Elections 2010 Kikwete azomewa Mwanza!

Umeipata hiyo shavu ila si unajua kupamba twapenda? Siku nyingine usisahau picha!
 
sielewi kwanini tunashangilia kuzomea wakati ni chanzo cha kuvuruga amani
 
Tulimtaniaga kipindi kile akadhani ngosha tunajipendekezaga, ukipindisha sie tunanyoosha tu Kikwete, The Don Ngosha Nduhu Nchezo ngwanawane, bashosha ng'ombe bagosha ba shimba.... Masha nae hoi hatumtaki....
 
kwa kweli jk pole ulirudi kufanya nni mwanza c ulishatoka huko,its a sign that ure goin down te te te te teh Dr Slaa were together vote for Slaa for changes!
 
nilikuwa bandarini leo kuna jamaa alipokea sms ya chagua chadema toka kwa rafiki yake, baada ya kuisoma ile sms jamaa alitulia akashusha pumzi akasema GOD bless chadema, tutashinda tu, nikamwambia ushindi upo, alifurahi saana. so mwanza big up sana
 
guys... Rational thinking is key for our country, siungi mkono zomeazomea... Ni primitive
 
Ndugu wana-JF mlioko Mwanza, nimepigiwa simu dakika tano zilizopta 06:30 hivi na jamaa yangu aliyeko mitaa ya Nyegezi jijini Mwanza kwamba msafara wa Kikwete umepita eneo hilo ili nisikilize live makelele ya jinsi anavyozomewa.

Jamaa yangu ananiringishia kwamba pamoja na kwamba nimesikia kelele lakini sijabahatika kuona jinsi anavyonyooshewa alama ya vidole viwili (V).

Mlioko Mwanza tujulisheni zaidi.

2010 imekula kwao :peace:
 
watu wa mwanza bado hajatufikia watu wa moshi, huku kwetu moshi maeneo ya soweto watu walivua tisheti zaowalizo pewa nakofia za rangi za kijani na njano wakawavalisha mbwa zilizo andikwa chagua kikwete wakawasambaza mbwa hao wapatao kumi barabarani huku wakisema hizi nguo zimeletwa huku kwetu nyingi mno na piazinasabasha chuki maana watu wa huku hawataki ccm wala salakana hivyo mtu akikuona umeva sare za kijaniaidha za timu ya brzili yanga ama zantel,anakuita fisadi wa ccm akimsalimia anakujibu kawasalimie mafisadiwenzako wa ccm na sio mimi tena ukome na visalamu vyako mchwara nakuona mtu kumbe adui tena mnyama,kjamani hata mimi ilibidi niweke bendera ya chadema afisini kwangu baada ya wateja kunichunia wakidainitangaze msimamo wangu la sivyo sitawaona tena labda nihamishie afisi yangu chalize ingawa sipendi kulaliaupande wowote kisiasa ilibidi niweke mambo peupe slaa 4 president 2010.hiyo ndo vituko vya watu wa moshi.
 
Nimeshangazwa na Waziri Magembe kutangaza kuwa Sirikali imekamilisha mpango wa elimu ya Msingi kuwa mpaka form four! Huku ni kuweweseka, walikuwa wapi kusema mpango huo upo? Ama kweli siku ya kufa nyani miti yote inateleza. Kama kawaida yao wanacopy sera za wenzao. Wanacopy bila kujua strategy ya kuzitekeleza. Si ajabu tuka sikia wameondoa kodi za cement na mabati kabla ya uchaguzi.

Wamefulia, HATUDANGANYIKI!
 
Ndugu wana-JF mlioko Mwanza, nimepigiwa simu dakika tano zilizopta 06:30 hivi na jamaa yangu aliyeko mitaa ya Nyegezi jijini Mwanza kwamba msafara wa Kikwete umepita eneo hilo ili nisikilize live makelele ya jinsi anavyozomewa.

Jamaa yangu ananiringishia kwamba pamoja na kwamba nimesikia kelele lakini sijabahatika kuona jinsi anavyonyooshewa alama ya vidole viwili (V).

Mlioko Mwanza tujulisheni zaidi.

duuuh huko ndo homu kabisaaa... sijui ilikuwa maeneo ya nyegezi kona? vivaa slaaaaaaaaa!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom