kilolambwani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 395
- 75
Hana lolote la maana. Ufuatiliaji wa maagizo yake haupo, akifika mahali anaongea lugha za kufurahisha watu halafu hakuna ufuatiliaji wa utekelezaji wa yale aliyoyaagiza.
Akifanya ziara Wizara ya Fedha na Uchumi pamoja na vitengo vyake...Rais asiyekubalika ameagiza wazee wa iliyokuwa EAC walipwe madai yao haraka huku akicheka kama kawaida yake......ulikuwa wapi muda wote huo ni usanii....
.JK alikuwa kilaza tangu Chuoni(UDSM).Binaafsi siielewi siasa:mtu asiyeweza anaweza,anayeweza hawezi.Kikwete Urais hauwezi kabisa ila basi tu.Amejaa woga,misifa,usenge-mambo na kukurupuka.Kikwete ye amebarikiwa kuwa Sharobaro tu.....si Rais.
JK mbona haeleweki?.
Pamoja na yooote uliyonena ikiwa pamoja na kashfa zako dhidi yake yeye anabaki kuwa RAIS mpaka 2015 oct.