Kikwete atajivunia nini baada ya kumaliza kipindi cha utawala wake?

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Mwalimu nyerere alijivunia utawala bora, Mwinyi alijivunia ruksa, Mkapa alijivunia kuimarisha uchumi, je Kikwete atajivunia nini, tulichambue hili kwa makini wana jf
 
Ametembea nchi nyingi sana,bendera ya nchi yetu imekwenda kote huko na dada zetu wengi wamepata ajira za kudumu kwake.
 
Sijui anajisikiaje hapo alipo kwa sababu mambo yote aliyoacha mkapa kayavuruga, angalieni hali ya barabara zetu jamani,na ni kwanini alimuondoa magufuli ktk wizara ile na kumuweka swahiba yake kawambwa,
 
Katiba mpya na tume huru.
Uhuru wa kusema na kuandika katika vyombo vya habari.
"maisha bora kwa kila mtanzanaia"
Utembezaji wa bakuli ili watz wasife njaa.
Umeme wa dharura kuwa historia.
Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.
Ahadi hewa nyingi.
 
Umasikini aliotuongezea, ufisadi uliokithiri na udini!!

Riz1 kuwa bilionea, kuwatosa mafisadi wenziye bila aibu ra, el, ec a.k.a vijisenti na kushindwa kulivua gamba lake ambalo ni gamba la kichwa cha Nyoka CICIEMU mwenye sumu kali (HATUOGOPI GAMBA LA NYOKA BALI TUNAOGOPA MADHARA YA SUMU YAKE)
 
Hakuna kitu kila siku zege linakuwa gumu tu,ipo siku tutatokea hata kwenye paa
 
Ana mengi ya kujivunia tena kama sikosei mengine ataweka rekodi zitakazodumu muda mrefu bila kuvunjwa kama ifuatavyo:
  1. Rais asiyejua kwa nini tz ni masikini
  2. Rais aliyehudhuria matamasha ya nyimbo za injili kuliko wote
  3. Rais aliyedanganywa na wasaidizi wake kuliko wote
  4. Rais aliyepiga kampeni kifamilia na kudai urais ni ishu ya kifamilia
  5. Rais aliyetoa ahadi hadi akiwa ugaibuni
  6. Rais anayepelekeshwa na mafisadi hadi anaweweseka
  7. Rais anayevua magamba ilihali magamba hayavuliki
  8. Rais analisema wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao
  9. Rais anayehamasisha udini kuliko wote
  10. Rais wa kwanza kupigwa mawe na wananchi wa vijijini
  11. Rais wa kwanza kususiwa na wabunge akitoa hotuba
  12. Rais wa kwanza kuwa Vasco da Gama kuliko wote
  13. Rais wa kwanza kuwapigia kampeni wezi wa mali za umma hadharani na kusema ni mapanga ya zamani yenye makali mapya
  14. Rais wa kwanza kuahidi kuwa shule zote za tz zitapewa computer ilhali akijua haiwezekani
  15. Rais wa kwanza kupewa ulinzi wa majini na mlinzi wake mkuu shehe yahya
  16. Rais wa kwanza kutoa kauli za uongo pale aliposema mwaka 2007 kuwa baada ya miaka 2 mgao wa umeme ungekuwa historia na hadi leo mgao upo hata leo home sina umeme.
  17. .
  18. ..
  19. .
  20. .
  21. .
 
uko juu mkuu.

Raisi wa kwanza kuchekacheka kwenye issues serious

raisi wa kwanza kuanza na hotuba kwa kuzungumzia mpira wakati wananchi wanasubiri majibu/maelezo ya maswali magumu

raisi wa kwanza kuileta tanzania real madrid ambayo haijaja mpaka leo!
 
Ana mengi ya kujivunia tena kama sikosei mengine ataweka rekodi zitakazodumu muda mrefu bila kuvunjwa kama ifuatavyo:

  1. Rais asiyejua kwa nini tz ni masikini
  2. Rais aliyehudhuria matamasha ya nyimbo za injili kuliko wote
  3. Rais aliyedanganywa na wasaidizi wake kuliko wote
  4. Rais aliyepiga kampeni kifamilia na kudai urais ni ishu ya kifamilia
  5. Rais aliyetoa ahadi hadi akiwa ugaibuni
  6. Rais anayepelekeshwa na mafisadi hadi anaweweseka
  7. Rais anayevua magamba ilihali magamba hayavuliki
  8. Rais analisema wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao
  9. Rais anayehamasisha udini kuliko wote
  10. Rais wa kwanza kupigwa mawe na wananchi wa vijijini
  11. Rais wa kwanza kususiwa na wabunge akitoa hotuba
  12. Rais wa kwanza kuwa Vasco da Gama kuliko wote
  13. Rais wa kwanza kuwapigia kampeni wezi wa mali za umma hadharani na kusema ni mapanga ya zamani yenye makali mapya
  14. Rais wa kwanza kuahidi kuwa shule zote za tz zitapewa computer ilhali akijua haiwezekani
  15. Rais wa kwanza kupewa ulinzi wa majini na mlinzi wake mkuu shehe yahya
  16. Rais wa kwanza kutoa kauli za uongo pale aliposema mwaka 2007 kuwa baada ya miaka 2 mgao wa umeme ungekuwa historia na hadi leo mgao upo hata leo home sina umeme.
  17. .
  18. ..
  19. .
  20. .
  21. .

Alishawahi kuhudhuruia UZINDUZI WA KABURI LA MKE WA RAISI
 
atajivunia kuona mafisadi baada ya kuwapigia kampeni jukwaani na baada ya uchaguzi akasema ni mafisadi au walifanya ufisadi baada ya uchaguzi/
 
Rais wangu kikwete, mimi ni mmoja wa waliokupa kura mwaka 2005 tena kwa moyo wote, nilifurahi sana uliposhindwa tena kwa kishindo,
siwezi kueleza furaha niliyokuwa nayo, nilifurahi zaidi ulipoanza kasi ya kutokomeza uwizi ktk mabenki na zaidi ulipo muondoa
mjinga mahita, mpaka hapo ulienda vema kwani umeweza kupunguza ujambazi ktk mabenki.
Rais wangu nasikitika kukueleza kuwa mimi sikuwa mmoja wa waliokupa kura mwaka 2010 na niliuzunika sana uliposhinda, nakuchukia rais wangu sintakosea kukuita mama wa mafisadi kwani mafisadi wote unawalea, huna uchungu wowote na nchi yangu, uko kwa maslahi yako binafsi, huku hali ya mtanzania ikizidi kuwa mbaya. Hivi uyaoni mapungufu yako, hivi ukiondoka leo una lolote la kukumbukwa,
namaliza kwa kusema nawaomba watanzania wenzangu wanisamehe kwa kukupa kura mwaka 2005 nakiri nilikuchangua kwa ubishoo tu pasipo kuangalia utendaji sintarudia hili kosa daima
 
Back
Top Bottom