Kikwete at Subhash Patel fund raiser ...

Mtz,
Hizi ni pesa ambazo mabosi wa vitengo hutengewa kwa ajili ya CSR so hata kama asingechangia huko angezipeleka sehemu nyingine au kuzirudisha wizarani (note bado miezi mitatu) fedha zote zilizo bakia inatakiwa zirudishwe hazina!

Cha msingi ni kujiuliza, uchangiaji wa madarasa was the only best priority ya huyu mkuu?

Mkuu,

Hiyo CSR ndio nini? Kwanini asizipeleke kwenye miradi ya kuneemesha hali za wanajeshi?

I hope hawaendi kuwakata wanajeshi mwisho wa mwezi kama ilivyokuwa zamani.
 
Kwa wale waiomjua jina lake vizuri na kumchanganya na watu wengine, Jina lake huyu jamaa ni ni Jayantkumar Chandubhai Patel
na ana passport ya ki british.

Najaribu ku post picha yake haikubali. Embu nielekezeni.

Ninayo sasa nimeshindwa kuipaste kwenye hii msg.

Mkuu Allah's Slave

Heshima mbele nadhani wewe wamjua sana huyu bwana nasikia anaongea kikwele? hebu niambie
 
JEETU+PATEL.jpg

Kikwete is still embracing Jeetu Patel, to the extent of gracing his fundraiser despite the recent turn of events.I wonder what message will this send to law enforcement officers who are supposed to go after somebody like Jeetu Patel.

[media]http://bp1.blogger.com/_7ub-6wAldd4/R8lrZTBtZJI/AAAAAAAABLA/Bu2-Sqt-CjM/s1600-h/JEETU+PATEL.jpg[/media]

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mkewe Mama Slama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na MaendeleoWAMA kwa kuchangia shilingi milioni moja katika mfuko wa elimu wa wilaya ya Bagamoyo wakati wa harambee iliyofanyika katika hoteli ya Movenpick jijini Dar es Salaam Ijumaa jioni.Katika Harambee hiyo zaidi ya shilingi milioni tisa zilichangwa.Katikati ni Mwenyekiti wa harambee hiyo Bwana Jeetu Patel.

Pic and caption from BongoPix

Here we go again!!...New Tanzania : Siasa za Mass deception & character assassination..witch hunt the President.Ok., Shubash Patel is not Jeetu Patel,please..ufisadi ni fashion kama Chiriman, kila mtu anataka kuvaa sasa, wake kwa waume..
 
Karibu sana
Pili acha kuwa mwonga, hawa akina Patel tokea lini wakawa wazaliwa wa Bagamoyo bwana? Tafuta njia nyingine ya kutetea haya Mafisadi, sio hii

Here we go again!!...New Tanzania : Siasa za Mass deception & character assassination..witch hunt the President at any cost., Shubash Patel is not Jeetu Patel,please..ufisadi ni fashion kama Chiriman, kila mtu anataka kuvaa sasa, wake kwa waume..
 
Hii fundraiser ilifanyika kama wiki 2-3 zilizopita(kabla ya Jeetu kurudi Tanzania-kama kweli alikuwa ameondoka-), hii picha ilikuwa kwenye blog ya michuzi...ukisearch utapata picha ya Jeetu kuna mtu aliipost.

Mkuu wa majeshi naye ana mfuko wa matumizi mengine ya nje ya ofisi kama alivyo Rais, Veep, PM?
 
I NOW BRING YOU THE ONLY PICTURE OF JEETU PATEL THAT EXIST.
A RARE PICTURE INDEED. sO RARE THAT I CHALLENGE ANY ONE TO FIND IT.
REMEBER IF YOU SEE THIS PIC ANYWHERE REMEMBER IT CAME FROM HERE AND FROM ME...........

HIS REAL NAME IS
Jayantkumar Chandubhai Patel



attachment.php
 

Attachments

  • Jeetu Patel.JPG
    Jeetu Patel.JPG
    18.9 KB · Views: 624
Mkuu Allah's Slave

Heshima mbele nadhani wewe wamjua sana huyu bwana nasikia anaongea kikwele? hebu niambie


Nimeweka picha yake hapo juu. Kama mnataka evidence kuthibitisha hiyo picha semeni nitoe evidence zaidi.


Your word is my command.
 
Sasa tumethibitisha kuwa hii post haina maana kwa kuwa mtu ambaye sie ametumiwa kumpaka matope kikwete Moderator ipeleke kwenye Udaku.
 
I NOW BRING YOU THE ONLY PICTURE OF JEETU PATEL THAT EXIST.
A RARE PICTURE INDEED. sO RARE THAT I CHALLENGE ANY ONE TO FIND IT.
REMEBER IF YOU SEE THIS PIC ANYWHERE REMEMBER IT CAME FROM HERE AND FROM ME...........

HIS REAL NAME IS
Jayantkumar Chandubhai Patel

Ngoja niibandike hapa

attachment.php
 
Oops kumbe ile habari siku zile za hekalu kujengwa ni valid ? Maana watu waliipinga sana leo naona inakuwa kweli .Haya tuendelee .Mke wa Rais kajaa ma gold kila mahali Watanzania wanakufa njaa Pemba .

Ndiyo maana Yesu alisema masikini mtakuwa nao siku zote lakini yeye mwenyewe iko siku hatakuwpo physically hapa Duniani.

Ni haki yake kujaza Gold kama tu anatumia sehemu yake ya kipato chake halali, lakini kama hiyo migold ni reflection halisi ya Ufisadi siku moja itang'ang'ania vidole vyake na kumkwama shingoni( literally) asiweze hata kupumua.
 
Mkuu Allah's Slave

Heshima mbele nadhani wewe wamjua sana huyu bwana nasikia anaongea kikwele? hebu niambie

Kuna mdau katoa maelezo hapo juu. Kwa kukazia, huyu ni Subash Patel ndie anaepromote lile jengo la UVCCM lililokuwa likipigiwa kelele na Nauye Nape. Ni kweli ni mzawa wa Bagamoyo na anazungumza Kikwere. Ni mfadhili mzuri tu wa Bagamoyo na kajenga shule pale. Zaidi ni Swaiba mkubwa sana wa JK. Jamaa anaviwanda kadhaa, MM steel, Sayona water, etc, sijui kama ni fisadi maana hajahusishwa na ufisadi so far zaidi ya kashfa ya jengo la UVCCM lililopelekea Nape kuukosa uenyekiti wa UVCCM.
 
Watanzania wanasubiri nini kutoa hukumu? Au mpaka tu*** kwanza ndo tushtuke hehe kumbe....

Angalia Madagascar wameweza?? Sisi tushindwe kwanini Sababu tunayo, uwezo tunao, nia bado hatujaweka...

Angalia mafisadi wametunyooshea vidole machoni, shime watanzania.

Jamani watanzania tusijefananishwa na "wildebeest serengeti" ambao wako wengi lakini hawana umoja na ni waoga sana. Simba (fisadi papa)akija tu wanashindwa kumshambulia na kumuua.

Tuungane na tuache uoga.

Waalimu wote,mapolisi,wanajeshi wa vyeo vya chini, wafanyakazi serikalini, watu wote waliojiajiri, wakulima wote na watanzania kwa ujumla.

Tuwaaamrishe hawa viongozi wapunguze mishahara/posho za wabunge na waongeze mishahara ya wafanyakazi na ruzuku kwa wakulima iongezwe.

Kila ukinunua bidhaa yoyote ewe mtanzania kumbuka umekatwa kodi ya VAT, pamoja na kukatwa mshahara kodi pia VAT.

Harakati za ukombozi ziendelezwe, watu wengi zaidi tujitoe mhanga kwa ajili ya Taifa na vizazi vijavyo.

Hongera Mengi, Slaa, Mbowe, Samweli Sitta,Anne Kilango, selelii, Shelukindo,Mwakiyembe na wengine.

Wengine mna nia ya kupambana na mafisadi ila mmekuwa waoga. Ongezeni nguvu simba (fisadi)yatashindwa.
 
I NOW BRING YOU THE ONLY PICTURE OF JEETU PATEL THAT EXIST.
A RARE PICTURE INDEED. sO RARE THAT I CHALLENGE ANY ONE TO FIND IT.
REMEBER IF YOU SEE THIS PIC ANYWHERE REMEMBER IT CAME FROM HERE AND FROM ME...........

HIS REAL NAME IS
Jayantkumar Chandubhai Patel



attachment.php

Jamaa huyu si ndie nasikia kamjengea JK pale Msoga Chalinze?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom