Mpendanchi-2
JF-Expert Member
- Apr 4, 2009
- 304
- 37
Wandugu zangu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango wenu utanisaidia kumjibu.
1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka mitano ni kujifunza ili baadaye ukipewa fursa ya miaka mingine tena aweze kuwa mfanisi? Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
2.Rais wa kwanza Duniani kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi ni..... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
3.Ni Rais gani duniani anaye amini kwamba suala la urais ni la kifamilia zaidi na siyo la kitaifa? Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu
wake unatokana na nini, ni................
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
5. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha
bora! ni............. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
6. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu) ni.......... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
7. Rais wa kwanza Duniani aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
kiherehere chao? ........... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
8. Rais wa kwanza anayeogopa kuwaburuza mahakamani mafisadi ila ana uwezo mkubwa wa kumuwekea fitina mwizi wa mke wa mtu? ......... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
9.Rais wa kwanza duniani aliyetumia 60% ya mabango yote ya biashara nchini
kwake kujinadi wakati wa kampeni ni.......... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
10. Ni Rais gani Duniani ambaye kwa mtazamo wake anahisi kafanya kazi kubwa nchini kwake kiasi cha kujisikia fahari kubwa kumuandaa mwanaye ili naye siku moja afuate nyayo zake............... Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
11. Rais wa kwanza Africa kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake ni........ Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
12. Rais wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini ni............. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete.
13. Ni rais gani duniani ambaye akiwa madarakani ndani ya miaka mitatu kaoa mabint wawili wenye umri sawa na wanawe, lakini hapendi ifahamike japo dini yake ina mruhusu? Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
14. Ni rahisi gani Duniani ambaye anaamini katika utawala wa sheria na amesaini sheria ya uchaguzi wa Taifa lake, kwa bahati mbaya amekuwa wa kwanza kuzikiuka? Dr.Jakaya Mrisho Kikwete
Have a good day!!