Kikwete awadanganya watanzania - TENA

Nimeongea na AFANDE MWITA kaniambia hakuna mfumuko wa bei kama hizo, labda kwingineko na sio tanzania ile !
 
..kwani we hujui!kwamba huyo afande wako anakula kambini?

..bora ungeniambia umeongea na mtoto wa yule aliyekuwa mfanyakazi wenu zamani!
 
statement yangu hi SIMPLE AND CLEAR, nimeuliza watu wanasavaivu vipi na hizo bei iwapo watu wenyewe ajira ? vitu kuzidi kwa 300% unadhani mchezo babu ? hata kama wangekuwa na kazi still hiyo asilimia 300 ni kubwa mno, sasa halafu hawana kazi !

!!

Kadas advocate, watu bongo wanaishi tu hata mkate hawali, wanakula mara moja kwa siku, wanapika bila mafuta, mtu anayeishi nje ya nchi akiteremka pale Dar kitu cha kwanza ku-notice nikwamba watu wengi wamekonda na kukangamaa sana unawaona wazi kuwa hawa watu hawana shibe, nyuso zimesinyaa n.k. yaani zile basic needs ni asilimia chache tu ndio wanazozimudu. Bidhaa ni bei mbaya na hazishikiki.

Ukiwaona kina Kikwete wamenona ile sio bongo wale ni wateule wachache. Ndio maana wengi wakitoka nje ya nchi hawarudi tena, maana akibeba box tu mahala pa kulala hapapigi chenga, chakula cha aina yoyote mara tatu hakipigi chenga na bia mbili tatu vilevile na nyumbani bado anawatumia hapo mtu wa chini kabisa je angekuwa mwalimu au daktari?
 
..kwani we hujui!kwamba huyo afande wako anakula kambini?

..bora ungeniambia umeongea na mtoto wa yule aliyekuwa mfanyakazi wenu zamani!

bana wee ukisikia afande basi unajua POLISI, huyu jamaa yangu hili jina alipewa na mwanangu na tokea kipindi hiko jina limemkaa likakalika, Kwa kifupi sio afande ! NI jina tu !

KWA HIYO HAKUNA KITU KAMA MFUMUKO WA BEI ZA BIDHAA KWA 300% !!
 
Kadas advocate, watu bongo wanaishi tu hata mkate hawali, wanakula mara moja kwa siku, wanapika bila mafuta, mtu anayeishi nje ya nchi akiteremka pale Dar kitu cha kwanza ku-notice nikwamba watu wengi wamekonda na kukangamaa sana unawaona wazi kuwa hawa watu hawana shibe, nyuso zimesinyaa n.k. yaani zile basic needs ni asilimia chache tu ndio wanazozimudu. Bidhaa ni bei mbaya na hazishikiki.

Ukiwaona kina Kikwete wamenona ile sio bongo wale ni wateule wachache. Ndio maana wengi wakitoka nje ya nchi hawarudi tena, maana akibeba box tu mahala pa kulala hapapigi chenga, chakula cha aina yoyote mara tatu hakipigi chenga na bia mbili tatu vilevile na nyumbani bado anawatumia hapo mtu wa chini kabisa je angekuwa mwalimu au daktari?

kwanza nikwambie, kufakamia chakula kwa wingi sio kunenepa-wengine hata wale vipi, wao ni vijiti ! ( halafu kunenepa sio afya) hivyo hata kama wamepungua i will just assume wanaelewa mambo ya afya zaidi ya hawa jamaa wa JK waliopo ugaibuni wanaonenepeana !
naelewa sana ulichosema maisha ya ghetto kwamba watu wanakula mikate, kupika bila ya mafuta, maana binafsi niliishi hayo maisha. Unataka kuniambia maisha haya wanaishi watu wenye familia au wamachinga wachache uliopata kuonana nao/kusikia story zao vijiweni ?

again, narudi NAPINGA *MSEMO* KUSEMA KWAMBA BEI ZA BIDHAA ZIMERUKA HADI 300% !!

KWELI MAISHA MAGUMU, BUT NOT THAT HARD NOW ! NO WAY !

(halafu huoni ma-ATM yamejazana kila kona za miji sasa hivi, watu hawajachacha, ) hazijawekewa vigogo wala watoto wao, bali kila mtu ! teh teh teh teh !! dont take this serious though !
 
we kada wewe.. si umeona ile movie ya "Friday".. we ngoja watu waanze kuchangamkia hizo ndipo tutajua..
 
kwanza nikwambie, kufakamia chakula kwa wingi sio kunenepa-wengine hata wale vipi, wao ni vijiti ! ( halafu kunenepa sio afya) hivyo hata kama wamepungua i will just assume wanaelewa mambo ya afya zaidi ya hawa jamaa wa JK waliopo ugaibuni wanaonenepeana !
naelewa sana ulichosema maisha ya ghetto kwamba watu wanakula mikate, kupika bila ya mafuta, maana binafsi niliishi hayo maisha. Unataka kuniambia maisha haya wanaishi watu wenye familia au wamachinga wachache uliopata kuonana nao/kusikia story zao vijiweni ?

again, narudi NAPINGA *MSEMO* KUSEMA KWAMBA BEI ZA BIDHAA ZIMERUKA HADI 300% !!

KWELI MAISHA MAGUMU, BUT NOT THAT HARD NOW ! NO WAY !

(halafu huoni ma-ATM yamejazana kila kona za miji sasa hivi, watu hawajachacha, ) hazijawekewa vigogo wala watoto wao, bali kila mtu ! teh teh teh teh !! dont take this serious though !

..300%?,sijui inahitaji statistics!

..ila,watu cha moto wanakiona,hizo atm usizione nyingi!ukweli ni kwamba siku hizi watu wengi hawapangi tena foleni mule benkini!halafu idadi ya watu dar imekuwa maradufu,vilevile ni wachache wanaochukulia mshahara dirishani nowdays,waajiri wanapenda kutumbukiza mishahara benki,ili wasipatwe na majambazi!

..sasa,hiyo ndo sababu kuu!inaonekana wewe huna picha nzuri ya kinachoendelea bongo!si kosa lako na wala si udhaifu wako,ni suala la circumstances!

..kimsingi,watu kwenye hizo atm[wengi wao]hufuata fedha za matumizi ya kila siku....meaning,ya kununua chakula!ukiniuliza ntakuambia kuwa..."anayenunua chakula kwa kutumia kiasi kikubwa cha fedha aliyonayo,huyo ni mlalahoi tu"...kama miye!na ndo anazidiwa kila kukicha!
 
heheee, wee unanifurahisha kweli angalau umeongea mengi ni POINTI TUPU !

Mbaya zaidi ni kwamba, nimekwambia hiyo hoja kuhusu atm is not serious, na wewe naona ndio umeichangamkia hiyo ya atm, so lazima ujue nilimaanisha sio serious ! sijitetei bali nakukumbusha !
 
..nami niliona nisiiache ili nizidi ku-stress point ya ugumu wa maisha!kama ulinielewa kwenye sentensi za mwisho!

..tutaendelea kuhabarishana kadri iwezekanavyo!ili baadae mnapopata nafasi ya kukaa na hao wanaoendesha nchi na haya mnawadondoshea kidogokidogo!
 
kwanza nikwambie, kufakamia chakula kwa wingi sio kunenepa-wengine hata wale vipi, wao ni vijiti ! ( halafu kunenepa sio afya) hivyo hata kama wamepungua i will just assume wanaelewa mambo ya afya zaidi ya hawa jamaa wa JK waliopo ugaibuni wanaonenepeana !
naelewa sana ulichosema maisha ya ghetto kwamba watu wanakula mikate, kupika bila ya mafuta, maana binafsi niliishi hayo maisha. Unataka kuniambia maisha haya wanaishi watu wenye familia au wamachinga wachache uliopata kuonana nao/kusikia story zao vijiweni ?

again, narudi NAPINGA *MSEMO* KUSEMA KWAMBA BEI ZA BIDHAA ZIMERUKA HADI 300% !!

KWELI MAISHA MAGUMU, BUT NOT THAT HARD NOW ! NO WAY !

(halafu huoni ma-ATM yamejazana kila kona za miji sasa hivi, watu hawajachacha, ) hazijawekewa vigogo wala watoto wao, bali kila mtu ! teh teh teh teh !! dont take this serious though !

Kadasadvocate, ni kweli kabisa kunenepa si afya lakini atleast mtu awe na chakula halafu achague aidha kunenepa au ke-keep shape. Lakini Bongo maisha magumu hivyo kwamba mtu hana choice ni kubaki na utapia mlo tu.

Halafu mtu mwenye njaa hata kama humjui wala kusikia stori zake utamjua tu, we teremka Bongo halafu panda daladala uone wengi waliokuzunguka wana njaa maisha magumu mzee! na hata hao wa kima cha kati mambo yanawazidi taratibu nasikia kodi za kulipia vigari vyao zimepanda kishenzi.
 
sawa pedro (Inafaa na wewe uwe KADA) (upo tayari kuvikwa UKADA??)
heh heh hehe, uliyosema ni kweli, lakini pia kuonekana kuchoka kwao pia naweza nikasema inachangiwa na kitu ambacho we have no control over, yaani MOTHER NATURE, jua likiamua kumulika pale mzizima na sehemu nyingine aisee utadhani kiama !

Nakupa mtihani kidogo: Katika kuproof kwamba ni kweli, hali ya hewa(jua kali) huchangia katika kuonyesha wananchi wamechoka, jaribu kuangalia kwa makini watu wa jinsia zote, umri wote, WAKATI WA JUA KALI, then make a note, halafu tena CHUNGUZA watu wa jinsi zote, umri wote wakati wa MVUA( au baada ya mvua kunyesha), halafu niambie kama hautoona tofauti ! (UTAGUNDUA WATU WANANG'AA BAADA YA MVUA,VUMBI HAKUNA, NK)

So, kama watu watailalamikia CCM kwa Jua kali (which nashangaa hadi sasa hajatokea mtu yoyote kusema CCM imeshindwa kupunguza joto la jua) i must say kwamba WAMESHINDA, na iwapo wapinzani wataweza kupunguza joto la jua, USIKU HUO HUO HATA KAMA NI WA MANANE, HAKI YA NANI NABADIRISHA KADI YANGU YA UANACHAMA WA CCM NA KWENDA UPINZANI !

Adios' !
 
jibu ni kwamba ENVAIROMENTO FAKTAZ zimeplay part katika hilo ulilozungumzia !
 
Kwanza kabisa mtu akinipa heshima ya ukada mimi naipokea kwa taadhima kabisa sina noma wala nini, enzi za Nyerere jamaa mmoja alisema Nampendekeza Julius kuwa Raisi wa jamhuri anayepinga anyooshe mkono, hakuna aliyenyoosha mkono basi Nyerere akawa raisi wa jamuhuri;)

Aisee kwamba jua ndio limewachosha mimi sikubaliani kabisa, mbona wanene wa CCM hawajachoka?wakati wao wapo kwenye nchi hii pia na jua si linawamulika wao pia? mbona California jua linapiga mwaka mzima lakini watu hawajachoka? mwenye njaa huchoka, mwenye shibe hunawiri.
 
..nami niliona nisiiache ili nizidi ku-stress point ya ugumu wa maisha!kama ulinielewa kwenye sentensi za mwisho!

..tutaendelea kuhabarishana kadri iwezekanavyo!ili baadae mnapopata nafasi ya kukaa na hao wanaoendesha nchi na haya mnawadondoshea kidogokidogo!

mhm, haya ! lakini mie sifahamiani na kigogo yeyote yule, hata sikai nao kwanza, si unajua walishasema uongozi wao hauna ubia na mtu yoyote, lol !

lakini ujumbe umefika na NTAJIITA IDI !
 
Back
Top Bottom