Kikwete azidiwa jukwaani, akimbizwa mapumziko

Ni kweli picha hizi zilikuwa zinatafutwa sana, kwanza tumpongeze aliyetuweka humu Jamvini na huyo Frederick Katulanda kwani wakati hilo 'Timbwili timbwili la JK na kuishiwa nguvu' Watu wa usalama walipita na kuzima Kamera zote katika uwanja wa CCM Kirumba aliwezaje kupata tumuachie yeye, lakini angalau nilimsii tuweke humu kwa ajili ya kutoa taswira kwa mjadala huu na bahati Taarifa ya Daktari pia imetoka, sasa kazi kwenu kuchangia.

Say what?

Watu wa usalama walizuia picha na kuzima kamera?
 
say what?

Watu wa usalama walizuia picha na kuzima kamera?

ndicho kilichotokea walizima kamera zote na hata mmoja wa wapiga picha ninaye mfahamu alipigwa kiwiko kikali na kudongosha kamera yake ambayo ilichukuliwa na (nadhani kama siyo ku-delete) kilichokuwa kumenaswa na kamera yake na kisha kurejeshewa wakati akiwa anagaga na maumivu ya tumbo baada ya kiwiko.
 
OMG ...

Kikwete amefikia (serikali ya kikwete imefikia) hapa! NO wonder watu wengi walikuwa wanauliza picha za matukio bila kupata majibu yoyote
 
OMG ...

Kikwete amefikia (serikali ya kikwete imefikia) hapa! NO wonder watu wengi walikuwa wanauliza picha za matukio bila kupata majibu yoyote

Angalia katika picha hii wamemzunguka JK na kukinga asionekane na wamembeba kwa chini kimo cha mbuzi ili asionekane pia, mbinu hizi ni moja kati ya mbinu za Kiusalama kuzuia picha za fedheha anazoweza kupigwa Rais humumika sana siyo hapa tu Tanzania.
 
Sasa ninapata sababu nyingine ya kuitilia mashaka taarifa ya dakitari wa Kikwete. Hao wanausalama walikuwa wanaficha nini?
 
Mongoiwe said:
ndicho kilichotokea walizima kamera zote na hata mmoja wa wapiga picha ninaye mfahamu alipigwa kiwiko kikali na kudongosha kamera yake ambayo ilichukuliwa na (nadhani kama siyo ku-delete) kilichokuwa kumenaswa na kamera yake na kisha kurejeshewa wakati akiwa anagaga na maumivu ya tumbo baada ya kiwiko.

Mongoiwe,

..mara nyingine wanaweza kumzidishia maradhi wakimbeba kwa kutumia "mbinu" za usalama wa taifa.

Mongoiwe,

..mara nyingine wanaweza kumzidishia maradhi wakimbeba kwa kutumia "mbinu" za usalama wa taifa.

Jokakuu

Sidhani kama wao wanayajua haya ..... kwao dunia ni nyeusi au nyeupe na sio hii mpya ya 10 01 10 01 ............
 
Jokakuu

Sidhani kama wao wanayajua haya ..... kwao dunia ni nyeusi au nyeupe na sio hii mpya ya 10 01 10 01 ............

NI KWELI Mwafrika HAWA WAO HAWALIJUI HILO NA KAMA UTAKUMBUKA HATA SIKU ALIPOANGUKA JANGWANI WALIMBEBA KWA NJIA HII, SIJUI KAMA NJIA HII IMEHAKIKIWA NA DAKTARI KUWA NI SALAMA AU UNAWEZA KUMLETEA MADHARA PIA, LAKINI KI-ULINZI INASAIDIA KUMFUNIKA BOSS WAO ASIONEKANE WALA ASIPIGWE PICHA NA HATA RISASI.
 
Kama ni kwa sababu za kiusalama nitaelewa ila hiyo ya kupora kamera toka kwa wapiga picha ni zaidi hata ya north korea. wakati mwingine ninaota kuwa nchi ya Tanzania iwe free of all these skam bags ambao hawana kazi zaidi ya kuhangaika na petty things like nani anapost critical posts dhidi ya JK na utawala wake.
 
Jamani afya ya Mgombea wa CCM wananchi kuweni makini hatutaki uchaguzi mpya!
 
Masalino ..............mwenzio labda ugonjwa wake ushapatiwa dawa.........wewe unafikiri safari za nje zote za bure? n
 
Si yeye tu mgombea mwenza wake Bilal afya mgogoro, mwaka huu tutabeba CCM watembee na ambulensi mbili mbili.
 
Si yeye tu mgombea mwenza wake Bilal afya mgogoro, mwaka huu tutabeba CCM watembee na ambulensi mbili mbili.

CCM ni kama hawana mtu aliyemzima kabisa Kiafya! Kikwete na Bilal mmmmhhhh afya mgogoro
 
Naomba niongee ukweli mtupu!

Amini Usiamini, hatima ya kero zote za nchi hii iko mikononi mwa wamwaminio Kristo, na kwaajili ya hilo watahukumiwa!

Mambo yote ya Ufisadi, umasikini, kutowajibika, mauaji ya albino nk, yote haya yako ndani ya uwezo wa maombi, ambapo ni wajibu wa wamwaminio Kristo Yesu kuyashughulikia mara moja! Hakuna wa kumlaumu hapa!

Pia kila aaminiye anapaswa kuiombe sana nchi ya Israel, maana ni taifa ambalo Mungu, kwa hiari yake alilichagua liwe Taifa lake.

Watu wote tunaagizwa kuiombea nchi hii takatifu, la sivyo mvua haitakunya kwetu, na njaa, laana na masumbufu mengineyo yataipiga nchi!

Mambo madogo madogo kama haya ya Rais kuanguka jukwaani yatashughulikiwa na Mungu mwenyewe, yawe ni ya uganga, au ya afya. Maana katika Biblia tunaambiwa `HAKUNA UGANGA JUU YA ISRAEL, WALA HAKUNA ULOZI KWA YAKOBO`!

Na tuwe chini ya Israel basi!

Wapendwa simamisheni sala iliyo kamilifu machoni pa Mungu, na nchi yetu hii itaponywa!

Ndugu PakaJimmy,

Nakubaliana na wewe kabisa, nami pia ni Mkristo, na namwamini Yesu na uwezo wakw mkuu wa kutenda kwani YEYE hana mipaka. Lakini jambo ambalo sikubaliani nalo ni kuwa tuombe TU. Hapana Biblia inasema imani bila matendo haifai. Na jambo unalotakiwa kujua ni kuwa Mungu kamwe hawezi kutuma malaika kuja kushughulikia masuala yetu, anatutumia sisi wanadamu kutekeleza mapenzi yake. Nchi inapokuwa imechafuka kwa rushwa na ufisadi, kwa maombi yetu Mungu anamwinua mtu wa kuja kutokomeza rushwa. Kwa mfano tunapolia sasa kuwa ufisadi na umasikini unatumaliza watanzania, basi tuombe kisha tuangalie ishara ya MUngu kuwa nani kamwinua kuja kutukomboa, tukisha gundua twende kwenye sanduku la kura na kumleta Chaguo la Mungu bila kushinikizwa na the so called maaskofu. PRAY AND DO. Kama wa- South Africa wangeomba tu bila kuandamana si ajabu mpaka leo ubaguzi wa rangi ungekuwwa pale pale. Wito wangu kwa watanzania ni kuwa wakati tunamwomba Mungu tutende, hata ikibidi kuingia mitaani ili kuindoa serikali ya kifisadi.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom