Kikwete ateua Wakurugenzi Wapya Wizara ya Mambo ya Nje

Dah! Kumbe @ jambo analofanya Mh. JK linaangaliwa kwa jicho la udini?Masikini rais wangu utapata wapi Watanzania wasio na Dini?

Dawa ni kuwapuuza waruke ruke weee, mwisho watakufa na idea zao. Taifa linasonga mbele
 
nimefuatilia sana uteuz wa hao wakurugenzi wa wizara ya external affairs amejaza maswahba wake, na wamama ambao hawakiz viwango vya ubora wa u2mish ndo wale wale wakina madam makindaaa
 
wawe ni viongozi makini ktk utendaji wao wa kazi,kwa hali ya sasa kila kitu kinafatiliwa wawe tayari kuwajibishwa
 
Kuna kitu kizuri kuhusu huu uteuzi, naona karibu wote walikuwa hapo hapo mambo ya nje wamepandishwa vyeo.

BIG UP!
 
Dah! Kumbe @ jambo analofanya Mh. JK linaangaliwa kwa jicho la udini?Masikini rais wangu utapata wapi Watanzania wasio na Dini?

Sijui tatizo lilianzia wapi ila mpaka inakera...tunaacha kuwapa watu wenye uwezo kufanya kazi...tunaangalia dini zao hata kama kazini ni sifuri.
 
Haya mambo ya udini haya yanazidi kuchukua nafasi.Mimi lawama zangu ni huyu mzee Mtei manake sasa kila siku uteuzi unaangaliwa kwa upande wa udini.Its time to stop this shit mimi kikwete kwangu siyo mdini bali hawa watu wengine wanania mbaya ya kuipeleka hii nchi pabaya
 
bado kuna vijana wenye akili timamu ambao wanadhani wakifanya kazi serikalini wataweza kupandishwa vyeo??

Career foreign ni ku kupetezeana muda tuu na ushahidi upo.
btw
Malamula kwa nini asiingie kwenye private sector?
 
Sasa hizi ndio taarifa nusunusu; waliokuwa Wakurugenzi kwenye idara hizo wameenda wapi? wamefukuzwa, wameacha kazi, mikataba yao imekwisha...au wamehamishiwa kwingine au idara hizo hazikuwa na wakurugenzi kabisa kabla ya hawa "wapya"?

Watatu walichaguliwa kuwa mabalozi wa tz nje na wengine kuteuliwa ukatibu mkuu na wawili walikua kwenye mkataba naona hawajaongezewa. Nawasilisha!
 
Mzee Mwanakijiji, hili ni swali la msingi sana!. Cha muhimu ni the motive behind uteuzi huu na significance yake.

Naamini the motive behind ni kuna mabalozi wetu lets say takriban 10 wako njiani kurejeshwa nyumbani for good!. Ama kwa kustaafu ama kwa wataver reasons ila wanauaga ubalozi!. Ili kuzireplace nafasi zao, naamini hao waliokuwa wakurugenzi ambao kicheo ni mabalozi, wataukwaa ubalozi na kutuwakilisha huko!. Hata kama sio lazima wao ndio wawe mabalozi, wanaweza wakawa ni mabalozi wadogo, ili mabalozi wadogo kama kina Chabaka Kilumanga wakawa mabalozi kamili huku watu experianced kama kina Liberata Mulamula wakapostiwa strategic countries.

Significance nyingine kubwa ni kuwa pale MFA kumepata maofisa wengine 9 wenye cheo cha balozi, wengine ni vijana under 40, kitu ambacho kwa miaka ya nyuma ilikuwa ni aghlabu sana kwa mtu kuikwaa ngazi ya cheo cha balozi under 40!.

Maadam tuna member mwenzetu kwenye anga hizi za kidiplomasia, natumaini atakuja kulijibu hili, unless otherwise huibuka tuu kwenye mada za kulitetea lile "joka la mdimu" kuelekea 2015!.

Umenipa kitu muhimu sana hapa. kwa ufupi wateule hawa wanapita tu kwa maana kwamba wanasubiri nafasi za uteuzi mwingine tena (ubalozi)
 
Hongera sana Mbelwa Kairuki.....mwezi uliopita mama mkweo kateuliwa tume ya katiba kuwa mjumbe, ikafata mkeo akawa naibu waziri na leo wewe mkuru.....Mungu yu pamoja na nyie,wenye wivu wajinuyonge
 
Sasa hizi ndio taarifa nusunusu; waliokuwa Wakurugenzi kwenye idara hizo wameenda wapi? wamefukuzwa, wameacha kazi, mikataba yao imekwisha...au wamehamishiwa kwingine au idara hizo hazikuwa na wakurugenzi kabisa kabla ya hawa "wapya"?

Huenda ni idara mpya kabisa
 
Haya mambo ya udini haya yanazidi kuchukua nafasi.Mimi lawama zangu ni huyu mzee Mtei manake sasa kila siku uteuzi unaangaliwa kwa upande wa udini.Its time to stop this shit mimi kikwete kwangu siyo mdini bali hawa watu wengine wanania mbaya ya kuipeleka hii nchi pabaya

chokochoko za udini zilianza pale tu jk alipoingia madarakani,hazijaanza juzi baada ya kauli ya mtei. Huyu jamaa ndiye aliyesababiasha watu waanze kujiuliza baada ya kujaza waislam wengi ambao utendaji wao ni hovyo. Ni afadhali hata wangekuwa wanadeliver inavyotakiwa.
 
Back
Top Bottom