Kikwete ataweza kuhudhulia mkesha wa kupinga ushoga??

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Maasikofu wa madhehebu mbalimbali ya kikristo wameandaa mkesha wa mwaka mpya ambao utafanyikia uwanja wa taifa. Madhumuni makubwa ya huo mkesha ni ni kutoa kauli ya kupinga na kupiga vita ushoga. watatumia nafasi hiyo kuliombea taifa dhidi ya majanga mbalimbali. katika sherehe hizo wamemwalika Mh.dr. Rais Jakaya wa Tanzania kama mgeni Rasmi. Je ataweza kuhudhulia mkesha huo wa kupinga ushoga??. hadi sasa hivi mimi binafsi sijaskia sehemu yoyote ambayo kikwete anapinga ushoga hadharani. Tusubili tuone. Mia
 
Hivi kazi za mgeni wa heshima kwenye ibada za kiislamu au kikristo ambazo mgeni mwenyewe wa heshima si wa dini husika kazi yake kama mgeni rasmi huwa ni kufanya nini hasa? Naomba kuelimishwa.
 
Maasikofu wa madhehebu mbalimbali ya kikristo wameandaa mkesha wa mwaka mpya ambao utafanyikia uwanja wa taifa. Madhumuni makubwa ya huo mkesha ni ni kutoa kauli ya kupinga na kupiga vita ushoga. watatumia nafasi hiyo kuliombea taifa dhidi ya majanga mbalimbali. katika sherehe hizo wamemwalika Mh.dr. Rais Jakaya wa Tanzania kama mgeni Rasmi. Je ataweza kuhudhulia mkesha huo wa kupinga ushoga??. hadi sasa hivi mimi binafsi sijaskia sehemu yoyote ambayo kikwete anapinga ushoga hadharani. Tusubili tuone. Mia

Hivi kazi za mgeni wa heshima kwenye ibada za kiislamu au kikristo ambazo mgeni mwenyewe wa heshima si wa dini husika kazi yake kama mgeni wa heshima huwa ni kufanya nini hasa? Naomba kuelimishwa.
 
Kinachonekana tatizo kubwa ulilonalo ni msimamo tata wa jk kuhusu suala ushoga na wala si kuhudhuria au kutoudhuria kama ulivyoainisha
 
Atahudhuria hata usiwe na shaka tena kaitwa na viongozi wa kikristo,lkn kwenye makongamano ya kiislam mfano uchangiaji wa tv imaan huwezi mwona.hatuna shida tutaendelea kuwa watoto yatima mpaka tutakapopata baba asiye na upendeleo na atakayeongoza nchi bila mashinikizo kutoka kokote.
 
Maasikofu wa madhehebu mbalimbali ya kikristo wameandaa mkesha wa mwaka mpya ambao utafanyikia uwanja wa taifa. Madhumuni makubwa ya huo mkesha ni ni kutoa kauli ya kupinga na kupiga vita ushoga. watatumia nafasi hiyo kuliombea taifa dhidi ya majanga mbalimbali. katika sherehe hizo wamemwalika Mh.dr. Rais Jakaya wa Tanzania kama mgeni Rasmi. Je ataweza kuhudhulia mkesha huo wa kupinga ushoga??. hadi sasa hivi mimi binafsi sijaskia sehemu yoyote ambayo kikwete anapinga ushoga hadharani. Tusubili tuone. Mia
Rais Jakaya Kikwete hawezi kuhudhulia Mkwesha huo kwani yeye binafsi hajapinga Ushoga hapa nchni
 
Hivi kazi za mgeni wa heshima kwenye ibada za kiislamu au kikristo ambazo mgeni mwenyewe wa heshima si wa dini husika kazi yake kama mgeni wa heshima huwa ni kufanya nini hasa? Naomba kuelimishwa.

Upumbavu mtupu, tatizo wachungaji wengi wa makanisa ya ''kiroho'' shule na exposure ni ndogo sana, wao hufurahia sana kupiga picha na rais. Basi kamsikia J2 atakavyokuwa anashuhudia jinsi alivyoshikana na rais na kupiga picha naye. Padre wa Kikatoliki, Sheikh (mwenye shule), Mch. wa CCT hawezi kujisifu kupiga picha na rais. Maombi gani ambayo yanakuwa na madhabahu mbili? mwislamu na mkristo wapi na wapi kama sio njaa tu. Najua hapo ''Askofu'' Gadi atakuwepo....................
 
Mkuu swali lako mbona ni tata hivi unamaana gani hasa katika hili??????

Maasikofu wa madhehebu mbalimbali ya kikristo wameandaa mkesha wa mwaka mpya ambao utafanyikia uwanja wa taifa.

Madhumuni makubwa ya huo mkesha ni ni kutoa kauli ya kupinga na kupiga vita ushoga. watatumia nafasi hiyo kuliombea taifa dhidi ya majanga mbalimbali. katika sherehe hizo wamemwalika Mh.dr.

Rais Jakaya wa Tanzania kama mgeni Rasmi. Je ataweza kuhudhulia mkesha huo wa kupinga ushoga??. hadi sasa hivi mimi binafsi sijaskia sehemu yoyote ambayo kikwete anapinga ushoga hadharani. Tusubili tuone. Mia
 
Mkuu swali lako mbona ni tata hivi unamaana gani hasa katika hili??????

mkesha unafanyika usiku, na sehemu yenyewe ni ya wazi. vipi kuhusu usalama wa Rais wetu? halafu kutokana na uchumi wetu kutokuwa imara vipi kama ataongea kauli ya kutochonganisha na wahisani si nchi itakuwa kwenye wakati mgumu? Mia
 
Maasikofu wa madhehebu mbalimbali ya kikristo wameandaa mkesha wa mwaka mpya ambao utafanyikia uwanja wa taifa. Madhumuni makubwa ya huo mkesha ni ni kutoa kauli ya kupinga na kupiga vita ushoga. watatumia nafasi hiyo kuliombea taifa dhidi ya majanga mbalimbali. katika sherehe hizo wamemwalika Mh.dr. Rais Jakaya wa Tanzania kama mgeni Rasmi. Je ataweza kuhudhulia mkesha huo wa kupinga ushoga??. hadi sasa hivi mimi binafsi sijaskia sehemu yoyote ambayo kikwete anapinga ushoga hadharani. Tusubili tuone. Mia

Wacha majungu yako wewe,hujasikia kuwa Rais alikataa kumpokea balozi shoga? usipende kuropoka uonekane unajua kujenga hoja hapa,Rais hata kama humpendi acha kumsingiziza kila kitu,Msimamo wa serikali yake uko wazi na wazungu wanalijua hilo,
 
Kinachonekana tatizo kubwa ulilonalo ni msimamo tata wa jk kuhusu suala ushoga na wala si kuhudhuria au kutoudhuria kama ulivyoainisha

na wala tatizo si msimamo wake katika ushoga,tatizo ni kuwa kababaika katika sera yake kukwea pipa na bakuli.Kumbe anaidhalilisha nchi yake... Yaani kweli 'you can take a man from the bush,but you can not take the bush out of him..'
 
Atahudhuria tusubiri tu siku hiyo. Kuhusu kupinga ushoga mbona inasemekana alikataa kumpokea balozi shoga?
 
Haya ngoja tuone kama ataweza kwenda!!! Tumuombee afya na uzima tele si ndio kiongozi wetu? Ya ushoga sijui comment yake ila msimamo wake ni 50-50
 
Back
Top Bottom