Watanzania wamegoma kuonana na kikwete kutokana na wao kudai hawaoni sababu,wengine wapata hasira waliposikia anakuja wadai anawafanya Watanzania kuwa maskini zaidi,habari kamili zinafata
Watanzania, please, please, please, please..... SHEREHE ZA CHAMA????
lazima katiba mpya iangalie kwa kweli this is too much to bear!!!
Hivi ile sheria ya Uzuluraji ipo au ilishafutwa?Hakuna cha kua eti asiposafiri tutakufa njaa!! KIKWETE NI MZURURAJI and that is all!
Mkuu upo huko tuletee mapicha ya hizo sherehe bana,mbona hawakumwalika Mugabe?au kikwete ndiye maarufu Sadc?
Laana unayo wewe usiyeheshimu wakubwa wako! kila jambo lina ngazi zake za utekelezaji! Haiwezekani kila jambo rais aingilie kati utafikili hakuna watendaji.
Ndio kilichompeleka huko...Kumbe Botswana kwa wakati huu kuna mnuso wa KI-CHAMA lakini wengine tunatumia rasilmali za KI-SERIKALI kwenda huko kucheza na Makirikiri!!!!!!!!!
World Bank, wenzenu huku Tanzania ndio kama hivo tumeshaanza kujibania matumizi na kujiwekea vipaumbe muhimu zaidi kitaifa. Asanteni sana kwa ushauri wenu murua!
"Najiulizaga" huyu jamaa ile hali ya "u-waziri wa mambo ya nje" haujamtoka bado au?