Kikwete awaambia UVCCM 'msitutishe'; ahoji walikopata fedha

Nakupongeza kw mchanganuo mzuri, ila hakuna jipya hasa kw watu wenye uelewa mzuri au fursa ya kutumia mitandao jamii km hii
sasa ni wakati mzuri wa chadema kuchukua fursa hii kuelimisha jamii yanayo endelea hasa wale wasio jua kusoma na kuandika nchi nzima hasa vijijini mijin watuachie ss.
 
Sijawahi kuona kiongozi wa JUU wa CCM aliyewahi kutimuliwa.

kwenye cha waliofukuzwa ni pamoja na Rais Aboud Jumbe, maalim seif shariff Hamad, oscar kambona, lakini serikalini inayoongozwa na ccm waliofukuzwa ni wengi zaidi, kama Lowassa, Mbilinyi, Iddi simba, msabaha, karamagi na wengine
 
Pochi ya EL mngemtimua ndipo mngekiona cha moto kutoka kwa hiyo mitoto yenu mnayoirithisha sera yenu kuu ya UFISADI. Time will tell Unabii umeishashuka MENE MENE TEKELI NA PERESI CCM!!
Nimeipenda hii red mno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nilishasema hawa wote ni wezi, wanafki, waongo ndo maana wanaogopana!
 
Nilishasema hawa wote ni wezi, wanafki, waongo ndo maana wanaogopana!
Kuna mtu anandika kwenye gazeti la RAIA MWEMA. Anajionysha kujua kujivua gamba kuliko hatan waasisi wa falsafa mfu hii. Nashangaa hajaandika humu jamvini baada ya gamba kuamishiwa CC. Yetu macho lakini nafikiri JK kashtuka maana NEC is more public kuliko CC iliyojaa wateuliwa wake. Inanipa shida kama kweli KJ anafanya mambo kwa dhati ya moyo wake maana yeye ndiye gamba kuu kuliko yote.

1.Alishiriki bega kwa bega kuasisi ubaguzi kwa msemo wa wanamtandao- kundi hili ni baya kuliko ukimwi na ukoma na damu ya Watanzania iko mikononi mwao. Lilifanya kila liwezekano kwa ulaghai na pesa likipenya kila nyanja-jeshini, polisi, nchi za nje, wawekezaji wa nje na ndani, taasisi za elimu na dini kuhakikia sha tunauziwa mbuzi kwenye gunia kwa kuwa na rais asiye na maono, agenda, strategy na mbaya zaidi hajui kwa nini anaongoza nchi maskini ambayo chanzo cha umaskini hakijui.

2.Mikataba yote ya kinyonyaji na dhalimu-IPTL, Buzwagi, Richmond, Madini kati ya TZ na Barrick na Anglo Ashanti Gold na mingine imesainiwa akiwa ama waziri wa nishati na madini au kama rais. Makampuni yote haya hayachnagii ktk pato la taifa kupitia kodi maana wamesamehewa kodi

3. Mdini na anaendeleza udini kwa njia za wazi na chini kupitia teuzi zake na ufadhili.

4.Mpenda kaharibu sifa za watu wengiekane hasa wanaoonekana tishio kwakwe au kuwa na sifa zaidi yake. He is such megalomenic of the highest degree

kwa haya na mengine yeye ndiye gamba kubwa na sugu na asipojuta sasa come 2015 tutampiga kwa mayai viza
 
Imeandikwa na Neville Meena, Dodoma
Maelezo hayo yalisababisha Benno kusimama kutoa utetezi ambao hata hivyo, haukusikilizwa na hapo wajumbe wawili, Mawaziri, William Lukuvi na Steven Wassira kila mmoja kwa wakati wake, aliushambulia umoja huo.

SOURCE: Mwananchi
Baada ya Wassira kwenda Arusha alituambia mgogoro umekwisha mbona leo tena anawashambulia au alikuwa anafunika moto kwa blanketi.
 
CCM inawawia vigumu kufanya maamuzi kutokana na kutokuwa consistent katika kutoa maamuzi yao; hawafuati kanuni na taratibu walizojiwekea ama sivyo wasingekuwa wanapata haya matatizo.

CCM huangalia sura za wahusika na sio makosa yaliyotendeka na hicho ndicho kikwazo kikubwa cha kufanya maamuzi ya busara. Double standard application to decision making Mkweree ameipeleka mpaka serikalini sasa na ndio maana utaona mtu kama Mattaka anashitakiwa mahakamani kwa kutumia ofisi vibaya lakini Jairo aliefanya makosa makubwa zaidi hapelekwi kizimbani kwa makosa aliyoyafanya kwa sababu tu ya kulindwa !!

Mwalimu Nyerere alijitahidi sana kuwafundisha hawa nunda mpaka kwa mifano hai lakini hawakumuelewa; alipotoa ule mfano wa mtoa rushwa na mpokea rushwa kuwa wote walikuwa ni 'MAJI YA NYANJA" maana yake ilikuwa hukumu hutolewa kutokana na kosa [ kanuni na taratibu] na sio sura ya mkosaji!!
Thank you for a real, relevant and live example for being inconsistent in decision making.
 
Kaa mimi JK fukuzia mbali hawa. Nyambafu UVCCM! Hahaaaaaaaaaaa. Wameshindwa kwa EL na EC watawaweza UVCCM! Subutu aone!
 
CCM is a comedy house with full of drama na comedians na comedian mkuu ndugu JK
 
Mr kikwete deal with the problems of the party dont intimidate those small guys,Go for Lowassa if you are the chairman
 
There are currently 333 users browsing this thread. (63 members and 270 guest)

Du hawa guest 270 woote ni wa magamba nini?
 
Nadhani hawa CCM ni kama gari lililopotea njia.
Wakati nchi ipo katika matatizo makubwa ya uchumi viongozi waandamizi wote wamechimbia huko Dodoma kwa wiki nzima kupiga porojo. Ingekuwa ni nchi za kaskazini au sehemu nyingine ya dunia hawa watawala wangeshatolewa nduki lakini kwakuwa ni sub-sahara Afrika ambayo imelaaniwa, wanaendelea kupeta tu
 
Back
Top Bottom