Kikwete awapa polisi fundisho

Kakende

JF-Expert Member
Aug 18, 2012
2,741
1,231
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.
 
ndio wakome kujikomba kwa viongozi wa kisiasa, wakati wengi wao maisha ni duni wanakaa kwenye nyumba full suit bati kuanzia chini hadi juu, mchana huwezi kulala ndani lakini bado hawajitambui, Niambie ni nyumba zipi za polisi ambazo maji machafu hayatirirki asubuhi hadi jioni, mtaa hadi mtaa lakini wao hawayaoni wanasubiri kutumikishwa tu, askari wa tanzania kwa kiasi kikubwa hatofautiani na mnyapara wakati wa mkoloni.Mwenzao anakula bata muscat which means kwake kuhudhuria misiba ya wasanii ni muhimu kuliko wa kamanda wake.
 
Great thinking, Kwa Kanumba alihudhuria lakini kwa mtumishi wa polisi wa siku nyingi kama huyu ameona hakuna aja
 
Kwa sababu tukio la mazingira ya kuuawa kwake yanaashiria visasi au uzinzi wa moja kwa moja na maswali mengi sana hayana majibu kuliko ayajibu yeye ni bora akajichukulie maujuzi ya kuipamba magogoni ili iwe kama dubai
 
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.

tafuta nakala ya gazeti la mwananchi la juzi usome nukuu ya kamanda wa polisi wa mkoa wa kilimanjaro, juu ya kifo cha Mr. Barlow. Ndo'utapata jibu la tahamaki yako.
 
nadhani watumishi wote wa umma wanalijua hili kuwa mwanasiasa hana rafiki au adui wa kudumu.
 
tafuta nakala ya gazeti la mwananchi la juzi usome nukuu ya kamanda wa polisi wa mkoa wa kilimanjaro, juu ya kifo cha Mr. Barlow. Ndo'utapata jibu la tahamaki yako.

yeah Rpc BOAZ kasema hashangai coz ni kawaida mno.
 
amewahi farasi wengine Oman hujaona mkuu tena kule wapo weni na mmoja mweupe halafu ni wengi so now angependa kuendelea kusafisha macho.But nimepata shida alivyokuwa anashangaa kwenye Kasri la mfalme isivyokawaida.
 
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.

Acha kutuchefu hapa. kafa nani? huyo ni nani nchi hii? mimi akifa polisi yeyote ni furaha kwa kwenda mbele.mbona wao walimuua MWANGOSI tena akiwa amevaa kitambulisho!! mimi na polisi, ccm aah no,no,no.
 
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.

Huko msibani wangeweka taarab ya Rusha Roho, baba Riz4 angehudhuria
 
ndio wakome kujikomba kwa viongozi wa kisiasa, wakati wengi wao maisha ni duni wanakaa kwenye nyumba full suit bati kuanzia chini hadi juu, mchana huwezi kulala ndani lakini bado hawajitambui, Niambie ni nyumba zipi za polisi ambazo maji machafu hayatirirki asubuhi hadi jioni, mtaa hadi mtaa lakini wao hawayaoni wanasubiri kutumikishwa tu, askari wa tanzania kwa kiasi kikubwa hatofautiani na mnyapara wakati wa mkoloni.Mwenzao anakula bata muscat which means kwake kuhudhuria misiba ya wasanii ni muhimu kuliko wa kamanda wake.
mku hilo neno
 
Si kila msiba mhe. Rais atahudhuria, ni kulingana na majukumu na ratiba, ratiba nyingne hazimruhusu kutuma mwakilishi inabidi awepo,inabidi atume mwakilishi mwakilishi kwenye misiba , mazingira kama hayo yakitokea.
 
ama kweli watanzania ni watu wa ajabu, akiudhuria misiba mnamsema, asipoudhuria mnamsema duuuh kweli ubinadamu kazi na undugu lawama.
Sidhani kama huyo Baro alikuwa mtu mkubwa tanzania hii mpaka uwepo ulazima wa raisi kuhudhuria msiba wake. Kwanza sijaelewa mantiki ya maiti yakee kuletwa dar kabla ya kupelekwa kilimanjaro naona tu ni kukuza mambo na kutumia ela ya serikali bure.
Si kila msiba lazima raisi audhurie mimi nadhan raisi inabidi audhulie misiba ya viongozi wakubwa zaidi na watu walio fanya kazi maalumu na zenye kusifika kwa taifa hili.
 
Kwa sababu tukio la mazingira ya kuuawa kwake yanaashiria visasi au uzinzi wa moja kwa moja na maswali mengi sana hayana majibu kuliko ayajibu yeye ni bora akajichukulie maujuzi ya kuipamba magogoni ili iwe kama dubai

tena Kanumba ndio alikufa kwenye Uzinzi wa moja kwa moja..bora hata huyu. Jk alienda kwenye msiba wa Freemason mwenzake
 
amewahi farasi wengine Oman hujaona mkuu tena kule wapo weni na mmoja mweupe halafu ni wengi so now angependa kuendelea kusafisha macho.But nimepata shida alivyokuwa anashangaa kwenye Kasri la mfalme isivyokawaida.
kwenye red isinge sema ningesema; alikuwa hajifichi kushangaa nahisi akitoka huko atafisadi nae ajenge maana inaonekana aliipenda sana
 
Pamoja kwamba watanzania na polisi kwa ujumla wamepata msiba, kifo cha RPC lakini Kikwete ameondoka kwenda Muscat hata kabla mwili haujazikwa. Kifo ni jambo la kawaida lakini kifo cha RPC kilikuwa si cha kawaida, si jambo la busara kuacha nchi ikiwa na hali kama hii ya kifo pia na machafuko ya kidini.

akiandaa akili yako kuwa ya kichuki chuki hutaacha kuchukia kila kitu bila hata kufikiri beyond the boundary
 
Siku za rais zinahesabika, acheni vasco dagama wetu atalii talii kidogo isitoshe huu msiba wa RPC umekaa kifataki zaidi na huu mgogoro wa mbagala ni upepo tu.
 
Back
Top Bottom