Kikwete ateua Makatibu Tawala wapya saba

Hata Hajua Qualification Zao; Mkoa wa Katavi Sasa Katibu ni Eng. na Mkuu wa Mkoa Eng.

Nilidhani tuna upungufu wa Eng. nchini

Mkuu acha na sisi maEngineer tutawale kwani uwezo tunao, na matatizo ya wanaKatavi yamepata suluhisho kwakuwa ''Engineers are problems solvers''!!
 
Hii serikali sijawahi kuona upuuzi wa namna hii.........

Mkoa wa Katavi una miwala mbili!!!......hii ni akili au dafu!!!

Ndiyo zinatosha, si unajua sera zetu ni za "KUFUTANA MACHOZI" Wanamfuta machozi Pinda kwa kudhalilishwa dhalilishwa hadharani.
Wafuatao wameshawahi kufutwa machozi:
Adam Malima - kwa kufiwa na baba yake
Nape Nnauye - kwa kufiwa na baba yake
Bint wa Kawawa - kwa kufiwa na baba yake
na wengine wengi unaweza ongezea hii orodha
NA SASA SIYOI NAE ANAOMBEWA KURA ZA KUFUTWA MACHOZI KWA KUFIWA NA BABA YAKE.
 
mungu aisaidie hii nchi yetu na huko tunakokwenda, tunalia ukata huku tukitengeneza matumizi ya siyokuwa na maana, sikuona haja ya kugawa mikoa kwa sasa hali ya uchumi ikiwa ni tete kiasi hiki, ila bado hamjajua kuna bomu la vijiji na kata zilizogawanywa kisiasa kipindi cha uchaguzi sasa ni migogoro mitupu na ufujaji wa pesa za maendeleo ndo mpango coz vijiji havina serikali wapo watendaji tu ambao ni waajiriwa.
 
Kufika tutafika lakini itakuwa usiku sana .............. tunakwenda lakini hatuna mwendo, utendaji umedorora lakini uteuzi unaendelea.
 
Hii serikali sijawahi kuona upuuzi wa namna hii.........

Mkoa wa Katavi una miwala mbili!!!......hii ni akili au dafu!!!
Haya ni baadhi ya matatizo yaliyopo nchini hajui kuanzisha mkoa na wilaya ni mzigo kwa serikali kiukweli hapa serikali imejipa jigo zito sana la gharamu hapo tusitegemee hali ya maisha kuwa nzuri gharama kubwa sana hapo inatumika.Mi nafikiri bado mkuu wa nchi anaendelea kuwapa ulaji rafiki zake.
 
Mchana huu imetolewa taarifa ya uteuzi wa wapya na wengine kuhamishwa na kama kawa amezingatia uteuzi kwa wenye sifa za utawala.Kesho uteuzi wa Ma DC
 
Hii serikali sijawahi kuona upuuzi wa namna hii.........

Mkoa wa Katavi una miwala mbili!!!......hii ni akili au dafu!!!
Haya ni baadhi ya matatizo yaliyopo nchini hajui kuanzisha mkoa na wilaya ni mzigo kwa serikali kiukweli hapa serikali imejipa zigo zito sana la gharama hapo tusitegemee hali ya maisha kuwa nzuri gharama kubwa sana hapo inatumika.Mi nafikiri bado mkuu wa nchi anaendelea kuwapa ulaji rafiki zake.
 
Mkuu ukifikiria hawa wateuliwa wanahitaji makazi na ofisi na ulinzi
Bado Polisi nao watahitaji kuwa na ofisi na makazi
Kuhamisha watendaji mbalimbali kukidhi mahitaji ya ofisi mpya
mlolongo wa watendaji watakaohitajika na mishahara yao
Then tunalia bado uchumi mbovu
 
Anyway, sisi tumeshakamua; jaramba kali kwa maswahiba wa JK waliokuwa bado kwenye weiting listi. Lala-salama nayo ndo hiyooooo!
 
Weeeeee! Mbona mi sina taarifa bado? Au kanimwaga, nini?
Anyway; hata hivyo sisi tumeshakamua vya kutosha. Jaramba kali kwa maswahiba wa JK walio bado kwenye weiting listi!
 
Back
Top Bottom