Kikwete awadanganya watanzania - TENA

kada, hivi kweli unaamini Tanzania mtu anaweza kuishi kwa kutegemea mshahara wake? Watu pekee wanaoweza kuishi hivyo ni wale ambao chakula, malazi na vikolombwezo vingine vinalipwa na wengine!

tena mwenyewe umeingia mkenge, !!
achilia mbali na biashara wanazofanya mbali na ajira, kazi walizonazo kuingizia kipato ( most likely ni kuuza karanga, ubuyu, kushona nguo, mama ntilie n.k) kitu ambacho hakiwezi kuwaingizia zaidi ya elfu 40 kama faida, sasa nyie hizo data za kusema kwamba bei za bidhaa zimejump kwa 300% mmetoa wapi ?
akina zitto, slaa, mnyika wapo wapi kupigia kelele huu mfuko uliozidi zaidi ya mara 3 ya bei ?? au huyo mtu aliyeleta hizi data ndio ana uchungu zaidi ya slaa, mnyika, zitto AU ni muongo tu ??Unadhani bei kufumuka hivyo, kusingekuwa na mwanafunzi hata mmoja angeenda shule, wote wangekuwa wanauza ubuyu, karanga, vibatari mitaani na mayai ya kuchemsha ! HIZI DATA NAZIPINGA HADI KESHO !!
 
Mifano michache toka 2006 hadi sasa
mkate from 300-1000 tsh.....333%
mche wa sabuni 500-1200.....240%
Maharage from 400-1200......300%
Unga wa ngano kilo 1 from 300- 1000....333%
Mafuta ya kupikia 3 lt from 2500-9000....360.

Haya, tuendelee na mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha.

2006 to 2007 Price change on Broad Comparisson

Bread = 350 to 550 TShs (+ 57%)
OMO Washing Soap = 2000 to 3000 ( + 50%)
Beans = 800 to 1200 (+50%)
Wheat = 500 to 850 (+30%)
Cooking oil - Korie 3lt = 6000 to 12000 (+100%)

This is why I said 200% was OUTRAGEOUS!!

Price of Crude Oil per barrel, Nov 2006 = 62usd
Price of Crude Oil per barrel, Nov 2007 = 95usd

Percentage change in price of Fuel in WORLD MARKET(which affects most of the commodities) = +53%

Apart from Cooking Oil, the prices are what we should expect today.

Maybe I should add this,

Our currency was exchanging at, 1usd = 1297TShs on 6th Nov 2006
And is exchanging at 1usd = 1148TShs today 6th Nov 2007

Percentage GAIN is 11.5%
 
Insurgent hivi unaishi Bongo kweli??

Mifano michache toka 2006 hadi sasa
mkate from 300-1000 tsh
mche wa sabuni 500-1200
Maharage from 400-1200
Unga wa ngano kilo 1 from 300- 1000
Mafuta ya kupikia 3 lt from 2500-9000

Hii siyo kwamba nimegushi ni kweli kabisa nimekutana nayo maduka ya survey last friday!

Hapa nakwambia bei za DSM what about mtu aliyeko Kasulu? Ukerewe?Nanyamba? Bugomora? Mbamba bay Sumbawanga na Mpanda?

Usisahau mashahara ni 84 alfu tu!

Na hapo bado hujaweka ongezeko la gharama za usafiri. Na bado kuna watu wanalipwa BOT (list ya watoto wa wakubwa uliiona juzi) kusaidia monetary policy ya nchi!

Kikwete chonde chonde baba! Nchi hii itakuwepo miaka mingi baada ya wewe kufia kwenye beach house yako uliyonunua France!

Monetary policy ni kazi ya serikali kuu kama hulijui hili!
 
2006 to 2007 Price change on Broad Comparisson

Bread = 350 to 550 TShs (+ 57%)
OMO Washing Soap = 2000 to 3000 ( + 50%)
Beans = 800 to 1200 (+50%)
Wheat = 500 to 850 (+30%)
Cooking oil - Korie 3lt = 6000 to 12000 (+100%)

This is why I said 200% was OUTRAGEOUS!!

Price of Crude Oil per barrel, Nov 2006 = 62usd
Price of Crude Oil per barrel, Nov 2007 = 95usd

Percentage change in price of Fuel (which affects most of the commodities) = +53%

Apart from Cooking Oil, the prices are what we should expect today.

Maybe I should add this,

Our currency was exchanging at, 1usd = 1297TShs on 6th Nov 2006
And is exchanging at 1usd = 1148TShs today 6th Nov 2007

Percentage GAIN is 11.5%

mkuu, walidhani hautoenda kuangalia stock yako ya dataz nini ! big up sana !
 
kwa bei hizo hapo juu, sidhani kama dar-es-salaam watu wangebaki hadi hivi sasa ! kwa ufahamu wangu mie ni kwamba wengi wao hawana kazi, hata kama wana kitu cha kufanya to earn a living, sidhani kama hata elfu 70 zinafika ! nadhani wote wangekimbilia nachingwea, mporipori, ukerewe, na kwingineko wakale mpunga !

Hivi watu wanapokuambia hii ni BONGO unafikiria ni kitu gani ndg yangu Kada!!! Kada inaelekea uliondoka Bongo siku nyingi sana weye.............sasa aliyokuambia Rwabugiri ndio hali halisi
 
masoko yote yanauza hivi au ? supermarkets zipi hizo zinauza hivyo ? nadhani hata kama biashara ni kugain profit sasa hiyo imekuwa opressing kwa wananchi wasiokuwa na ajira !

nakataa kabisa bei hazipo hivyo bana ! angalau maisha yanazidi kuwa magumu, lakini sio kihivyo kitu kuzidi up to 3 times than the prior price ! NAKATAA KATA KATA !! NA NASEMA HUO NI UONGO HALAFU NAUPINGA KISHENZI, kwanza nampigia shemeji AFANDE MWITA yangu simu sasa hivi nimuulize ! nitawajulisha sasa hivi !

Sina jinsi ya kukueleza uelewe.. na sina haja ya kukutajia bei ambayo haipo..
nakushauli kama haupo bongo mtume ndugu yako yeyote aende akanunue mkate pale BP mwenge.. mkate ni sh 1000 hata shoprite mlimani city

Ile mikate mibaya ya azam ambayo ukiula bila kuchovya kwenye chai unakuchana fizi ndo sh 550-600.

Hivyo vingine nenda maduka ya survey yale yanauza vitu mchanganyiko.. yaani ninacho kueleza ni black and white sijaongeza wala kupunguza.. ni ijumaa ya tarehe 2 mwezi huu nimenunua vitu hivyo kwa bei hiyo! Tena ilibidi nizunguke maduka tofauti nikidhani pengine wanataka nigonga bei.

Nilipotoka duka la kwanza kuuliza mafuta yale ya okay/pama/sundrop ambayo walau ni masafi, wa kwanza alisema elfu tisa nikastuka nilipo enda duka la pili nikaambia 9500!! nikabaki nimebigwa butwaa ikabidi nikubali yaishe nichukue ndoo ndoo ya lita 9 ambayo niliuziwa elfu 26 baada ya kupiga hesabu kwamba nikichukua ya lita 3 nitaliwa zaidi!
 
Mikate ya Azam haikati fizi, naitumia siku zote na haijawahi kunichana fizi. Na bei nilizokuandikia ni bei ninazonunua vitu kwenye maduka ya pembeni ya shimoni kariakoo. Huko Shoprite sijui.
 
Ile mikate mibaya ya azam ambayo ukiula bila kuchovya kwenye chai unakuchana fizi ndo sh 550-600.

duh.. nimeogopa.. nilidhani ile mikate ambayo kabla hujala lazima usali sala yako ya mwisho!

Ila nadhani Insurgent na Rwabugiri wanaangalia kitu kile kile kwa mitazamo tofauti sana. Data za Insurgent zinaweza kuwa ni offisial (rasmi) kama alivyoonesha lakini zile za Rwabugiri ni experiential (kanunua mwenyewe). Ni sawa sawa na mtu ambaye ataenda kliniki na kuambiwa hakuna chanjo fulani na akizunguka kliniki tatu nne na kukosa chanjo ile ile basi hatakosea akisema "amekosa chanjo na ya kuwa upatikanaji wa chanjo fulani ni mbinde". Sasa anapotokea mtu na kusema hilo si kweli na akaja na kitabu na kuonesha kuwa takwimu zinaonesha chanjo aliyokuwa anatafuta inapatikana kwa wingi, naye huyo atakuwa anasema kweli. Tatizo, kwa yule aliyekuwa anataka chanjo, wakati anaitafuta hakuipata.

By the way, ongezeko la zaidi ya asilimia 50 katika bidaa yoyote kwa mwaka, siyo jambo la kupuuzia na it is not within the margin or price flactuations na price inapanda kwa asilimia 100 you better have good explanation. Unapoongeza kodi kwa asilimia sita tu, kwanini bei iongezeke hadi zaidi ya asilimia 100? Unless there other factors that are not checked?
 
2006 to 2007 Price change on Broad Comparisson

Bread = 350 to 550 TShs (+ 57%)
OMO Washing Soap = 2000 to 3000 ( + 50%)
Beans = 800 to 1200 (+50%)
Wheat = 500 to 850 (+30%)
Cooking oil - Korie 3lt = 6000 to 12000 (+100%)

This is why I said 200% was OUTRAGEOUS!!

Price of Crude Oil per barrel, Nov 2006 = 62usd
Price of Crude Oil per barrel, Nov 2007 = 95usd

Percentage change in price of Fuel (which affects most of the commodities) = +53%

Apart from Cooking Oil, the prices are what we should expect today.

Maybe I should add this,

Our currency was exchanging at, 1usd = 1297TShs on 6th Nov 2006
And is exchanging at 1usd = 1148TShs today 6th Nov 2007

Percentage GAIN is 11.5%

Hizo bei labda unapiga za tandale ambapo wachuuzi hufata huko kuja kutuuzia watumiaji!

maharage yalikuwa chini ya hiyo bei mwaka 2006
Ngano mahisi hujaenda dukani hivi karibuni, siku hizi vitafunwa ni mihogo na viazi ama kipolo cha wali,.. mkate ni wakati wa sikukuu kwa familia zilizo nyingi!

Hayo mafuta unaongelea korie yale ambayo si mazuri mie naongelea yale ya okay/pama /sundrop ambayo yako more refined!

I stand to my points.. nenda nimekuandika maduka husika in my other post kahakikishe!!

HAPO NDIPO TULIPO FIKIA.
 
duh.. nimeogopa.. nilidhani ile mikate ambayo kabla hujala lazima usali sala yako ya mwisho!

Ila nadhani Insurgent na Rwabugiri wanaangalia kitu kile kile kwa mitazamo tofauti sana. Data za Insurgent zinaweza kuwa ni offisial (rasmi) kama alivyoonesha lakini zile za Rwabugiri ni experiential (kanunua mwenyewe). Ni sawa sawa na mtu ambaye ataenda kliniki na kuambiwa hakuna chanjo fulani na akizunguka kliniki tatu nne na kukosa chanjo ile ile basi hatakosea akisema "amekosa chanjo na ya kuwa upatikanaji wa chanjo fulani ni mbinde". Sasa anapotokea mtu na kusema hilo si kweli na akaja na kitabu na kuonesha kuwa takwimu zinaonesha chanjo aliyokuwa anatafuta inapatikana kwa wingi, naye huyo atakuwa anasema kweli. Tatizo, kwa yule aliyekuwa anataka chanjo, wakati anaitafuta hakuipata.

By the way, ongezeko la zaidi ya asilimia 50 katika bidaa yoyote kwa mwaka, siyo jambo la kupuuzia na it is not within the margin or price flactuations na price inapanda kwa asilimia 100 you better have good explanation. Unapoongeza kodi kwa asilimia sita tu, kwanini bei iongezeke hadi zaidi ya asilimia 100? Unless there other factors that are not checked?

(1)Soma vizuri post yangu kabla ya ku"comment" kuhusu experimental na official.
(2)Hiyo good explanation unaiyoitafuta iko kwenye ile post, soma tena vizuri.
 
It is quite true uliyoyaandika. But still hata hao hao wana CCM wamempa kura kibao! hiyo ni dalili kuwa hata uchaguzi ujao pamoja na porojo dhahiri still watampa urais tena. Jamani sijui watanzania wamezindikwa na mwenge au la. I cant believe. kuwa kila kona ya nchi watu wanalalamika still uchaguzi ni walewale.Ni picha kuwa tunan kazi kubwa ya kuuelimisha umma kujua power of vote badala ya kunung'unika after uchaguzi. Mungu wabariki watanzania.
 
..kada game kali hapo ESPN naona Liverpool wanacharanga mtu..anyway hata kama ni 50% increase kwenye hizo bei za vitu bado ni nyingi mno ...nashangaa insurgent unavyotka kuionesha hii habari kama sio big deal,yaani akili yako hapo tunatukana CCM huku ukweli ndio huo
 
Hizo bei labda unapiga za tandale ambapo wachuuzi hufata huko kuja kutuuzia watumiaji!

maharage yalikuwa chini ya hiyo bei mwaka 2006
Ngano mahisi hujaenda dukani hivi karibuni, siku hizi vitafunwa ni mihogo na viazi ama kipolo cha wali,.. mkate ni wakati wa sikukuu kwa familia zilizo nyingi!

Hayo mafuta unaongelea korie yale ambayo si mazuri mie naongelea yale ya okay/pama /sundrop ambayo yako more refined!

I stand to my points.. nenda nimekuandika maduka husika in my other post kahakikishe!!

HAPO NDIPO TULIPO FIKIA.

Na mimi nimekuandikia maduka yangu vile vile, kuhusu hizo choice zako za refined oil etecetera siwezi kucomment. Ni kweli kila unavyojaribu kutafuta choice bei huongezeka. Mfano corrola na benz, yote magari lakini taste yako inakupa bei tofauti.
 
..tutapiga kelele nyingi tu!na anayeona na aone!

..mi sishangai watu ambao hawaoni kuwa bei za vitu zimepanda sana,kwa muda mfupi!yawezekana wanalishwa,hawanunui,au wanazo fedha nyingi kiasi kwamba wao huagiza wafanyakazi wao bila kujali walichoagiza ni bei gani!

..wengine akina sie makali tunayaona,kwani ndoto za maendeleo tulizokuwanazo zinafifia,nasi hatujazoea kuiba au hatujakaa huko ambako tungeweza kuiba!

..sasa,na acha watu wengine wachangie issue kiushabiki,kwani hawa ndio wale ambao wakisikia watanzania wenzao wanakufa njaa,kuugua na kukosa dawa,au hawawezi kupeleka watoto shule[hata kule vodafasta!],wanaona kawaida kabisa!na hakuna tofauti na wala haishtui!

..na hawa wakijashika madaraka ndio nchi inazidi enda mrama kwa kuwa wao hawajali mstakabali wa nchi bali maslahi yao wenyewe!

..nakumbuka october revolution kule urusi!
 
Na mimi nimekuandikia maduka yangu vile vile, kuhusu hizo choice zako za refined oil etecetera siwezi kucomment. Ni kweli kila unavyojaribu kutafuta choice bei huongezeka. Mfano corrola na benz, yote magari lakini taste yako inakupa bei tofauti.

Yes bei hubadilika kulingana na choices, hapa tunacho ongelea siyo choice bali ni kuongezeka kutoka.... mpaka ... bila kujali aina ya...
 
Back
Top Bottom