Hee si ndio tunawauzia huko au umesahau> generators zinatoka wapi - Kilimo kwanza! madawa Mchina, shule nasikia mnajifunza kiingereza sio taaluma ndio maana hata kuetngeneza baiskeli hamuweziu - mmebakiza kitu gani?.. Ngoja nitazame Football game, sijui kama unajua ni mchezo gani? - google haraka haraka uje ujibu!ha haa haaa
jamaa anakula genetic modified foods halafu anajisifia
acha wivu mbaya wa maendeleo , pressure itakumaliza ushindwe kula hao kuku wa madawa
silly
Aaaah kwaherini mnatabakia na Udini wenu hadi hiyo siku ya siku..