharakati na wananchi kwa ujumla, za kutaka ufisadi ukomeshwe ili kuinusuru nchi, ni kitu gani kinamshinda jk kutoa tamko zito?? Anashindwaje kumshughulikia rostam ??

Jk hawezi kumshughulikia Rostam kwa sababu nyingi sana ila mimi natoa moja tu ambayo ni "Zimwi likujualo halikuli likakwisha" Watz hata mfanye nini rostam yuko juu ya sheria za tz mpaka nchi ipate rais mwingine ambaye aidha ni wa chama kingine au asiye mwanamtandao ie Sitta,Magufuli au Mwakyembe vinginevo mtaongea mpaka mate yataisha kinywani kaka!
 
Ni vigumu sana. RA amechaguliwa na Wananchi wa Igunga kama Mbunge wao sasa Rais hawezi aitisha Ubunge wa mtu hana nguvu hiyo. huo ni mtazamo wangu tu sijui kama kuna mwongozo mwiingine. Pili, Yule ni swahiba wake Mkubwa ndiye aliyemwezesha kupata huo uprezidaa mwaka 2005 na kampiga tafu sana kifedha 2010 sasa na kuna baadhi ya dili wanafanya pamoja ila RA ndiye mtendaji sasa unadhani atampiga chini? Hawezi kwasababu mbili: 1. ana maslahi makubwa ya kifisadi kupitia kwa RA 2. Akithubutu kumpiga chini RA atatoa siri zote itakuwa so! Kwa hiyo ndo inabidi wavumuliane miaka michache hii minne tu.

Wana ccm mmeelewa hiyo??? Tafadhali chukueni maamuzi magumu ya kumdondosha huyo mwenyekiti wenu ili kutunusuru na miaka mitano mingine ya mateso makubwa. Ninatanguliza shukrani zangu kwenu kwa kuchukua maamuzi magumu.
 
JK hana guts za kumpiga mtu yeyote chini kwa kuwa yeye mwenyewe ni dhaifu na sio mwadilifu,yeye ni mzee wa kucheka tuu,hata Lowasa angedinda JK asingeweza kumlazimisha those days sema ushujaa wa yule mmasai akaamua kufa kiume.RA ni dalali mkuu kwenye mauzo ya Tanzania na Vendor ni JK Hauwezi kumpiga chini dalali ilhali ushampa dili ni mpaka mpango ukamilike ndio wanaweza kuachana ila kwa sasa RA anaendelea kutafuta wateja wa kununua TZ nje ya nchi na kote ulimwenguni
 
BIG FOUR - Untouchable

1. ROSTAM AZIZ
2. ANDREW CHENGE
3. EDWARD LOWASSA
4. KARAMAGI
 
Wandugu,
Hivi baada ya kelele zote za wanasiasa, wanazuoni, wanafunzi, wanaharakati na wananchi kwa ujumla, za kutaka ufisadi ukomeshwe ili kuinusuru nchi, ni kitu gani kinamshinda jk kutoa tamko zito?? Anashindwaje kumshughulikia rostam ??

Haiwezekani.
JK ni vidole na RA ni mkono. Sasa kaka, mkono ukikatwa itakuwaje???
 
Ni mwanahisa mwenzake aliyeplay part kubwa kumfikisha alipo kwa uwiano wa hisa Rostam ana nyingi ndio maana Dk amefyata!
 
Wananchi waigunga nao wanastaili lawama. Mbona Rombo wamemtosa Mramba sasa inakuwaje wao wanaendelea kumkumbatia mwizi wa mali za watanzania? RA hatufai mtanzania asiyelinda rasilimali za watanzania sio mtanzania ivyo RA awajibishwe na anyanganywe uraia
 
BIG FIVE - Untouchable

1.THE Presder
2. ROSTAM AZIZ
3. ANDREW CHENGE
4. EDWARD LOWASSA
5. KARAMAGI
 
Kwa kuongeza hapo ni kwamba angalia wadhifa wa RA ndani ya sisiemu,then ujiulize kwanini kila anapoguswa RA wanasisiem wanatanguliza udini??
 
Hana uwezo wa kumwajibisha yeyote ndio tatizo lake kuu - jana (jpili) alikuwa na msafara mkubwa na maaskari kwenye "open landrovers" utafikiri majambawazi sugu yanasafirishwa, bila kusahau Ambulance nyuma yake!!! mh! ama kweli, tuliojionea tulijisemea kimoyo moyo, labda presha inapanda na kushuka kila wakati ndio maana na ambulance inamfuata....mijadala inayoendelea wajameni sio mchezo, hata ukiwa mzima kiafya lazima moyo utashtuka shtuka mwe!
 
Back
Top Bottom