Kikwete awaweka pabaya wakosoaji wa serikali yake

Malecela sio Mungu mtu, atatajwa kama wengine.
Sina haja ya kubishana na nyie, wewe FMES muulize mzee wako atakueleza kuhusu ubaguzi wake. Hafichi kwa watu wake wa karibu.

Mpe salam zangu na mwambie ukifika wakati na ikibidi mizinga itatumika...
 
Malecela sio Mungu mtu, atatajwa kama wengine.
Sina haja ya kubishana na nyie
,

- Wooow! tatizo ni kumtaja Malecela kwenye topic ya kikwete ndio unaonyesha uwezo mdogo sana wa kufikiri na inasikitisha sana kwa a Great Thinker! Kwa nini usifungue topic inayomuhusu Malecela, ukaacha watu hapa waendelee na hii topic ya Kikwete maana unachofanya hapa ni uharibifu wa mjadala!

wewe FMES muulize mzee wako atakueleza kuhusu ubaguzi wake. Hafichi kwa watu wake wa karibu.
- Mkuu sina uhusiano wowote na Malecela, nilifkiri ulichokifanya sasa cha kuhisia na ku-specualte Id ya member mwingine bila ukweli ni automatically unatakiwa kufungiwa, au?

- I mean huyu Malecela lazima atakuwa ni baba yako haiwezekani topic ya Kikwete ukalilia Malecela lazima ni baba yako mwenyewe mkuu, nilijua toka mwanzo kuwa huna hoja, toka Jf ianzishwe unabadili majina tu lakini hoja zero inasikitisha sana, sasa mfikishie huyo baba yako Malecela ujumbe kwamba hapa JF hakuna aliyelala, tunajua kuwa Kikwete sio Malecela! Bwa! ha! ha!


Mpe salam zangu na mwambie ukifika wakati na ikibidi mizinga itatumika...
- Labda huwa mnafikishina salam kama unavyoisema mwenyewe, hapa tunajadili hoja na sio kutumia nguvu bila akili kichwani ndio maana panaitwa a home of Great Thinkers, sasa sio siri kwamba upo mahali pasipokuhusu, unafikiri tunatumia mizinga bila akili, kumbe hapa ni watu wenye kutumia akili,

- Masikini ya Mungu unasema tunatumia mizinga no wonder hatuelewani maana kwa akili ya kimzinga mzinga kama yako Kikwete kwako anakuwa ni baba yako Malecela, hamieni huko kwenye blogs za vichochoroni huu uwanja ni mkubwa mno kwako kaka, toka ukitumia lile jina lako maarufu lilojaa pumba tupu1 pole sana mkuu waambie waliokutuma kuwa hakuna aliyelala hapa wala anayetishika na mizinga mbuzi!

- Next time mfungulie huyo baba yako thread yake, hapa tunamjadili Kikwete na hoja yake finyu! Bwa! ha! ha watupu vichwani tutaendelea kuwasafisha tu hapa mpaka muamke na mtoke kwenye hiyo 70% ya kufuata upepo! huo ukada wako upinzani ni pumba tupu!

Respect.


FMEs!
 
Mkuu wacha tupige angle zote haina noma wala nini.Malecela alishamu endorse Kikwete ni sawa na kusema wanaopinga 2nd term ya Kikwete wanapingana na Malecela pia kwahiyo ni walewale tu.

- Malecela alistaafu uongozi wa serikali siku nyingi sana mkuu saa hizi unaongozwa na kina Ndulu, kama Mwananchi Malecela anayo haki kama uliyonayo kuamua anamtaka nani kuwa rais, kudai ni wale wale ndio hiyo Kikwete anayoiita 70% yaani ya kutokujua kinachoendelea zaidi ya kufuata upepo tu na kuja JF kubadili badili IDs, lakini hoja ni pumba tupu kama hizi, Bwa! ha! ha! ha! pole sana mkuu!

Na siyo siri Mwalimu alimwita Malecela muhuni.Sasa alikuwa na maana gani hatujui,labda angekuwa hai mwenyewe alifafanue hili ila sababu yake ipo.
- Umeombwa sana useme Malecela alichosema huko kamati kuu cha ubaguzi, lakini ulichofanya ni kubadili IDs tu na maneno ya vichochoroni, sasa tizama a great thinker eti labda angekuwepo mwenyewe, ndio Kikwete anaita 70% bendera fuata upepo, yaani unarukia maneno ambayo wewe mwenyewe unakubali sasa kwamba hujui tafsiri yake, pole sana mkuu waambie waliokutuma kwamba hakuna aliyelala hapa, na sio wote hapa tumo kwenye hilo kundi la 70% kama wewe yaani kufuata tu maneno ya Mwalimu bila kufikiri mwenyewe, sometimes muwe mnaona aibu kuja humu kwenye Great Thinkers! Bwa! ha! ha! eti ukada upinzani pumba tupu!

Respect.


FMEs!
 
Kikwete awaweka pabaya wakosoaji wa serikali yake

- Hapana anajiweka pabaya yeye mwenyewe na legacy yake, kwamba alikuwa Rais asiye na ubavu kabisaa mbele ya marafiki zake walioliibia taifa na ushahidi ukapatikana, lakini akashindwa kuchukua hatua kama Rais na ndiyo hoja kubwa ya wakosoaji wake!

Respect.


FMEs!
 
Great thinker like Nyerere hakukosea kumuita muhuni. Ataficha makucha yake ya ubaguzi sasa lakini rekodi za maneno yake ya kibaguzi zipo. Hii ni sababu iliyofanya aanguke 2005.

Great thinker (to be?) historia ipo haiwezi kubadilishwa na maneno.

Can you specify ni wapi Mwalimu Nyerere alimwita Malecela muhuni? Kwa nini unataka kumuwekea marehemu wa watu maneno mdomoni?! Kama una chuki binafsi na Mzee Malecela then don't drag Mwalimu whom you admit was a great thinker into it please. Mwalimu aliowaita wahuni wanajulikana na matendo yao yanadhihirisha ukweli wa Mwalimu kuwaita hivyo!!
 
Maneno gani? kwani mimi sio mjumbe wa hivyo vikao na hivyo ukinielewesha naweza kukuamini ,ila ukiishia hapo ntalazimika kuyapuuza maneno yako.

Mkuu kwani umehudhuria vikao vyote na hujawahi kukosa hata kimoja? Usije tu ukaanza kuuliza kuwa kikao gani mjumbe alisema harusi ya Malecela ilifadhiliwa na Jeetu Patel mtuhumiwa wa wizi wa fedha za EPA!!
 
Mkuu kwani umehudhuria vikao vyote na hujawahi kukosa hata kimoja? Usije tu ukaanza kuuliza kuwa kikao gani mjumbe alisema harusi ya Malecela ilifadhiliwa na Jeetu Patel mtuhumiwa wa wizi wa fedha za EPA!!

- Another Great thinking, Bwa! ha! ha!, hivi ilikuwa ni topic ya nini tuliambiwa na mjumbe mmoja kuna watu wanaoishi kusubiri hela za wake zao tu, ilikuwa CCM au Chadema? Bwa! ha! ha!

Respect.


FMEs!
 
Back
Top Bottom